Japo hatukupangii, mtumbue na Mwigulu Nchemba ili tujuwe nani mmiliki wa hizi timu za Ligi Kuu

Japo hatukupangii, mtumbue na Mwigulu Nchemba ili tujuwe nani mmiliki wa hizi timu za Ligi Kuu

Wewe ukiwa na Pesa Akili yako inakutuma kufanya nini? Usisahau anasomesha mpaka Watoto yatima from primary to university Pesa analipa na hajitangazi
Mimi niko level nyingine ya fikra,
Siyo kama mwigulu. Anawaza level za kumiliki timu ushauri wa wagang wa kienyeji

Niko china nafuta technologia ya kulima mashamba ya mimea ya kutengeza dawa za mbu

Una swali lingine kijana
 
Jamaa ana ukwasi siyo wa kawaida. Anashindana kumiliki mabasi na akina Shabiby na Aboud. Mabasi yake yanaitwa Esther.

Anamiliki/ anewahi kumiliki timu za Singida Big Stars, Ihefu, DTB na mara nyingine husaidia kulipa mishahara wachezaji wa Tanga.

View attachment 3049311

Kwa vile amekanusha mara kwa mara kuhusu umiliki wa mali hizi, IKIKUPENDEZA Mh Rais mpumzishe Mwigulu Nchemba hata kwa miezi 6. Kama hizo timu hazita STRUGGLE kulipa mishahara basi tutajuwa kuwa MMILIKI ni mtu mwingine.
Hakika
 
Kuthibitisha madai pia ni jukumu la mtuhumu.

Si ulimsikia speaker akitaka Mpina kuthibitisha shutuma zake za wizara ya kilimo.
Najuwa sana hiyo kuwa who alleges must prove. Sasa mbona unaogopa wewe? Nani kakuambia nitashindwa ku prove beyond reasonable doubt?
 
Mimi niko level nyingine ya fikra,
Siyo kama mwigulu. Anawaza level za kumiliki timu ushauri wa wagang wa kienyeji

Niko china nafuta technologia ya kulima mashamba ya mimea ya kutengeza dawa za mbu

Una swali lingine kijana
Mbona wakulima wa Muheza na Korogwe wanalima tu miti ya kutengeneza artemether na lumefantrine? Umepoteza muda bure kwenda China
 
Mbona wakulima wa Muheza na Korogwe wanalima tu miti ya kutengeneza artemether na lumefantrine? Umepoteza muda bure kwenda China
Jinga wewe

Mi nalima kijasiliamali kibiashara Lage scale
Kuna watz 8000 wataajiriwa
Siyo huyu mwigulu mtaji wake wizi na project zake haziwezi ajiri hata watu 50
 
Mwiguru amewekeza sana nyuma ya migongo ya watu. Usije shangaa ndugu yako kawa tajiri wa kutisha kwa mtaji wa laki moja mda mfupi kawa billionaire

Kuna wakati wa miaka ya 80s jirani yangu kaja kunishauri vipi akubali dau la shilingi 300 Millioni pesa kutoka jeshini zilitaka kuingizwa kwenye account yake na rafiki yake aliyekuwa Mhasibu Jeshini

, Nikamwambia usijaribu hilo deal kwani madeal hayo tena ya jeshi yaki bounce utajikuta pabaya sana .
Alikataa .

Huo ni mfano tu namna pesa zinavyopigwa TZ
 
20240723_145757.jpg
 
Jinga wewe

Mi nalima kijasiliamali kibiashara Lage scale
Kuna watz 8000 wataajiriwa
Siyo huyu mwigulu mtaji wake wizi na project zake haziwezi ajiri hata watu 50
Huna uwezo wa kuajiri Watanzania 8000. Ungekuwa na uwezo huo usingesafiri mwenyewe kwenda China. Ungewatuma ma CEO au CFO wako. Ila endelea kuota ndoto
 
Mwigulu afukuzwe ili timu fulani ipate shida sio ili uone mabadiliko nchini upande wa fedha?

Kumili bus nao ni utajiri wa kutisha? Timu kama Ihefu zimejichokea hata wewe unamiliki. Kuna waziri maskini? Kwanini mnapenda kila mtu awe maskini badala ya kuombea kila mtu awe tajiri?

Your motivation stems from hatred. Huu ndo uchawi wenyewe.
Well articulated
 
Back
Top Bottom