Bunge letu tukufu,
AGREEMENT
BETWEEN THE GOVERNrv1ENT OF
THE UNITED REPUBliC OF TANZANIA
AND
THE GOVERNMENT OF
THE ITALIAN REPUBUC
ON THE PROMOTION AND PROTECTION OF INVESTMENTS
The government: of the United Republic of Tanzania and the government of the
Italian Republic (hereafter defined as "The Contracting Parties"); ..............
ARTICLE 15
Duration and Termination
This Agreement shall remain in force for a period of ten years. Thereafter it shall
continue in force until the expiration of twelve months from the date on which
either Contracting Party shall have given written notice of termination to the
other. Provided that in respect of investments made whilst the Agreement is in
force, its provisions shall continue in effect with respect to such investments for
a Period of twenty years after the date of termination and without prejudice to
the application thereafter of the rules of general international law. READ MORE : Source : Tanzania, United Republic of | International Investment Agreements Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
Tupaze sauti utapeli wao umeanza kuonekana mchana kweupeWanabodi,
Bunge letu tukufu, limeridhia makubaliano ya IGA kati ya Serikali ya UAE na Tanzania, kampuni ya DP World ya Mwarabu wa Dubai, kutuendeshea Bandari zetu.
Kuna watu wana support hatua hiyo kwa hoja za msingi, kuwa DP World ni kampuni kubwa na ina uwezo mkubwa hivyo itatusaidia sana. Na kuna wanaopinga wakiwaita DP World ni matapeli, hivyo kitendo cha Bunge letu kuridhia hiyo IGA, kumewafanya wachoke na kudhani, it's the end of the road. Naomba kuwapa faraja kuwa it's not the end!.
Hiyo HGA ni makubaliano tuu na sio mkataba, yaani ni an agreement na sio contract. Kila mkataba ni agreement, lakini sio kila agreement ni mkataba, mfano mzuri ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuunda Tanzania, ni makubaliano tuu na sio mkataba, mkifika mahali mkashindwa kuelewana, mnagawana tuu fito, kila mtu anasepa kivyake Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!.
Hivyo kile Bunge letu lilichoridhia, ni agreement tuu, tukiithibitishia serikali yetu, hawa DP World, pamoja na uzuri wao wote, pamoja na uwezo wao mkubwa wa kuendesha Bandari kibao, lakini ni matapeli na wana matatizo lukuki, hivyo serikali yetu iwe makini sana kabla ya kusaini HGA, na utepeli wao, ukiwekwa wazi peupe, tutaisaidia sana serikali yetu na kulisaidia taifa letu tusiingizwe mkenge na Mwarabu wa Dubai kwasababu tuu ni mtu mkarimu, amemkirimu Mama yetu kuipaisha bure Tanzania kwenye expo Dubai, akawakirimu waserikali wetu, kwa trips za Dubai, akawakirimu waheshimiwa wabunge wetu kwa trips za Dubai, na kuwakirimu media na waandishi wa habari wetu kwa trips za Dubai.
Japo Rais wetu, Mama Samia, ana nia ya kweli na ya dhati kulisaidia taifa letu, lakini anapokutana na matapeli wa kimataifa wakamuingiza mkenge, sisi watu wa Mhimili wa Nne, the media, tuna wajibu wa kulisaidia taifa letu kwa kuonyesha utepeli uko wapi, kisha serikali yetu ikiamua kuendelea na HGA ya Mwarabu wa Dubai, sisi watu wa media, tutakuwa na a clear conscious kuwa tumetimiza wajibu wetu, tumeieleza serikali yetu inavyotaka kuingizwa mkenge.
Kwa vile mimi licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, kwa kujitolea kutetea haki bure, hivyo nitawaletea makubaliano hayo na kuwachambulia kuwaonyesha jinsi tunavyotaka kutapeliwa mchana kweupe.
Utapeli wa kwanza mkubwa, ni hakuna mtu yoyote kati yetu aliyefanya a due diligence report ya DP World, tunaelezwa ni Governmental Organisation, wakati sii kweli, it's a private company!.
Mkataba wa IGA na HGA inaingiwa kati ya serikali na serikali, hivyo ukisoma documents za makubaliano utaona ni kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya UAE, lakini signatories kwa serikali ya Tanzania ni serikali kweli, lakini kwa serikali ya UAE, signatories ni Mwarabu wa Dubai wa DP World na sio serikali ya UAE hivyo hapa tunatapeliwa!, serikali yetu inaingizwa mkenge kuingia mkataba na a private company disguised as a government of UAE kumbe ni kampuni binafsi!.
Jambo la pili, kuna kipengele cha kuizuia nchi isiendeleze Bandari nyingine, hivyo kuiweka mashakani Bandari ya Bagamoyo, hili halikubaliki hata kidogo!.
Kwavile saa hizi ni usiku mkubwa, Joni Mtembezi ananisisitiza nitembee tembee nae hivyo nitamalizia kesho.
Paskali.
Waamerika wana msemo mzuri sana kwamba "there's no free lunch". Kama tunajiaminisha kuwa huo ukarimu umefanywa bure bure bila kuwanufaisha hao warabu, basi imekula kwetu.tutaisaidia sana serikali yetu na kulisaidia taifa letu tusiingizwe mkenge na Mwarabu wa Dubai kwasababu tuu ni mtu mkarimu, amemkirimu Mama yetu kuipaisha bure Tanzania kwenye expo Dubai, akawakirimu waserikali wetu, kwa trips za Dubai, akawakirimu waheshimiwa wabunge wetu kwa trips za Dubai, na kuwakirimu media na waandishi wa habari wetu kwa trips za Dubai.
WEWE NI KIBARAKA WA MADARAKA, UNTAFUTA UTEUZI, MWENYE AKILI HAWEZI KUKUSIKILIZA. WEWE SAWA NA ZITO, MTAJI WA ZITO NI WAZANZIBAR, HAWEZI KUTIA NENO MAANA HANA CHAMA , ILA ANA KIKUNDI CHA WATU ZANZIBAR, WAKIMKATAA BASI HANA CHAMAWanabodi,
Bunge letu tukufu, limeridhia makubaliano ya IGA kati ya Serikali ya UAE na Tanzania, kampuni ya DP World ya Mwarabu wa Dubai, kutuendeshea Bandari zetu.
Kuna watu wana support hatua hiyo kwa hoja za msingi, kuwa DP World ni kampuni kubwa na ina uwezo mkubwa hivyo itatusaidia sana. Na kuna wanaopinga wakiwaita DP World ni matapeli, hivyo kitendo cha Bunge letu kuridhia hiyo IGA, kumewafanya wachoke na kudhani, it's the end of the road. Naomba kuwapa faraja kuwa it's not the end!.
Hiyo HGA ni makubaliano tuu na sio mkataba, yaani ni an agreement na sio contract. Kila mkataba ni agreement, lakini sio kila agreement ni mkataba, mfano mzuri ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuunda Tanzania, ni makubaliano tuu na sio mkataba, mkifika mahali mkashindwa kuelewana, mnagawana tuu fito, kila mtu anasepa kivyake Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!.
Hivyo kile Bunge letu lilichoridhia, ni agreement tuu, tukiithibitishia serikali yetu, hawa DP World, pamoja na uzuri wao wote, pamoja na uwezo wao mkubwa wa kuendesha Bandari kibao, lakini ni matapeli na wana matatizo lukuki, hivyo serikali yetu iwe makini sana kabla ya kusaini HGA, na utepeli wao, ukiwekwa wazi peupe, tutaisaidia sana serikali yetu na kulisaidia taifa letu tusiingizwe mkenge na Mwarabu wa Dubai kwasababu tuu ni mtu mkarimu, amemkirimu Mama yetu kuipaisha bure Tanzania kwenye expo Dubai, akawakirimu waserikali wetu, kwa trips za Dubai, akawakirimu waheshimiwa wabunge wetu kwa trips za Dubai, na kuwakirimu media na waandishi wa habari wetu kwa trips za Dubai.
Japo Rais wetu, Mama Samia, ana nia ya kweli na ya dhati kulisaidia taifa letu, lakini anapokutana na matapeli wa kimataifa wakamuingiza mkenge, sisi watu wa Mhimili wa Nne, the media, tuna wajibu wa kulisaidia taifa letu kwa kuonyesha utepeli uko wapi, kisha serikali yetu ikiamua kuendelea na HGA ya Mwarabu wa Dubai, sisi watu wa media, tutakuwa na a clear conscious kuwa tumetimiza wajibu wetu, tumeieleza serikali yetu inavyotaka kuingizwa mkenge.
Kwa vile mimi licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, kwa kujitolea kutetea haki bure, hivyo nitawaletea makubaliano hayo na kuwachambulia kuwaonyesha jinsi tunavyotaka kutapeliwa mchana kweupe.
Utapeli wa kwanza mkubwa, ni hakuna mtu yoyote kati yetu aliyefanya a due diligence report ya DP World, tunaelezwa ni Governmental Organisation, wakati sii kweli, it's a private company!.
Mkataba wa IGA na HGA inaingiwa kati ya serikali na serikali, hivyo ukisoma documents za makubaliano utaona ni kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya UAE, lakini signatories kwa serikali ya Tanzania ni serikali kweli, lakini kwa serikali ya UAE, signatories ni Mwarabu wa Dubai wa DP World na sio serikali ya UAE hivyo hapa tunatapeliwa!, serikali yetu inaingizwa mkenge kuingia mkataba na a private company disguised as a government of UAE kumbe ni kampuni binafsi!.
Jambo la pili, kuna kipengele cha kuizuia nchi isiendeleze Bandari nyingine, hivyo kuiweka mashakani Bandari ya Bagamoyo, hili halikubaliki hata kidogo!.
Kwavile saa hizi ni usiku mkubwa, Joni Mtembezi ananisisitiza nitembee tembee nae hivyo nitamalizia kesho.
Paskali.
"Iboloogeli", hiyo sehemu mbona inatishia !ibologelo
Hii si posa binti ana mimba karibu kujifungua mjukuuNi posa tu,mkataba bado
Anasema ni upepo tu nao utapita, ndio maana unaona mama katulia tulii utadhani nchi haina Rais.Kwani mstaafu jk anasemaje!!?maana yeye na marehem mkapa ni mabingwa wa kusainisha mikataba!!
Lakini mke ameshakabidhiwa na ana mimba tayariNi posa tu,mkataba bado
Kwa DP World ni Kaylanda sijui Kyalanda anapiga na kusepaNa kuna wanaopinga wakiwaita DP World ni matapeli