Japo leo ni siku yenu, sindano zangu hizi ziwaingie ili mbadilike kwa tabia zinazotuchosha wanaume

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Uvivu kitandani (kubaiolojika).

2. Uchafu hasa ule wa kutupa hovyo na kiholela taulo zenu za kike mitaani na uvivu wa kunyoa mapori yenu ya Kibaiolojia.

3. Kuibiana waume/mabwana kimakusudi.

4. Kuwa na VICOBA (mikopo) zaidi ya mmoja ila maendeleo sifuri.

5. Usiri wa maendeleo yako (Uchumi) kwa mumeo.

6. Kwenda kwa waganga wa kienyeji mbalimbali kuturoga wanaume bila huruma.

7. Kutudharau wanaume/waume zenu pale mpatapo mahawara wakati mnalala makwetu, tunawalisha, tunawavisha na tunawakuna kwa kuwabandua vyema hadi mnaimba nyimbo zote zilizoko na zile ambazo bado hazijazinduliwa.

GENTAMYCINE nitasheherekea siku yenu hii (zenu hizi) pale tu mkiyafanyia kazi haya mambo yangu makuu saba (7) yanayowahusu.

Imeisha hiyo!
 
Umesahau moja la msingi kabisa waache kudanga...
FB_IMG_16739613481449733_2.jpg
 
Popoma umenena kweli ila now nazidi kuona IQ yako bado ni ndogo mtu mwenye heshima zake hawezi ongea utopolo fc hapa
 
1. Uvivu kitandani (kubaiolojika).

2. Uchafu hasa ule wa kutupa hovyo na kiholela taulo zenu za kike mitaani na uvivu wa kunyoa mapori yenu ya Kibaiolojia.

3. Kuibiana waume/mabwana kimakusudi.

4. Kuwa na VICOBA (mikopo) zaidi ya mmoja ila maendeleo sifuri.

5. Usiri wa maendeleo yako (Uchumi) kwa mumeo.

6. Kwenda kwa waganga wa kienyeji mbalimbali kuturoga wanaume bila huruma.

7. Kutudharau wanaume/waume zenu pale mpatapo mahawara wakati mnalala makwetu, tunawalisha, tunawavisha na tunawakuna kwa kuwabandua vyema hadi mnaimba nyimbo zote zilizoko na zile ambazo bado hazijazinduliwa.

GENTAMYCINE nitasheherekea siku yenu hii (zenu hizi) pale tu mkiyafanyia kazi haya mambo yangu makuu saba (7) yanayowahusu.

Imeisha hiyo!
Tumekuelewa baba mkwe.
 
Mi ninachotaka watulie kwenye ndoa zao, walioacha ndoa wazirudie, single mothers watafute waume wa kuwaoa ili walee watoto wao malezi yapasayo kutoka pande mbili, baba na mama
 
Back
Top Bottom