Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

Alhamdulillaah,,,,,,,umenena Kitu Cha msingi sana,hongera sana.
 
Hata manispaa zina mikataba ya ushirikiano.

Msitake kulisha watu matango pori.

Mmechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Tunazifahamu sababu zenu, hazijifichi.
 
Dala 50 ulfu na safari ya dubei
 
Hawa waandishi wa magazeti wameahidiwa fedha iwapo watapigia Debe mkataba wa kuuza nchi!
These mercenaries are now busy spinning to facilitate the sale of our country kama Mangungo wa Mvomelo alivyouza kwa shanga enzi hizo za utumwa!
Umenena vyema. Lakini bora Mangungo kwa vile yeye hakujua anaridhia nini na akadaganywa akubali pasipo kujua Kijerumani na pia nini kimeandikwa kwenye ule mkataba. Hawa wa leo wanajua Kingereza na pia kila kitu kilichoandikwa lakini wamekubaliana na hayo yaliyoandikwa. Time will tell.
 
Point toe note , sio kwamba bandari ya Dar es salaam pekee imepigwa mnada mchana kweupee ,pia bandari zote katika mito na maziwa yote makubwa , tunaomba Mungu aushushe mkono wake kwa viongozi wote na wabunge mapimbi, wajinga, matapeli , majizi , mafisadi na wazandiki wanaotumia ignorance of the mass kujitajitarisha na kuuza nchi kwa ajili ya matumbo yao.
 
Wakurupuke au wasikurupuke kulikuwa na hatua au ngazi kadhaa za kupitia kabla ya mkataba au makubalia kufanya kazi.
Na kila hatua ina umuhimu wake,
Ina maana huko kote hakuna mwenye macho?
DP World sio kampuni ndogo,imetumia uzoefu wake kimataifa kumnasa inzi.
Signed and sealed.
 
No 16 hatujaiona kama unayo tusaidie nasi tupaze sauti zetu kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…