Japo niridhike

Yaani hapa sasa mnaleta ushabiki wa kitoto sana. Hebu dili na hii ishu sio kujiona wajanja eti kwa vile ni wanawake.:sad:


hatujifanyi wajanja my dia huo ndio ukweli akuanzae mmalizie
 
Hebu pitia kidogo somo la saikolojia ya wanaume ndio tutaelewana hapa. Hii unayotaka kuleta wewe ni reasoning au common sense. Lakini nakwambia huyo dada akifungua mdomo wake tu kuna uwezekano mkubwa sana common sense ya mume ikaacha kufanya kazi na deep ingrained madness kuchukua nafasi....Sasa mziki wake mimi na wewe hatuwezi predict.
 
Some secrets are bond to remain secrets................ cha muhimu ni kukatisha hayo mahusiano na huyo mfanyabiashara kwa sababu hakuonyesha msimamo wake tangu mwanza sasa hivi anapata shida maana kama inavyoonekana kwa mfanyabiashara amefika. Huyu dada alitakiwa kuamua moja kuacha ndoa kipindi alipoachwa na kwenda kwa mfanya biashara kabisa au kuvumilia na kutomruhusu mfanya biashara

Simshauri aseme ukweli but akikana kuwa hana mahusiano ya nje, ataachana na huyo mfanya biashara?? Kwa sababu asipoachana naye ina maana iko siku atabambwa na hapo makosa ndo yatakuwa yanaongezeka
 
yanini malumbano, yanini maneno oohh, najiweka pembeni naepusha msongamano.... akimweleza tu ukweli, jamaa lazima awe chizi!!! mimi ushauri wangu mtafutie counselling ili aachane na hio habari ya kufuatilia, kwani huyo mkewe kamnyima kitu chochote au kamdharau? ajifanye hajui kama mwanzoni, hivyo ni kujitafutia vidonda vya tumbo na kisukari kisicho cha lazima maana jamaa alianza kumfaidi mda tu, sasa ukijua sasaivi ndo uta-renew? aachane na huo uchunguzi usio na tija!!! mawazo yangu tu!!!
 

Asiposema ina maana atakuwa bado anataka kuendelea na huyo mfanyabiashara, na wakati huo mumewe ye alishaomba msamaha huku akiendelea kumchunguza cku akimfumania unategemea kitu gani hapo. Waambizane tu wasameeane maisha yaendelee. na hata kama 99% ya wanaume hawakubaliani na hilo hivi hata ungekuwa wewe umetelekeza familia yako for 2 years not 2 days bila kugeuka nyuma. then after hizo 2 years ndio unarudi unategemea kukuta mema kweli kwamba familia imependeza mambo yako sawa sijui kama naeleweka
 


Unajua kaka ingekuwa huyo mumewe hajasikia chochote hapo sawa sasa amesikia na anafanya uchunguzi akiwafuma je? Sijui labda huyo dada aachane na huyo mfanyabiashara na mimi naamini huyo dada asiposema ukweli japo kiduchu ataendelea tu na uhusiano na huyo mtu bora aseme yaishe nadhani ataona aibu pia kuendelea na huyo mfanyabiashara wake kwani washaapiana na mumewe kwamba ilikuwa bahati mbaya na ctorudia tena.
 
:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: Tatizo la hawa watu wanakuwa tayari kufa bila kujulikana kafa na nini...! Nami namshauri sana aseme tena bila kusita, japo na awe tayari kusolve kikamilifu...!
 
Hivi, katika kipindi hicho cha miaka 2, kuna juhudi zozote zilizofanyika kumrudisha huyo jamaa kwa mkewe? Kama mke hakuchukua hatua zozote, inawezekana naye mke ni chanzo cha mume kudakwa kirahisi na "totoz za nje". Kama ni hivyo, basi jamaa alaumiwe kiasi kidogo tu kisha asamehewe sana. Japo Nyamayao anauliza ushauri hapa, ninavyowajua wanawake hata akiwekwa kwenye kiti cha umeme katu ng'o hawezi kukiri. Taabu kama walivyosema wengine, hii njemba ishamjua huyo pedejee (regardless mke atakiri au hapana) na siku ikipata nafasi ya kumrudi huyo jamaa; ni balaa. Kama mke anampenda pedejee sasa hiovi ki dhati na sio ufadhili, basi awe muungwana kwa mumewe, amsamehe ila amwambie basi waachane kwa amani. Kumbuka tamaa yake huenda ikamkosesha vyote !!!!
 


Hapo mimi ndio ninapopata wasi wasi ni bora aseme tu ila sio amwambie mumewe kila kitu alichofanyiwa na huyo hawara yake aseme machache tu na amwambie mumewe kwamba we ndio ulisababisha yote. Amini asiposema atakua anaendelea kucheat na huyo bwana na kwasababu hajasema mi ninavyowajua wanaume ataendelea kuchunguza na atakapojua cjui hilo balaa lake
 
samahani kidogo wajameni hivi we MATY wewe,

zamani ulikuwa unatumia ID gani vile?.......:smile::smile::smile:
 
hatujifanyi wajanja my dia huo ndio ukweli akuanzae mmalizie


Hii ndo habari ambayo sipendi hata kuisikia inapotamkwa na wanandoa!!!!!aggggghhhhhh.....
 
Shida nyingine naiona ni huyo pedejee kama atakubali kumwacha huyo kimwana mke wa mtu baada ya kumfanyia yote hayo...nyumba, gari, school fees ya watoto etc...
 
yanini malumbano, yanini maneno oohh, najiweka pembeni naepusha msongamano.... akimweleza tu ukweli, jamaa lazima awe chizi!!! mimi ushauri wangu mtafutie counselling ili aachane na hio habari ya kufuatilia, kwani huyo mkewe kamnyima kitu chochote au kamdharau? ajifanye hajui kama mwanzoni, hivyo ni kujitafutia vidonda vya tumbo na kisukari kisicho cha lazima maana jamaa alianza kumfaidi mda tu, sasa ukijua sasaivi ndo uta-renew? aachane na huo uchunguzi usio na tija!!! mawazo yangu tu!!!
 

hapo ngoma droo japo jamaa akijua kamegewa atakua mbogo sana!!
ni ngumu sana kwa mwanaume rijali kama mimi kusamehe kitu kama hicho japo mi namega kisela sometimez
msiniulize sana its just nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…