prumpeti JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 1,023 Reaction score 2,308 Mar 8, 2023 #21 Ivi inakuwaje mtu unaongea na nyoka na anakupa kitu unakula?? Shetani aliwaza nini mpaka akatumia taswira ya joka?
Ivi inakuwaje mtu unaongea na nyoka na anakupa kitu unakula?? Shetani aliwaza nini mpaka akatumia taswira ya joka?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Mar 8, 2023 #22 mhuri25 said: 8_Ukiomba mzigo unaambiwa unaharaka sana, ila wao Pesa yanaomba sana bila aibu Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mhuri25 said: 8_Ukiomba mzigo unaambiwa unaharaka sana, ila wao Pesa yanaomba sana bila aibu Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,177 Reaction score 56,121 Mar 8, 2023 #23 prumpeti said: [emoji1787][emoji1787][emoji1787]alidanganywa na nyoka asee... Click to expand... π π π mwanamke mtu hatari sana, hakuogopa hata kuongea na nyokaaa... assume hata mbuzi uamke asubuhi umsikie anaongea
prumpeti said: [emoji1787][emoji1787][emoji1787]alidanganywa na nyoka asee... Click to expand... π π π mwanamke mtu hatari sana, hakuogopa hata kuongea na nyokaaa... assume hata mbuzi uamke asubuhi umsikie anaongea
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Mar 8, 2023 #24 Kumekucha na makucha yake.
prumpeti JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 1,023 Reaction score 2,308 Mar 8, 2023 #25 National Anthem said: π π π mwanamke mtu hatari sana, hakuogopa hata kuongea na nyokaaa... assume hata mbuzi uamke asubuhi umsikie anaongea Click to expand... Nashangaa sana yani nyoka anaongea alafu unasikiliza kwelii????
National Anthem said: π π π mwanamke mtu hatari sana, hakuogopa hata kuongea na nyokaaa... assume hata mbuzi uamke asubuhi umsikie anaongea Click to expand... Nashangaa sana yani nyoka anaongea alafu unasikiliza kwelii????