mume alienda mpaka kampuni ya cmu kufanya maarifa ajue kinachoendelea kweny cm ya mke, unajua wanaume wanajifanyaga wajanja sana lakini hawana ujanja wowote kweny ishu kama hizi, hakuambulia kitu, hata no ya cm ya mfanyabiashara mke hajawahi save kwenye fone yake, hakuna msg wala calls, mke na mfanyabiashara wanawacliana kwenye landline ya ofc, baada ya ofc hakuna mawacliano....wamepunguza lakini mawacliano yapo kama kawaida, sio lazima mfanyabiashara apeleke kitu ofcn kama my frnd anahitaji, bali anatuma mtu baki kabisa cjui anamuokotea wapi rough rough fulani anafikisha anachotaka kufikisha analipwa ujira wake mchezo umeisha....nyie wanaume nyie mnatafutaga matatizo wenyewe.