Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Ndo hivyo,Tena wamechelewa kujuaAmen mpendwa
Haya maono na maoni ya humu yanaashiria jambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivyo,Tena wamechelewa kujuaAmen mpendwa
Haya maono na maoni ya humu yanaashiria jambo
Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikikwambia kitu, uifanyie tathmini hiyo sauti ni sauti ya nani, kati ya YEYE na yeye, kama ni sauti ya kwake YEYE Mwenyewe, na ukajiridhisha ni sauti yake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza ...
Paskali
Kazi ipo kweli Wala sio uongoAisee,kazi ipo, mtumishi sikupingi
Mmmh aisee, ngoja tuone mtumishi, jayayo hayafurahishiKazi ipo kweli Wala sio uongo
Watu wa giza wakitaka kukuangamiza km upo na Mungu kweli hawakuwezi
Ila ukizingua na watu wa Mungu wakasema na Mungu wao pona Yako ni kukimbilia Kwa Mungu kutubu na kubadirika
Nje ya hapo "muimbaji ndo muamuzi wa mwisho" km aliona jambo haliko vzr.
Ni kwamba yalishapangwa au yametokea tu ?Ndo hivyo,Tena wamechelewa kujua
Leo bafuni ulikuwa unatumia sabuni gani kwenye "shughuli"? Magwanji?Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikikwambia kitu, uifanyie tathmini hiyo sauti ni sauti ya nani, kati ya YEYE na yeye, kama ni sauti ya kwake YEYE Mwenyewe, na ukajiridhisha ni sauti yake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza ...
Paskali
Lissu alisema yapo mambo akiamua kuyasema kuna watu wataikimbia nchi! Ni kina nani hao?Damu ya Mzee Ali Kibao na wengineo inamuandama na atalipa tu.
Paschal, Umefumba sana lakini umeeleweka ndugu yangu. Yetu macho ila usingizi wa pono ni mbaya sana huleta ndoto hata mchana sebuleni. Omba usiote ndoto umeona choo.Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikikwambia kitu, uifanyie tathmini hiyo sauti ni sauti ya nani, kati ya YEYE na yeye, kama ni sauti ya kwake YEYE Mwenyewe, na ukajiridhisha ni sauti yake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza ...
Paskali
Amfuate kaka yako kwa7bu yeye anapunguza tu wala haongezi chochote kwenye familia.Wanabodi,

Wamiliki wa Majinn og."The voice from within" kwangu inaniambia sanaa inaanzia hapa ili kuleta usingizi.
View attachment 3226647
KwakweliMmmh aisee, ngoja tuone mtumishi, jayayo hayafurahishi
UVIKO na HIV+? kwa ushahidi upi?Kawaida marais katili huwa hawakumbwi na mambo mabaya. Magu aliondolewa na corona iliyokolezwa na pacemaker + HIV.
Kisukari, pacemaker na uwezekano wa HIV. Nimesoma kitabu cha Kabendera.UVIKO na HIV+? kwa ushahidi upi?
Mastermind wa siasa za Wadanganyika Jk yupo, Sheikh Abubakar yupo, majini yameshasongezwa karibu naye kumzunguka,Wamzungukao Mfalme wamemjaza matope kichwani huku wakimwimbia nyimbo za kumsifu hata nguo alizovaa na hata kutembea kwake...na kumuumbia sifa hewa na kumtafutia vi-tuzo uchwara .. Behind The Scene..wakimwandalia anguko baya na asipokuwa makini atalia na kusaga meno !