Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

Pascal wewe ni kaka mtu mzima ila mbn unapenda kujiabisha namna hii?kisa uteuzi?usijiondolee utu wako kwa kiasi hiki haipendezi
mbona tunashindwa kuheshimu na kuthamini maoni na mawazo ya wengine,yaaani mtu akitoa mawazo usiyopenda tu basi huyo ana njaa, anatafuta uteuzi, anajikomba aonekane n.k, huyu P angekuwa anategemea kuendesha maisha kwa kazi za kuteuliwa angesha kufa maana sijawahi kumsikia kateuliwa katika wakati wowote zaidi ya kupambana mwenyewe, nashuri tukosoe hoja ya mtu na si kumshambulia mtu.
 
Mh.Pascal huyu kijana ni hazina ya baadae, saa anaanza rasmi exposure kuelekea mapito ya mfalme Daudi au Sulemani
JPM anaona mbali!, maandalizi ya 2025 yanaanza sasa kwenye cabinet hii.
P
 
Hizo sifa munazo mpa polepole ni sifa za upotoshaji. Huwezi kuwa na sifa za kudanganya umma ukawatia mabalaa halafu ukajiona kuwa uko sawa. Wengi tulimuona polepole ni mtu wakati wa mchakato wa katiba lakini baada kutelekeza haki ya watanzania na ukweli kwa kuchumia tumbo nikamuona hana maana. Polepole na Pro. Kabud na Ally Bashiru ni watu wa chini kabisa kwa sababu ni wasomi wapotoshaji. Ukiwa ni kada utasifia.
 
Pasco anahangaika sana. Endelea na ukasuku baba yenu anajiongezea muda atawale mpaka afe, wenda atakuona siku za usoni.
 
Hizo sifa munazo mpa polepole ni sifa za upotoshaji. Huwezi kuwa na sifa za kudanganya umma ukawatia mabalaa halafu ukajiona kuwa uko sawa. Wengi tulimuona polepole ni mtu wakati wa mchakato wa katiba lakini baada kutelekeza haki ya watanzania na ukweli kwa kuchumia tumbo nikamuona hana maana. Polepole na Pro. Kabud na Ally Bashiru ni watu wa chini kabisa kwa sababu ni wasomi wapotoshaji. Ukiwa ni kada utasifia.
Wamepotosha nini
 
Back
Top Bottom