Japhet Maganga wa CWT akamatwa kwa kufanya fujo

Japhet Maganga wa CWT akamatwa kwa kufanya fujo

Wewe ni kiazi kweli kweli
Sielewi viazi vinahusiana nini na ukweli kuwa wajaluo ardhi yao inayofahamika sana ni Count ya Kisumu jimbo la Nyanza nchini Kenya. Jadili hoja na unishawishi kwa hoja kama nakosea na uweke uthibitisho hapa.
 
Wewe ni tahira baki na kamasi zako kichwani
Mkuu unapaswa kunishawishi kwa hoja tena zenye uhibitisho ili nikubaliane na unachotaka kuniaminisha, Lakini naona umejikita kwenye matusi na kutweza, hutakiwi kushindwa mikoni chini hivyo, kama kweli una hoja imara.
 
Wajaluo kwao ni Kenya,tena Kisumu...specifically, usilazimishe! Huyo jamaa yako Otieno ni mkenya... Arudi kwao tu, mbona Kenya kuna Polisi pia?
Wajaluo wapo hata Musoma pia makazi yao ni WILAYA LA SIRARI Mkoa wa Mara
 
Martin Otieno si mkenya huyo? Au ndio wale waliosemwa kuwa na nafasi za juu na wafanya maamuzi Serikalini? 😳
Huu ni ujinga ambao kwa mtu asie na elimu kuropoka ni kawaida, ina maana hufahamu kuwa kuna baadhi ya makabila yako pande zote??
 
Wewe ni mpumbavu na mjinga nashaanga hadi upo verified unaongea km mtu asiyekuwa na elimu

Wajaluo asili yao ni kenya na Tanzania hasa mkoa wa mara Tanzania na magharibi mwa kenya
Mkuu sijui hata kama unajua maana ya verification, siwezi kurudishia majibu ya matusi kama wewe unavyofanya badala ya kujadili.
 
Wajaluo kwao ni Kenya,tena Kisumu...specifically, usilazimishe! Huyo jamaa yako Otieno ni mkenya... Arudi kwao tu, mbona Kenya kuna Polisi pia?
Kuna muda bora ukae kimya kuficha ujinga ili ujiepushe na aibu ndogo ndogo
 
Huu ni ujinga ambao kwa mtu asie na elimu kuropoka ni kawaida, ina maana hufahamu kuwa kuna baadhi ya makabila yako pande zote??
Sasa kama yako pande zote kama unavyosema, kitu ambacho ni sahihi, ni kwa nini watu wa mikoa ya Kigoma wanashukiwa na kuambiwa sio watanzania?
 
Wajaluo kwao ni Kenya,tena Kisumu...specifically, usilazimishe! Huyo jamaa yako Otieno ni mkenya... Arudi kwao tu, mbona Kenya kuna Polisi pia?
Hii jamii forums Toka smartphone zimilikiwe na Kila mtu imeshapoteza mvuto huwezi jua nani GT or nani siyo GT
 
MAGANGA sikio lakufa halisikii dawa!
Hutaanini ukicheza na Jembe na Nyundo utafia MAGEREZA.
 
Huyu Japheti SI ndio yule aliyeamriwa arudi shule kufundisha? Ina maana kumbe walimfukuza na kazi ya ualimu kabisa?
 
Hii jamii forums Toka smartphone zimilikiwe na Kila mtu imeshapoteza mvuto huwezi jua nani GT or nani siyo GT
Kati ya makabila yaliyoitwa na Nyerere kushiriki kuunda Jamhuri ya Tanganyika... Wajaluo walikuwemo? waliwakilishwa na nani?
 
Back
Top Bottom