Japo Kelele za Mlango, Hazimkoseshi Mwenye Nyumba Usingizi, Zikizidi Zinakera!. Kelele za Minimum Reforms, Sio Kero?, Mwenye Nyumba Anapata Usingizi?

Leo P umetema cheche bila kuweka pambio zako.... Hongera sana kwa makala hii nzuri
 
Kuna wakati fahamu zinakurudia na kuandika mambo ya maana Kwa TAIFA. Punguza tu katabia ka kung'ata na kupuliza
 
Anaetaka reforms anakuambia zifanyike kwa lengo kuu kubwa atakaeshinda kutokana na kuchaguliwa na wananchi basi atangazwe bila zengwe kwa chama chochote kile sio lazima wao hata sisiemu akishinda apongezwe kwenye uchaguzi huru na wa haki sasa sababu za wasiotaka reform hazieleweki kwa nini hawataki? Na nia ni njema tusipigane kwaajili ya madaraka lakini waliopo madarakani hawataki mabadiliko ile hali wanasema wamefanya makubwa katika nchi hawataki wananchi waamue kabisa😂😂😂😂😂
 
Kuna wakati fahamu zinakurudia na kuandika mambo ya maana Kwa TAIFA. Punguza tu katabia ka kung'ata na kupuliza
We are living in the jungle,the law of the jungle applies,its a constant struggle for existence,survival is for the fittest!

To be able to survive,one has to be fit!,among the technics to be fit,ni adaptability,to able to adapt to the changing environment,ukishindwa kubadilika,una perish!。

Mimi nilitangaza rasmi humu,kujiunga nao,hivyo ni mmoja wao,sababu za kujiunga nilizisema。Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

I am a survival,huwezi kukata tawi la mti uliokalia,au kuukata mkono unaokulisha
P
 
Kwamba if you can't win them, join them. Hata hivyo huu ni msemo wa watu dhaifu, wanao amua ku 'surrender' au kusaliti kambi.
 
Huu ni ushauri niliutoa siku za nyuma, kuwa kukitokea tuhuma zozote ziwe za kweli au za uongo, mamlaka zetu ziwe proactive kujibu tuhuma na sio kunyamaza na kuja kuwa reactive!
Ushauri huu ulipuuzwa!
haya sasa ni matokeo angaliaView attachment 3368765

Sasa serikali yetu lazima ijibu!,huwezi kuinyamazia UN!, akina sisi tulishauri,tukapuuzwa,

sasa kelele hizi zimewaansha wakubwa!kuna ule msemo kinga ni bora kuliko tiba na usipoziba ufa,utajenga ukuta!,sasa ni lazima kutibu,na tutangia gharama kujenga ukuta!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…