Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
ila jamaa anaibia sana taifa pengine ndio fisadi anaetambulika sana ambae bado yupo kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati nzuri hawa jamaa wakiiba wanapeleka mpk juu kwa mazaNa ufisadi wake ni wa wazi kabisa
Mimi niko level nyingine ya fikra,Wewe ukiwa na Pesa Akili yako inakutuma kufanya nini? Usisahau anasomesha mpaka Watoto yatima from primary to university Pesa analipa na hajitangazi
HakikaJamaa ana ukwasi siyo wa kawaida. Anashindana kumiliki mabasi na akina Shabiby na Aboud. Mabasi yake yanaitwa Esther.
Anamiliki/ anewahi kumiliki timu za Singida Big Stars, Ihefu, DTB na mara nyingine husaidia kulipa mishahara wachezaji wa Tanga.
View attachment 3049311
Kwa vile amekanusha mara kwa mara kuhusu umiliki wa mali hizi, IKIKUPENDEZA Mh Rais mpumzishe Mwigulu Nchemba hata kwa miezi 6. Kama hizo timu hazita STRUGGLE kulipa mishahara basi tutajuwa kuwa MMILIKI ni mtu mwingine.
Sawa basi endelea kufuta hio technologia sijui ni Gia Namba ngapi umefikia mpaka sasa?Niko china nafuta technologia ya kulima mashamba ya mimea ya kutengeza dawa za mbu
Najuwa sana hiyo kuwa who alleges must prove. Sasa mbona unaogopa wewe? Nani kakuambia nitashindwa ku prove beyond reasonable doubt?Kuthibitisha madai pia ni jukumu la mtuhumu.
Si ulimsikia speaker akitaka Mpina kuthibitisha shutuma zake za wizara ya kilimo.
Mbona wakulima wa Muheza na Korogwe wanalima tu miti ya kutengeneza artemether na lumefantrine? Umepoteza muda bure kwenda ChinaMimi niko level nyingine ya fikra,
Siyo kama mwigulu. Anawaza level za kumiliki timu ushauri wa wagang wa kienyeji
Niko china nafuta technologia ya kulima mashamba ya mimea ya kutengeza dawa za mbu
Una swali lingine kijana
Jinga weweMbona wakulima wa Muheza na Korogwe wanalima tu miti ya kutengeneza artemether na lumefantrine? Umepoteza muda bure kwenda China
Mwiguru amewekeza sana nyuma ya migongo ya watu. Usije shangaa ndugu yako kawa tajiri wa kutisha kwa mtaji wa laki moja mda mfupi kawa billionaire
Huna uwezo wa kuajiri Watanzania 8000. Ungekuwa na uwezo huo usingesafiri mwenyewe kwenda China. Ungewatuma ma CEO au CFO wako. Ila endelea kuota ndotoJinga wewe
Mi nalima kijasiliamali kibiashara Lage scale
Kuna watz 8000 wataajiriwa
Siyo huyu mwigulu mtaji wake wizi na project zake haziwezi ajiri hata watu 50
Inahitaji ushahidi hilo siyo maneno tu ya mtandaoni.Kumbuka kuwa hizo fedha anazotumia kuendesha Ihefu na Singida BS ni fedha za kodi yako wewe na mimi!!
Mwigulu ni muovu kwelikweli hata kwenye dili la pembe za ndovu yumo. wengi wame deadMwigulu ni mtu muovu haswa pamoja na akina Ummy, Aweso, Bashe ndiyo genge lilelile
Ni mtu hatari snMwigulu ni muovu kwelikweli hata kwenye dili la pembe za ndovu yumo. wengi wame dead
Well articulatedMwigulu afukuzwe ili timu fulani ipate shida sio ili uone mabadiliko nchini upande wa fedha?
Kumili bus nao ni utajiri wa kutisha? Timu kama Ihefu zimejichokea hata wewe unamiliki. Kuna waziri maskini? Kwanini mnapenda kila mtu awe maskini badala ya kuombea kila mtu awe tajiri?
Your motivation stems from hatred. Huu ndo uchawi wenyewe.