Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Bandiko Bora kabisa, shida ni kuwa madaraka umlevya na kumpofusha mtu
 
Aisee,kazi ipo, mtumishi sikupingi
Kazi ipo kweli Wala sio uongo

Watu wa giza wakitaka kukuangamiza km upo na Mungu kweli hawakuwezi
Ila ukizingua na watu wa Mungu wakasema na Mungu wao pona Yako ni kukimbilia Kwa Mungu kutubu na kubadirika

Nje ya hapo "muimbaji ndo muamuzi wa mwisho" km aliona jambo haliko vzr.
 
Mmmh aisee, ngoja tuone mtumishi, jayayo hayafurahishi
 
Leo bafuni ulikuwa unatumia sabuni gani kwenye "shughuli"? Magwanji?
 
Siku zote nzi kumjua kuwa ni JIKE au DUME mpaka uwaone wanapandana.
Sasa acha wazagae kwanza,wakipandana tutawatofautisha.

Japo,vyombo vya jikon vya kulia chakula bado ni vichafu,irihali mda wa chakula umewadia.
Na mbaya zaidi,msichana wa kazi anatembea Kwa Siri na baba mwenye nyumba.
 
Si mapema ila kwa majira yake kama yalivyo kwetu sote itakuwa alinitumia ujumbe kuwa Somoe atamaliza miaka yake mitano ya masomo ya utabibu na ada atalipa yeye, nilimshauri amuweke karibu msaidizi wa dereva mkuu ila amwangalie kwa umakini wa hali ya juu, alinitazama kwa kuniuliza kwa macho nikabadili maada nikwambia usisahau Somoe ana, akanikatisha akasema ana watoto wawili nao ni wajukuu zake watasoma akiwangalia aiweze ya Somoe imshinde yao hao? Nikamjibu sina cha kukulipa akajibu akasema na we fundi mchundo una mambo?, Hapo tulicheka sote,Nikwamuliza dada umeikumbuka kazi yangu ya zamani, akitikisa kichwa kama kawaida asiopotaka kutamka kitu na kuachia tabasamu nikakumbuka utoto wetu tulipolelewa pamoja yeye Moro, nami Dar kwa yule mfadhili wa kizungu nikijifunza ufundi,Akasema hutii neno , nikamwambia tulipokuwa wadogo nilikuhaidi kukuundia gari, na kabla ya kuliunda ndipo nilipoondoka kwenda dar, kwa kweli sikutimiza ahadi yangu dada, akacheka kusema kwa wataka niundia kitoi kwa umri huu? Nikamjibu hapana dada kwa sasa ntakuundia gari litembealo lenyewe kwa mzizimo uvutiao vijana , na utalitumia utakapostaafu, kukagua shamba lako naamini utamkamata tu yule mwizi aibae mchanga maana utamkuta ameduwaa tu mzizimo wa chombo ntakayo kuundia,Kwa sauti yako ile adhimu ambayo haijabadilika sana hadi sasa akauliza unaongea maneno hayo ukiwa wapi nikamjibu karakana, kisha nikageuka pembeni ili kupitia WhatsApp video call hii aone, sehemu ya karakana, akasema walau sasa ntasadiki maneno yako Mungu akuwezeshe, Inshallah.
Nami nikamuaga kwa ishara
 
Paschal, Umefumba sana lakini umeeleweka ndugu yangu. Yetu macho ila usingizi wa pono ni mbaya sana huleta ndoto hata mchana sebuleni. Omba usiote ndoto umeona choo.
 
Amfuate kaka yako kwa7bu yeye anapunguza tu wala haongezi chochote kwenye familia.
Ameenda mbali zaidi hadi mipaka ya shamba letu kafinya,akina Kimbisa ni washirika wake wakuu ktk hili.
 
Huyo dada si muovukama yulee kakako kwa nimwonavyo hata akitwaliwa anaenda pazuri mara milioni ya hii nchi Duni!
Ma yalaa vipi vp huagi Tena mwakahuu ili ukagombee kupitia chama cha huyu unayemchulia kifo?
 
Mastermind wa siasa za Wadanganyika Jk yupo, Sheikh Abubakar yupo, majini yameshasongezwa karibu naye kumzunguka,
Yupo salama.
Juzi kati nilipishana na msafara wake Fuoni huko, aisee kile kiti kina utukufu wake aisee msafara wa magari ulivyo mrefu, ya kifahari mambio speed 120,
Kiti kitamu aiseee ukikionja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…