Japo niridhike

Japo niridhike

Today 01:43 PM
Nyani Ngabu
JF Premium Member
This message has been deleted by PainKiller.
Today 01:43 PM
Nyamayao
JF Premium Member
This message has been deleted by PainKiller.
Today 01:44 PM
Nyamayao
JF Premium Member
This message has been deleted by PainKiller.
Today 01:45 PM
Nyani Ngabu
JF Premium Member
This message has been deleted by PainKiller.Today 01:51 PM
Nyani Ngabu
JF Premium Member
This message has been deleted by Invisible.
Today 01:56 PM
Dena Amsi
Senior Member
This message has been deleted by Invisible.
Today 01:58 PM
Nyani Ngabu
JF Premium Member
This message has been deleted by Invisible.



Hapa nimekosa uhondo sana! Poor me!
hahahaha inaonekana ilkua unatoa lami unaweka lami na unatoa vumbi unaweka vumbi.....:hippie:
 
nilisha sema wanawake wana high love tech na kuficha siri nzito sana na huwezijua kama anatoka nje.......yani mwambie huyo rafiki yako katu asisseme yani mpaka mwisho..............nyambafu sana huyo ji babaa
Babu hates this post but not the poster. babu hates below senksi but not ze seksa!

The Following User Says Thank You to Wakuchakachua For This Useful Post:
Nyamayao (Today)
 
Kama bado anampenda mme wake asiongee chochote maana wanaume sio wavumilivu kama wanawake.
Daah mbona maisha ya ndoa yako namna hii jamani ..kasheshe kasheshe..
Na huyo mwanaume nae asingegundua maovu ya huyo mwanamke mdogo ni kwamba wasingeachana ..?
Mwambie asilogwe akasema labda wakati anatubu dhambi zake nafsi ikiwa inakaribia kuachana na mwili

Yaani kusema ukweli ni mwiko, wababa siyo kama sisi tunasamehe kirahisi. Akisema ukweli tu, analo hilo.
 
Huyo alirudi kwa mke baada ya mambo kuharibika kwa hawara. Na mke kwa upendo kamrudishia 50% ya unyumba. Akitaka 100% ya unyumba, asubiri mkewe naye aachike huko kwa hawara. What goes around comes around, hakuna short cut. Kilichomfanya ajutie na kurudi kwa mkewe si upendo, ni circumstances. Na kilichompeleka mkewe huko aliko ni circumstances pia. Na ndizo zitakazomrudisha kwa mumewe, lakini bado hazijatokea. Huyo bwana alilikoroga, sasa analinywa. Mfumo wa maisha ulimwenguni haukutengenezwa kwa msingi wa huruma, ni kanuni tu, kila kosa lina adhabu yake, hapahapa!

Msiitazame ishu hii kwa upande mmoja tu kwamba "mume anaadhibiwa kwa makosa yake", "serves him right" etc...the fact remains kwamba alirudi kuomba msamaha (genuine or not) na mke akampokea (angeweza kumpiga chini ili aendelee na huyo pedejee!)...

Sasa kazi ni kwa huyo mama inabidi achague kati ya mume aliyempokea na pedejee...and believe me she will have to make a choice very soon. Asipofanya hivyo hili bomu litamlipukia vibaya na at the end of the day ataonekana yeye ndio mbaya cause in the eyes of the public mume alishaomba msamaha yakaisha sasa kazi ni kwa mama.
 
Muhimu aachane na huyo mfanyabiashara wake kabla mambo hayajaharibika zaidi... Ila suala la kusema UKWELI, siafiki hata kidogo.. AFUNGE mdomo MAISHA yake yote....
 
Kosa kubwa alofanya ni kulipa kisasi kwa ubaya wa mumewe hata hivyo maji yashamwagika kinachotakiwa asimwambie mumewe kilichokuwa kinaendelea ila amtimue huyo mfanyabiashara na asionane naye tena..arudishe majeshi yote kwa mumewe. halooooooo

Kwanini amtimue wakati hawajakosana?
Mume amerudi baada ya kumkuta hayo masaibu hivo naye aendelee tu ila kwa umakini zaidi.

Binadamu tunapenda sana lawama...Ati alifanya kosa kulipiza kisasi ..miaka 2 bila huduma.

Hich si kisasi,,,alistahili tu kufanya hivo.
 
wajameni samahani kidogo wajameni!.....
nini kinajadilika hapa leo?
 
mume alienda mpaka kampuni ya cmu kufanya maarifa ajue kinachoendelea kweny cm ya mke, unajua wanaume wanajifanyaga wajanja sana lakini hawana ujanja wowote kweny ishu kama hizi, hakuambulia kitu, hata no ya cm ya mfanyabiashara mke hajawahi save kwenye fone yake, hakuna msg wala calls, mke na mfanyabiashara wanawacliana kwenye landline ya ofc, baada ya ofc hakuna mawacliano....wamepunguza lakini mawacliano yapo kama kawaida, sio lazima mfanyabiashara apeleke kitu ofcn kama my frnd anahitaji, bali anatuma mtu baki kabisa cjui anamuokotea wapi rough rough fulani anafikisha anachotaka kufikisha analipwa ujira wake mchezo umeisha....nyie wanaume nyie mnatafutaga matatizo wenyewe.
Sasa hapa Nyamayao unashabikia au? Unajua mshkaji kweli kalikoroga lakini huyo dada pia amelikoroga vilivyo, in short this is a total mess. Lakini mwambie huyo dada kama anataka kulikoroga zaidi basi afungue huo mdomo, uwezekano wa kula kwake ni 98%. Kwa wanaume tulio wengi hiyo ni ngumu sana aisee, we simply cannot stand that kind of rivarly....
 
wajameni samahani kidogo wajameni!.....
nini kinajadilika hapa leo?

Babu kamtimua mjukuu baadae akakuta njemba inajisevia sa analalamika wakati alikua anatunziwa na alimfukuza mwenyewe je hiyo ni haki?
 
today 01:43 pm
nyani ngabu
jf premium member
this message has been deleted by painkiller.
Today 01:43 pm
nyamayao
jf premium member
this message has been deleted by painkiller.
Today 01:44 pm
nyamayao
jf premium member
this message has been deleted by painkiller.
Today 01:45 pm
nyani ngabu
jf premium member
this message has been deleted by painkiller.today 01:51 pm
nyani ngabu
jf premium member
this message has been deleted by invisible.
Today 01:56 pm
dena amsi
senior member
this message has been deleted by invisible.
Today 01:58 pm
nyani ngabu
jf premium member
this message has been deleted by invisible.



hapa nimekosa uhondo sana! Poor me!
kha!.....
 
Safi kabisa hakuna kuleta mchezo hapa. Wanaume bwana wanaanzishaga vitu tukimalizia wanakuwa hoi. HAWATUWEZI. Mwambie asiseme kabisa ila apunguze taratibu kwa mfanyabiashara then amuache kabisa
Yaani hapa sasa mnaleta ushabiki wa kitoto sana. Hebu dili na hii ishu sio kujiona wajanja eti kwa vile ni wanawake.:sad:
 
Aisee kwani vipi? Mbona wanifatafata hivyo? Hebu nitaje basi kama unanijua maana yaelekea kila mtu unadhani alivyo hapa ndivyo alivyo kwenye real life.....

NN darling ipotezee tu hii mada, isije ikakuharibia siku yako bure
 
Babu kamtimua mjukuu baadae akakuta njemba inajisevia sa analalamika wakati alikua anatunziwa na alimfukuza mwenyewe je hiyo ni haki?
babu?......
babu anawezaje kumfukuza mjukuu??
 
Sasa hapa Nyamayao unashabikia au? Unajua mshkaji kweli kalikoroga lakini huyo dada pia amelikoroga vilivyo, in short this is a total mess. Lakini mwambie huyo dada kama anataka kulikoroga zaidi basi afungue huo mdomo, uwezekano wa kula kwake ni 98%. Kwa wanaume tulio wengi hiyo ni ngumu sana aisee, we simply cannot stand that kind of rivarly....

If you cant stand it then you r free to leave kwani uliondoka mwenyewe na umerudi mwenyewe na yote ulisababisha mwenyewe unaruhusiwa kuchapa lapa kwa mara nyingine. Jaribu kuwa waungwana 2 years hujui mke na watoto wanaishije unakuja unakuta mambo safi unaanza kuleta za kuleta aelezwe ili ajue kosa ili cku nyingine asirudie tena
 
Amwamwambie tu ukweli ili yaishe, mi nishawahi kuwa na rafk mumewe alikuwa anamnyanyasa sana kila siku ugomvi na kufukuzana mwanaume anawanawake nje akiulizwa ugomvi mpaka anamfukuza mkewe. Mkewe nae akapata wa kumfariji huko nje cku moja mumewe kama kawaida yake akagombana na mkewe na kumfukuza yule dada akamwambia jamaa wake wa nje akamwambia ucjali akampangia nyumba na kumnunulia full fanicha mwanaume kuja kuckia wacha roho imtange akamuomba msamaha mkewe na kibaya zaidi mke alirudi na mimba juu ikabidi waitoe wakaendelea na maisha na huyo mume kakoma hamfanyii tena visa mkewe kwani ashajua ukisema cha nini mwenzio anasema nitakipata lini. So amwambie tu ukweli na kama jamaa kajirudi kiukweli aachane na huyo jamaa kiustaarabu ila amwambie ukweli na amwambie kabisa kwamba alikuwa anasomesha na watoto wako wakati umeelemea kwa kimada, Hiyo itakuwa dawa kubwa nyamayao wala huyo mume hatorudia tena kufanya huo ujinga wake
Wanaume dizaini hii labda ni 1% ya wanaume wote. Kwa hyo unaposema huyo dada afungue mdomo, ni kwamba unamshauri ajaribu kucheza na probability 99% ya kupoteza. After all huyo dada inaonekana anajua vilivyo namna mume wake atakavyo-respond na ndiyo maana ameamua kuwa bubu.
 
Back
Top Bottom