Japo Kelele za Mlango, Hazimkoseshi Mwenye Nyumba Usingizi, Zikizidi Zinakera!. Kelele za Minimum Reforms, Sio Kero?, Mwenye Nyumba Anapata Usingizi?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi.
Screen Shot 2025-05-15 at 2.21.06 PM.png

Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa Bunge la Ulaya, limepitisha maazimio yanaingilia uhuru wetu na soveignity ya nchi yetu.

Sovereignty ni kitendo cha nchi kuwa huru kuamua mambo yake na kufanya mambo yake kwa uhuru bila kuingiliwa na mtu yoyote, taasisi yoyote, au mataifa yoyote, hivyo kitendo kilichofanywa na Bunge la Ulaya, kuonekana kama ni kuingilia sovereignty yetu na kulipangia Bunge la JMT nini cha kufanya.

Kimataifa, Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye rais mmoja, rais wa JMT, yenye katiba moja, katiba moja ya JMT na soveiginity moja ya sovereignty ya JMT.

Tanzania ni nchi huru inayotawaliwa na katiba ya JMT, sheria zilizotungwa na Bunge la JMT, kanuni na taratibu za JMT. Kitaifa, Tanzania itaendeshwa kwa katiba ya JMT na sheria zilizotungwa na Bunge la JMT. Lakini katika uendeshaji wa nchi, nchi zote zinaendeshwa kwa sheria mbili,

1. Sheria za nchi husika, zinaitwa domestic laws, ni sheria zinazotungwa na Bunge letu, ni sheria zetu za ndani.

2. Sheria za kimataifa, International Laws ambazo hazikutungwa na Bunge letu, lakini Tanzania, tumezisaini kuzikubali, na sheria hizo za kimataifa, kuletwa nchini, kuingizwa kwenye Bunge letu kupitia process inayoitwa ratification, kwa Bunge kuridhia mikataba ya kimataifa, sheria hizo zikiisha ridhiwa na Bunge husika, yaani baada ya kuwa ratified, zinageuka ni sheria za Tanzania!, kwa lugha nyingine, ratification ni process ya ku domesticate international laws into local laws, yaani mikataba yote ya kimataifa Tanzania iliyo saini na Bunge letu kuridhia, sheria za mikataba hiyo zinakuwa ni sheria za Tanzania.

Hivyo Tanzania ikikiuka kipengele chochochote cha sheria hizo za kimataifa, Tanzania inaweza kujadiliwa na mabunge yoyote au taasisi za kimataifa na kupewa amri halali za kutekeleza sheria zote na kimataifa zilzo kiukwa, hivyo Bunge la Ulaya liko huru kuijadili nchi yoyote inayokiuka sheria zozote za kimataifa.

Kitu Watanzania wengi wasichojua ni kuwa kuna sheria nyingi za kimataifa kuhusu haki za binaadamu kwa mujibu wa Tamko la Kimataifa la Haki za Binaadamu, UDHR, ambalo Tanzania tumesaini, lakini hatuzitekelezi haki hizo, ikiwemo haki muhimu ya kuishi, wakati sheria zetu bado zina hukumu ya kifo.

Ili tuweze kutoka kwenye mtanziko huu, hatua ya kwanza ni kwa Bunge letu, linapata mamlaka yake kwa wananchi, kupitia katiba ya JMT ya Mwaka 1977, Wananchi ndio wenye nchi, wenye katiba, wenye Bunge, Bunge ni chombo cha uwakilishi wa wananchi, linafanya shughuli zake kwa niaba ya wananchini, linatakiwa kutimiza kikamilifu wajibu wake wa kuisimamia serikali na vyombo vyake vyote kwa mujibu wa Ibara 63(2) ya Katiba ya JMT, kuhakikisha serikali haikiuki sheria zozote za kitaifa na kimataifa nchini Tanzania.

Kwa maneno mengine ni kwamba Bunge linapaswa kuisimamia Serikali kikamilifu na kuhakikisha serikali na chombo chake chochote, lazima kufanya mambo yake yote kwa mujibu wa katiba ya JMT, na wasiruhusu serikali yetu au chombo chochote cha serikali kufanya jambo lolote ambalo ni kinyume cha Katiba ya JMT.

Sio mara moja wala mara mbili nimeandika kwenye safu hii, umuhimu wa kufanya kwanza mabadiliko madogo ya katiba, ndipo tuje tufanye mabadiliko ya sheria, kwasababu katiba ndio sheria mama, na sheria nyingine zote, kabla hazijatungwa ni lazima ziendane na katiba.

Kuna mikataba mingi ya kimataifa Tanzania tumeiridhia, lakini hatuitekelezi!.
Mfano mzuri ni hii sheria iliyoanzisha Tume Huru ya Uchaguzi, sheria hii ni batili kwasababu ndani ya katiba bado haina tume huru. Mpaka hapa ninapoandika Katiba, ya JMT, haitambui INEC, bado inaitambua NEC.

Mfano mkubwa mzuri wa kawaida kabisa ni shurti la mgombea uongozi kudhaminiwa na chama cha siasa ni kinyume cha Ibara ya 21 ya katiba ya JMT, lakini kipengele hicgo kimechomekewa kwenye katiba yetu kibatiliti kwa mabadiliko ya katiba ya JMT yaliyofanywa hati ya dharura na Bunge, ambali lilibadili katiba kama vile linabadili sheria, wakati utaratibu wa Bunge kufanya mabadiliko halali ya katiba, haukufuatwa, hivyo hayo mabadiliko yamefanywa kiubatili!.

Shurti hili ni kinyume cha tamko la kimataifa la haki za binaadamu, ambalo Tanzania tumeridhia na kuingiza haki za binaadamu ndani ya katiba yetu. Tukizikiuka, tunashughulikiwa kimataifa.

Kipengele hicho ni kinyume cha tamko la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za kisiasa, Tanzania tumeridhia lakini hatutekelezi!.

Kipengele hicho pia ni kiyume cha African Charter of People and Political Rights ambazo Tanzania tumeridhia lakini hatutekelezi!.

Kati ya 1979 na 2005, Bunge la JMT limefanya mabadiliko ya katiba mara 14 kwa kutunga sheria ya mabadiliko ya katiba wakati Bunge kama Bunge, ni zao la katiba, halina mamlaka ya kubadilisha Katiba ya JMT kwa kutumia sheria ya kawaida ambayo haitamki kwamba lengo lake ni kubadilisha Katiba bali linaweza kubadili katiba kwa kutunga sheria ya mabadiliko ya katiba ndipo libadili katiba.

Dunia kwa sasa ni kijiji, Tanzania sio kisiwa, hivyo kila tunachofanya kinaonekana dunia nzima, na mataifa yote, kwa sasa yanayoendesha mambo yao kwa ukweli, uwazi na umakini mkubwa, na mambo ya mataifa yote yanafuatiliwa kimataifa, sote tunakijua kilichomkuta Rais Uhuru Kenyatta au El Bashri wa Sudan, tena afadhali hao walifikishwa mahakamani, lakini Ghadafi wa Libya na Sadaam Hussein, hawakuwa na bahati!, hata sisi enzi za Mwalimu Nyerere, tuliwasaidia ndugu zetu na majirani zetu wa Uganda, kwa kumshikisha adabu Yule dikiteta wao.

Ombi kwa Bunge letu, isimamieni serikali yetu kikamilifu, na ombi kwa serikali yetu, tuendelee kufanya mambo yetu kwa mujibu wa katiba na sheria, hatutasikia kunyooshewa kidole na yeyote na kupigiwa kelele yoyote.

Japo kelele za mlango, huwa hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, lakini zikizidi sana, zinakuwa ni kero kwa mwenye nyumba!, vipi hizi kelele za kutaka minimum reforms?, ni hitaji hili la minimum reforms, zimepelekea Chadema kuja na NRNE, ambayo kiukweli inasumbua sana kwa kelele!.

Ni kelele hizi, zimefanya mropokaji mmoja, akaropoka tuu kukinukisha mpaka uchaguzi usifanyike, na matokeo yake amehifadhiwa mahala salama, na kutwishwa kale ka kesi ka uongo na ukweli, matokeo yake sasa Tanzania inapigiwa kelele dunia nzima, Bunge la EU, wameanza, Congress soon watafuatia, hivi mwenye nyumba wetu kweli anapata msingizi mnono kweli?.

Ombi kwa Rais Samia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu, ni muda wa kutosha kabisa kufanya mabadiliko madogo ya katiba na kuzizima kabisa hizi kelele zote ambazo zinatukera baadhi yetu, unless Mama kama wewe hazikukeri, na unapata usingizi wako mzuri kabisa!, then endelea kujilalia, don't be disturbed na kelele hizi, ila tukifanya uchaguzi mkuu huu bila kufanya minimum reforms za katiba, the consequences za kitakachotokea, usije kusema hukujua kwasababu tulikushauri kabla .

Mungu Mbariki Rais Samia Aweze!

Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
 
Refer
  • Kipengele hicho ni kinyume cha tamko la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za kisiasa, Tanzania tumeridhia lakini hatutekelezi!.
  • Kipengele hicho pia ni kiyume cha African Charter of People and Political Rights ambazo Tanzania tumeridhia lakini hatutekelezi!.
Ninavyoelewa, mkataba unakuwa na clause za hatua gani zitachukuliwa ikiwa signatory anakiuka kwa kiburi tu na wendawazimu alionao bila kuwapo force majeure ya aina yeyote. Lazima mkataba uwe na kipengele za enforcement.

Sasa kama tumekiuka, ni hatua gani zinapaswa kuchukuliwa, na nani, kwa utaratibu gani?

Na domestically, ikiwa uongozi wa nchi unakiuka Katiba, kwa makusudi kabisa, inafanya iwe halali mtu yeyote kupindua nchi, kwa sababu kutii katiba ni suala la kiapo na kuivunja makusudi ni uhaini. Sasa kimataifa je, tunaweza kupindua serikali ya Tanzania na kujiteteta kwenye vyombo kama AU na UN kwamba tumepindua nchi kwa sababu uongozi ulikuwa unavunja katiba ya nchi na mikataba ya kimataifa, ili tusiwekewe vikwazo vya kuuondoa uongozi bila kufuata utaratibu wa kidemokrasia wa uchaguzi?
 
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi.
View attachment 3334620
Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa Bunge la Ulaya, limepitisha maazimio yanaingilia uhuru wetu na soveignity ya nchi yetu.

Sovereignty ni kitendo cha nchi kuwa huru kuamua mambo yake na kufanya mambo yake kwa uhuru bila kuingiliwa na mtu yoyote, taasisi yoyote, au mataifa yoyote, hivyo kitendo kilichofanywa na Bunge la Ulaya, kuonekana kama ni kuingilia sovereignty yetu na kulipangia Bunge la JMT nini cha kufanya.

Kimataifa, Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye rais mmoja, rais wa JMT, yenye katiba moja, katiba moja ya JMT na soveiginity moja ya sovereignty ya JMT.

Tanzania ni nchi huru inayotawaliwa na katiba ya JMT, sheria zilizotungwa na Bunge la JMT, kanuni na taratibu za JMT. Kitaifa, Tanzania itaendeshwa kwa katiba ya JMT na sheria zilizotungwa na Bunge la JMT. Lakini katika uendeshaji wa nchi, nchi zote zinaendeshwa kwa sheria mbili,

1. Sheria za nchi husika, zinaitwa domestic laws, ni sheria zinazotungwa na Bunge letu, ni sheria zetu za ndani.

2. Sheria za kimataifa, International Laws ambazo hazikutungwa na Bunge letu, lakini Tanzania, tumezisaini kuzikubali, na sheria hizo za kimataifa, kuletwa nchini, kuingizwa kwenye Bunge letu kupitia process inayoitwa ratification, kwa Bunge kuridhia mikataba ya kimataifa, sheria hizo zikiisha ridhiwa na Bunge husika, yaani baada ya kuwa ratified, zinageuka ni sheria za Tanzania!, kwa lugha nyingine, ratification ni process ya ku domesticate international laws into local laws, yaani mikataba yote ya kimataifa Tanzania iliyo saini na Bunge letu kuridhia, sheria za mikataba hiyo zinakuwa ni sheria za Tanzania.

Hivyo Tanzania ikikiuka kipengele chochochote cha sheria hizo za kimataifa, Tanzania inaweza kujadiliwa na mabunge yoyote au taasisi za kimataifa na kupewa amri halali za kutekeleza sheria zote na kimataifa zilzo kiukwa, hivyo Bunge la Ulaya liko huru kuijadili nchi yoyote inayokiuka sheria zozote za kimataifa.

Kitu Watanzania wengi wasichojua ni kuwa kuna sheria nyingi za kimataifa kuhusu haki za binaadamu kwa mujibu wa Tamko la Kimataifa la Haki za Binaadamu, UDHR, ambalo Tanzania tumesaini, lakini hatuzitekelezi haki hizo, ikiwemo haki muhimu ya kuishi, wakati sheria zetu bado zina hukumu ya kifo.

Ili tuweze kutoka kwenye mtanziko huu, hatua ya kwanza ni kwa Bunge letu, linapata mamlaka yake kwa wananchi, kupitia katiba ya JMT ya Mwaka 1977, Wananchi ndio wenye nchi, wenye katiba, wenye Bunge, Bunge ni chombo cha uwakilishi wa wananchi, linafanya shughuli zake kwa niaba ya wananchini, linatakiwa kutimiza kikamilifu wajibu wake wa kuisimamia serikali na vyombo vyake vyote kwa mujibu wa Ibara 63(2) ya Katiba ya JMT, kuhakikisha serikali haikiuki sheria zozote za kitaifa na kimataifa nchini Tanzania.

Kwa maneno mengine ni kwamba Bunge linapaswa kuisimamia Serikali kikamilifu na kuhakikisha serikali na chombo chake chochote, lazima kufanya mambo yake yote kwa mujibu wa katiba ya JMT, na wasiruhusu serikali yetu au chombo chochote cha serikali kufanya jambo lolote ambalo ni kinyume cha Katiba ya JMT.

Sio mara moja wala mara mbili nimeandika kwenye safu hii, umuhimu wa kufanya kwanza mabadiliko madogo ya katiba, ndipo tuje tufanye mabadiliko ya sheria, kwasababu katiba ndio sheria mama, na sheria nyingine zote, kabla hazijatungwa ni lazima ziendane na katiba.

Kuna mikataba mingi ya kimataifa Tanzania tumeiridhia, lakini hatuitekelezi!.
Mfano mzuri ni hii sheria iliyoanzisha Tume Huru ya Uchaguzi, sheria hii ni batili kwasababu ndani ya katiba bado haina tume huru. Mpaka hapa ninapoandika Katiba, ya JMT, haitambui INEC, bado inaitambua NEC.

Mfano mkubwa mzuri wa kawaida kabisa ni shurti la mgombea uongozi kudhaminiwa na chama cha siasa ni kinyume cha Ibara ya 21 ya katiba ya JMT, lakini kipengele hicgo kimechomekewa kwenye katiba yetu kibatiliti kwa mabadiliko ya katiba ya JMT yaliyofanywa hati ya dharura na Bunge, ambali lilibadili katiba kama vile linabadili sheria, wakati utaratibu wa Bunge kufanya mabadiliko halali ya katiba, haukufuatwa, hivyo hayo mabadiliko yamefanywa kiubatili!.

Shurti hili ni kinyume cha tamko la kimataifa la haki za binaadamu, ambalo Tanzania tumeridhia na kuingiza haki za binaadamu ndani ya katiba yetu. Tukizikiuka, tunashughulikiwa kimataifa.

Kipengele hicho ni kinyume cha tamko la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za kisiasa, Tanzania tumeridhia lakini hatutekelezi!.

Kipengele hicho pia ni kiyume cha African Charter of People and Political Rights ambazo Tanzania tumeridhia lakini hatutekelezi!.

Kati ya 1979 na 2005, Bunge la JMT limefanya mabadiliko ya katiba mara 14 kwa kutunga sheria ya mabadiliko ya katiba wakati Bunge kama Bunge, ni zao la katiba, halina mamlaka ya kubadilisha Katiba ya JMT kwa kutumia sheria ya kawaida ambayo haitamki kwamba lengo lake ni kubadilisha Katiba bali linaweza kubadili katiba kwa kutunga sheria ya mabadiliko ya katiba ndipo libadili katiba.

Dunia kwa sasa ni kijiji, Tanzania sio kisiwa, hivyo kila tunachofanya kinaonekana dunia nzima, na mataifa yote, kwa sasa yanayoendesha mambo yao kwa ukweli, uwazi na umakini mkubwa, na mambo ya mataifa yote yanafuatiliwa kimataifa, sote tunakijua kilichomkuta Rais Uhuru Kenyatta au El Bashri wa Sudan, tena afadhali hao walifikishwa mahakamani, lakini Ghadafi wa Libya na Sadaam Hussein, hawakuwa na bahati!, hata sisi enzi za Mwalimu Nyerere, tuliwasaidia ndugu zetu na majirani zetu wa Uganda, kwa kumshikisha adabu Yule dikiteta wao.

Ombi kwa Bunge letu, isimamieni serikali yetu kikamilifu, na ombi kwa serikali yetu, tuendelee kufanya mambo yetu kwa mujibu wa katiba na sheria, hatutasikia kunyooshewa kidole na yeyote na kupigiwa kelele yoyote. Japo kele za mlango, huwa hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, lakini zikizidi sana, zinakuwa ni kero kwa mwenye nyumba!, Ombi kwa Rais Samia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu, ni muda wa kutosha kabisa kufanya mabadiliko madogo ya katiba na kuzizima kabisa hizi kelele zote!.

Mungu Mbariki Rais Samia Aweze!

Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Andiko la kikubwa hili. Hongera sana kaka Paschal kwa ushauri huo. Tanzania ni yetu sote, hatuna sababu ya kuuana kwa sababu ya tofauti zetu za Kiitikadi.
 
Ombi kwa Bunge letu, isimamieni serikali yetu kikamilifu, na ombi kwa serikali yetu, tuendelee kufanya mambo yetu kwa mujibu wa katiba na sheria, hatutasikia kunyooshewa kidole na yeyote na kupigiwa kelele yoyote. Japo kele za mlango, huwa hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, lakini zikizidi sana, zinakuwa ni kero kwa mwenye nyumba!, Ombi kwa Rais Samia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu, ni muda wa kutosha kabisa kufanya mabadiliko madogo ya katiba na kuzizima kabisa hizi kelele zote!.
Unaliomba bunge lipi?
 
Bila kufanya mabadiliko hakuna uchaguzi.
Mkuu Uponya,@uponyaji na uzima,umeongea vizuri sana kuwa bila kufanya mabadiliko hakuna uchaguzi, hii inamaana hata kama uchaguzi utafanyika ni sawa na hakuna uchaguzi,haya ndio maneno,na sio viongozi wa Chadema kuwadanga watu kuwa watauzuia uchaguzi usifanyike kwa kukinukisha,hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi usifanyike!。
P
 
Kwenye siasa hapa Tanzania uchaguzi halali kwa kiasi kikubwa ni ule wa 2005. Nje ya hapo ni utapeli.
 
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi.
View attachment 3334620
Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa Bunge la Ulaya, limepitisha maazimio yanaingilia uhuru wetu na soveignity ya nchi yetu.

Sovereignty ni kitendo cha nchi kuwa huru kuamua mambo yake na kufanya mambo yake kwa uhuru bila kuingiliwa na mtu yoyote, taasisi yoyote, au mataifa yoyote, hivyo kitendo kilichofanywa na Bunge la Ulaya, kuonekana kama ni kuingilia sovereignty yetu na kulipangia Bunge la JMT nini cha kufanya.

Kimataifa, Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye rais mmoja, rais wa JMT, yenye katiba moja, katiba moja ya JMT na soveiginity moja ya sovereignty ya JMT.

Tanzania ni nchi huru inayotawaliwa na katiba ya JMT, sheria zilizotungwa na Bunge la JMT, kanuni na taratibu za JMT. Kitaifa, Tanzania itaendeshwa kwa katiba ya JMT na sheria zilizotungwa na Bunge la JMT. Lakini katika uendeshaji wa nchi, nchi zote zinaendeshwa kwa sheria mbili,

1. Sheria za nchi husika, zinaitwa domestic laws, ni sheria zinazotungwa na Bunge letu, ni sheria zetu za ndani.

2. Sheria za kimataifa, International Laws ambazo hazikutungwa na Bunge letu, lakini Tanzania, tumezisaini kuzikubali, na sheria hizo za kimataifa, kuletwa nchini, kuingizwa kwenye Bunge letu kupitia process inayoitwa ratification, kwa Bunge kuridhia mikataba ya kimataifa, sheria hizo zikiisha ridhiwa na Bunge husika, yaani baada ya kuwa ratified, zinageuka ni sheria za Tanzania!, kwa lugha nyingine, ratification ni process ya ku domesticate international laws into local laws, yaani mikataba yote ya kimataifa Tanzania iliyo saini na Bunge letu kuridhia, sheria za mikataba hiyo zinakuwa ni sheria za Tanzania.

Hivyo Tanzania ikikiuka kipengele chochochote cha sheria hizo za kimataifa, Tanzania inaweza kujadiliwa na mabunge yoyote au taasisi za kimataifa na kupewa amri halali za kutekeleza sheria zote na kimataifa zilzo kiukwa, hivyo Bunge la Ulaya liko huru kuijadili nchi yoyote inayokiuka sheria zozote za kimataifa.

Kitu Watanzania wengi wasichojua ni kuwa kuna sheria nyingi za kimataifa kuhusu haki za binaadamu kwa mujibu wa Tamko la Kimataifa la Haki za Binaadamu, UDHR, ambalo Tanzania tumesaini, lakini hatuzitekelezi haki hizo, ikiwemo haki muhimu ya kuishi, wakati sheria zetu bado zina hukumu ya kifo.

Ili tuweze kutoka kwenye mtanziko huu, hatua ya kwanza ni kwa Bunge letu, linapata mamlaka yake kwa wananchi, kupitia katiba ya JMT ya Mwaka 1977, Wananchi ndio wenye nchi, wenye katiba, wenye Bunge, Bunge ni chombo cha uwakilishi wa wananchi, linafanya shughuli zake kwa niaba ya wananchini, linatakiwa kutimiza kikamilifu wajibu wake wa kuisimamia serikali na vyombo vyake vyote kwa mujibu wa Ibara 63(2) ya Katiba ya JMT, kuhakikisha serikali haikiuki sheria zozote za kitaifa na kimataifa nchini Tanzania.

Kwa maneno mengine ni kwamba Bunge linapaswa kuisimamia Serikali kikamilifu na kuhakikisha serikali na chombo chake chochote, lazima kufanya mambo yake yote kwa mujibu wa katiba ya JMT, na wasiruhusu serikali yetu au chombo chochote cha serikali kufanya jambo lolote ambalo ni kinyume cha Katiba ya JMT.

Sio mara moja wala mara mbili nimeandika kwenye safu hii, umuhimu wa kufanya kwanza mabadiliko madogo ya katiba, ndipo tuje tufanye mabadiliko ya sheria, kwasababu katiba ndio sheria mama, na sheria nyingine zote, kabla hazijatungwa ni lazima ziendane na katiba.

Kuna mikataba mingi ya kimataifa Tanzania tumeiridhia, lakini hatuitekelezi!.
Mfano mzuri ni hii sheria iliyoanzisha Tume Huru ya Uchaguzi, sheria hii ni batili kwasababu ndani ya katiba bado haina tume huru. Mpaka hapa ninapoandika Katiba, ya JMT, haitambui INEC, bado inaitambua NEC.

Mfano mkubwa mzuri wa kawaida kabisa ni shurti la mgombea uongozi kudhaminiwa na chama cha siasa ni kinyume cha Ibara ya 21 ya katiba ya JMT, lakini kipengele hicgo kimechomekewa kwenye katiba yetu kibatiliti kwa mabadiliko ya katiba ya JMT yaliyofanywa hati ya dharura na Bunge, ambali lilibadili katiba kama vile linabadili sheria, wakati utaratibu wa Bunge kufanya mabadiliko halali ya katiba, haukufuatwa, hivyo hayo mabadiliko yamefanywa kiubatili!.

Shurti hili ni kinyume cha tamko la kimataifa la haki za binaadamu, ambalo Tanzania tumeridhia na kuingiza haki za binaadamu ndani ya katiba yetu. Tukizikiuka, tunashughulikiwa kimataifa.

Kipengele hicho ni kinyume cha tamko la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za kisiasa, Tanzania tumeridhia lakini hatutekelezi!.

Kipengele hicho pia ni kiyume cha African Charter of People and Political Rights ambazo Tanzania tumeridhia lakini hatutekelezi!.

Kati ya 1979 na 2005, Bunge la JMT limefanya mabadiliko ya katiba mara 14 kwa kutunga sheria ya mabadiliko ya katiba wakati Bunge kama Bunge, ni zao la katiba, halina mamlaka ya kubadilisha Katiba ya JMT kwa kutumia sheria ya kawaida ambayo haitamki kwamba lengo lake ni kubadilisha Katiba bali linaweza kubadili katiba kwa kutunga sheria ya mabadiliko ya katiba ndipo libadili katiba.

Dunia kwa sasa ni kijiji, Tanzania sio kisiwa, hivyo kila tunachofanya kinaonekana dunia nzima, na mataifa yote, kwa sasa yanayoendesha mambo yao kwa ukweli, uwazi na umakini mkubwa, na mambo ya mataifa yote yanafuatiliwa kimataifa, sote tunakijua kilichomkuta Rais Uhuru Kenyatta au El Bashri wa Sudan, tena afadhali hao walifikishwa mahakamani, lakini Ghadafi wa Libya na Sadaam Hussein, hawakuwa na bahati!, hata sisi enzi za Mwalimu Nyerere, tuliwasaidia ndugu zetu na majirani zetu wa Uganda, kwa kumshikisha adabu Yule dikiteta wao.

Ombi kwa Bunge letu, isimamieni serikali yetu kikamilifu, na ombi kwa serikali yetu, tuendelee kufanya mambo yetu kwa mujibu wa katiba na sheria, hatutasikia kunyooshewa kidole na yeyote na kupigiwa kelele yoyote.

Japo kelele za mlango, huwa hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, lakini zikizidi sana, zinakuwa ni kero kwa mwenye nyumba!, vipi hizi kelele za kutaka minimum reforms?, ni hitaji hili la minimum reforms, zimepelekea Chadema kuja na NRNE, ambayo kiukweli inasumbua sana kwa kelele!.

Ni kelele hizi, zimefanya mropokaji mmoja, akaropoka tuu kukinukisha mpaka uchaguzi usifanyike, na matokeo yake amehifadhiwa mahala salama, na kutwishwa kale ka kesi ka uongo na ukweli, matokeo yake sasa Tanzania inapigiwa kelele dunia nzima, Bunge la EU, wameanza, Congress soon watafuatia, hivi mwenye nyumba wetu kweli anapata msingizi mnono kweli?.

Ombi kwa Rais Samia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu, ni muda wa kutosha kabisa kufanya mabadiliko madogo ya katiba na kuzizima kabisa hizi kelele zote ambazo zinatukera baadhi yetu, unless Mama kama wewe hazikukeri, na unapata usingizi wako mzuri kabisa!.

Mungu Mbariki Rais Samia Aweze!

Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Mama ni chura kiziwi
 
Refer
  • Kipengele hicho ni kinyume cha tamko la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za kisiasa, Tanzania tumeridhia lakini hatutekelezi!.
  • Kipengele hicho pia ni kiyume cha African Charter of People and Political Rights ambazo Tanzania tumeridhia lakini hatutekelezi!.
Ninavyoelewa, mkataba unakuwa na clause za hatua gani zitachukuliwa ikiwa signatory anakiuka kwa kiburi tu na wendawazimu alionao bila kuwapo force majeure ya aina yeyote. Lazima mkataba uwe na kipengele za enforcement.
Mikataba yote ya kimataifa tulio ridhia,ina international enforcements kutumia international organs,Bunge la EU sio international organ, inter org yenye enforcement power ni UN org, Tanzania inashitakiwa UN wanaoitisha azimio,la kuishughulikia Tanzania,ila hilo azimio lipite,lazima liungwe mkono na wale 5 permanent members wenye kura ya VETO,mmoja wa member hao ni rafiki yetu mkubwa China,hivyo azimio hilo haliwezi kupita!。
Sasa kama tumekiuka, ni hatua gani zinapaswa kuchukuliwa, na nani, kwa utaratibu gani?
hatua ya kwanza ni condemnation kama walivyofanya Bunge la EU,Congress nao soon will follow,then watakuja na travel ban,then vikwazo vya misaada,vikwazo vya kiuchumi,mwisho watatushitaki UN,tushughulikiwe!
Na domestically, ikiwa uongozi wa nchi unakiuka Katiba, kwa makusudi kabisa, inafanya iwe halali mtu yeyote kupindua nchi,
Hapana,hakuna uhalali wowote wa nchi yoyote kupindua nchi,kwasababu katiba zote za nchi zote zinautaratibu wa kikatiba wa kushughulikia uvunjaji wa katiba zao!。

Hata kukifanyika mapinduzi,nchi inaendelea kutambulika,ila ina change status,kutoka kuwa nchi yenye serikali halali,de jure,na kugeuka nchi yenye serikali haramu,de facto!
kwa sababu kutii katiba ni suala la kiapo na kuivunja makusudi ni uhaini.
hapana sio kila kuvunja katiba ni uhaini, na kosa la uhaini sio kuvunja katiba,uhaini kupindua serikali halali,kuisaliti nchi au kumuua rais。
Sasa kimataifa je, tunaweza kupindua serikali ya Tanzania na kujiteteta kwenye vyombo kama AU na UN kwamba tumepindua nchi kwa sababu uongozi ulikuwa unavunja katiba ya nchi na mikataba ya kimataifa, ili tusiwekewe vikwazo vya kuuondoa uongozi bila kufuata utaratibu wa kidemokrasia wa uchaguzi?
hapana hatuwezi。hakuna uhalali wa kupindua nchi
P
 
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi.
View attachment 3334620
Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa Bunge la Ulaya, limepitisha maazimio yanaingilia uhuru wetu na soveignity ya nchi yetu.

Sovereignty ni kitendo cha nchi kuwa huru kuamua mambo yake na kufanya mambo yake kwa uhuru bila kuingiliwa na mtu yoyote, taasisi yoyote, au mataifa yoyote, hivyo kitendo kilichofanywa na Bunge la Ulaya, kuonekana kama ni kuingilia sovereignty yetu na kulipangia Bunge la JMT nini cha kufanya.

Kimataifa, Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye rais mmoja, rais wa JMT, yenye katiba moja, katiba moja ya JMT na soveiginity moja ya sovereignty ya JMT.

Tanzania ni nchi huru inayotawaliwa na katiba ya JMT, sheria zilizotungwa na Bunge la JMT, kanuni na taratibu za JMT. Kitaifa, Tanzania itaendeshwa kwa katiba ya JMT na sheria zilizotungwa na Bunge la JMT. Lakini katika uendeshaji wa nchi, nchi zote zinaendeshwa kwa sheria mbili,

1. Sheria za nchi husika, zinaitwa domestic laws, ni sheria zinazotungwa na Bunge letu, ni sheria zetu za ndani.

2. Sheria za kimataifa, International Laws ambazo hazikutungwa na Bunge letu, lakini Tanzania, tumezisaini kuzikubali, na sheria hizo za kimataifa, kuletwa nchini, kuingizwa kwenye Bunge letu kupitia process inayoitwa ratification, kwa Bunge kuridhia mikataba ya kimataifa, sheria hizo zikiisha ridhiwa na Bunge husika, yaani baada ya kuwa ratified, zinageuka ni sheria za Tanzania!, kwa lugha nyingine, ratification ni process ya ku domesticate international laws into local laws, yaani mikataba yote ya kimataifa Tanzania iliyo saini na Bunge letu kuridhia, sheria za mikataba hiyo zinakuwa ni sheria za Tanzania.

Hivyo Tanzania ikikiuka kipengele chochochote cha sheria hizo za kimataifa, Tanzania inaweza kujadiliwa na mabunge yoyote au taasisi za kimataifa na kupewa amri halali za kutekeleza sheria zote na kimataifa zilzo kiukwa, hivyo Bunge la Ulaya liko huru kuijadili nchi yoyote inayokiuka sheria zozote za kimataifa.

Kitu Watanzania wengi wasichojua ni kuwa kuna sheria nyingi za kimataifa kuhusu haki za binaadamu kwa mujibu wa Tamko la Kimataifa la Haki za Binaadamu, UDHR, ambalo Tanzania tumesaini, lakini hatuzitekelezi haki hizo, ikiwemo haki muhimu ya kuishi, wakati sheria zetu bado zina hukumu ya kifo.

Ili tuweze kutoka kwenye mtanziko huu, hatua ya kwanza ni kwa Bunge letu, linapata mamlaka yake kwa wananchi, kupitia katiba ya JMT ya Mwaka 1977, Wananchi ndio wenye nchi, wenye katiba, wenye Bunge, Bunge ni chombo cha uwakilishi wa wananchi, linafanya shughuli zake kwa niaba ya wananchini, linatakiwa kutimiza kikamilifu wajibu wake wa kuisimamia serikali na vyombo vyake vyote kwa mujibu wa Ibara 63(2) ya Katiba ya JMT, kuhakikisha serikali haikiuki sheria zozote za kitaifa na kimataifa nchini Tanzania.

Kwa maneno mengine ni kwamba Bunge linapaswa kuisimamia Serikali kikamilifu na kuhakikisha serikali na chombo chake chochote, lazima kufanya mambo yake yote kwa mujibu wa katiba ya JMT, na wasiruhusu serikali yetu au chombo chochote cha serikali kufanya jambo lolote ambalo ni kinyume cha Katiba ya JMT.

Sio mara moja wala mara mbili nimeandika kwenye safu hii, umuhimu wa kufanya kwanza mabadiliko madogo ya katiba, ndipo tuje tufanye mabadiliko ya sheria, kwasababu katiba ndio sheria mama, na sheria nyingine zote, kabla hazijatungwa ni lazima ziendane na katiba.

Kuna mikataba mingi ya kimataifa Tanzania tumeiridhia, lakini hatuitekelezi!.
Mfano mzuri ni hii sheria iliyoanzisha Tume Huru ya Uchaguzi, sheria hii ni batili kwasababu ndani ya katiba bado haina tume huru. Mpaka hapa ninapoandika Katiba, ya JMT, haitambui INEC, bado inaitambua NEC.

Mfano mkubwa mzuri wa kawaida kabisa ni shurti la mgombea uongozi kudhaminiwa na chama cha siasa ni kinyume cha Ibara ya 21 ya katiba ya JMT, lakini kipengele hicgo kimechomekewa kwenye katiba yetu kibatiliti kwa mabadiliko ya katiba ya JMT yaliyofanywa hati ya dharura na Bunge, ambali lilibadili katiba kama vile linabadili sheria, wakati utaratibu wa Bunge kufanya mabadiliko halali ya katiba, haukufuatwa, hivyo hayo mabadiliko yamefanywa kiubatili!.

Shurti hili ni kinyume cha tamko la kimataifa la haki za binaadamu, ambalo Tanzania tumeridhia na kuingiza haki za binaadamu ndani ya katiba yetu. Tukizikiuka, tunashughulikiwa kimataifa.

Kipengele hicho ni kinyume cha tamko la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za kisiasa, Tanzania tumeridhia lakini hatutekelezi!.

Kipengele hicho pia ni kiyume cha African Charter of People and Political Rights ambazo Tanzania tumeridhia lakini hatutekelezi!.

Kati ya 1979 na 2005, Bunge la JMT limefanya mabadiliko ya katiba mara 14 kwa kutunga sheria ya mabadiliko ya katiba wakati Bunge kama Bunge, ni zao la katiba, halina mamlaka ya kubadilisha Katiba ya JMT kwa kutumia sheria ya kawaida ambayo haitamki kwamba lengo lake ni kubadilisha Katiba bali linaweza kubadili katiba kwa kutunga sheria ya mabadiliko ya katiba ndipo libadili katiba.

Dunia kwa sasa ni kijiji, Tanzania sio kisiwa, hivyo kila tunachofanya kinaonekana dunia nzima, na mataifa yote, kwa sasa yanayoendesha mambo yao kwa ukweli, uwazi na umakini mkubwa, na mambo ya mataifa yote yanafuatiliwa kimataifa, sote tunakijua kilichomkuta Rais Uhuru Kenyatta au El Bashri wa Sudan, tena afadhali hao walifikishwa mahakamani, lakini Ghadafi wa Libya na Sadaam Hussein, hawakuwa na bahati!, hata sisi enzi za Mwalimu Nyerere, tuliwasaidia ndugu zetu na majirani zetu wa Uganda, kwa kumshikisha adabu Yule dikiteta wao.

Ombi kwa Bunge letu, isimamieni serikali yetu kikamilifu, na ombi kwa serikali yetu, tuendelee kufanya mambo yetu kwa mujibu wa katiba na sheria, hatutasikia kunyooshewa kidole na yeyote na kupigiwa kelele yoyote.

Japo kelele za mlango, huwa hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, lakini zikizidi sana, zinakuwa ni kero kwa mwenye nyumba!, vipi hizi kelele za kutaka minimum reforms?, ni hitaji hili la minimum reforms, zimepelekea Chadema kuja na NRNE, ambayo kiukweli inasumbua sana kwa kelele!.

Ni kelele hizi, zimefanya mropokaji mmoja, akaropoka tuu kukinukisha mpaka uchaguzi usifanyike, na matokeo yake amehifadhiwa mahala salama, na kutwishwa kale ka kesi ka uongo na ukweli, matokeo yake sasa Tanzania inapigiwa kelele dunia nzima, Bunge la EU, wameanza, Congress soon watafuatia, hivi mwenye nyumba wetu kweli anapata msingizi mnono kweli?.

Ombi kwa Rais Samia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi mkuu, ni muda wa kutosha kabisa kufanya mabadiliko madogo ya katiba na kuzizima kabisa hizi kelele zote ambazo zinatukera baadhi yetu, unless Mama kama wewe hazikukeri, na unapata usingizi wako mzuri kabisa!.

Mungu Mbariki Rais Samia Aweze!

Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Ndio maana Kuna watu wametekwa, wameuwawa, wamebambikiwa kesi za uhaini etc.

No reform No election
 
Mwenye nyumba ni kila MTANZANIA na WATANZANIA wengi tunataka reforms
 
Mnafiki kwenye ubora wake eti "minimum" reforms.

Back
Top Bottom