Japo niridhike

Halafu anaomba ushauri na mtu ukimshauri anakupinga anataka yeye anavyotaka ndio iwe. Pysicological problem

Funza cjakataa ushauri wowote,bali ukinipa ushauri kama nina cha kuongezea/kuhoji nisiseme?
 
Funza cjakataa ushauri wowote,bali ukinipa ushauri kama nina cha kuongezea/kuhoji nisiseme?
OK mpendwa naona kama hali ya hewa inataka kuchafuka ngoja nikajilie SATO wangu na sembe maana nilipiga simu hotelini waniandalie naona wanabip hapa mambo yatakuwa tayari
 
Dada kataa kata kata. Ni wanaume wachache sana wanaweza kumsamehe ki ukweli mwanamke aliye cheat.
 
Mhh!! kwa kuwa uhusiano na huyo mfanyabiashara unafanyikia hapa hapa duniani (not in space ..) aendelee kuficha tu / kupunguza spid etc mwisho za mwizi ni arobaini.
 

DU,wanawake nyie------nahisi kuwa mseja tu!!Labda hatutaweza kuyapata makwazo ya dunia hii!!
 

No dia asimweleze hayo yote apimie tu ya kumwambia kwamba mume wangu ulikuwa na roho ngumu ulikuwa hutoi ada ya watoto wala chakula ila yule hawara ulimfanyia hivi (aeleze ambayo hawara alifanyiwa) na bado ukakuta mtoto c wako sasa ulitegemea ndani ya miaka miwili watoto wangesomaje? wangekula nini hata sa nyingine wangekosa hata huduma ya hosp ungekuta hata mtoto mmoja amekufa. So huyu mtu amenisaidia sana katika mambo muhimu na nilifanya yote hayo kwa sababu sikutaka watoto wangu wapate shida na huyu mtu alivyonifata na nikijiangalia shida zangu ikabidi nimkubalie ila yote umesababisha wewe mume wangu aongee kwa upole na uchungu toka moyoni huku kilio cha uchungu kikimtoka nakwambia nyamayao huyo mume hatafanya kisasi chochote sana sana atamwambia mke wake aachane na huyo jamaa maisha yaendelee. (ila huyo rafiki yako aongee hayo akiwa na nia hasa ya kuachana na huyo mfanyabiashara kwani asipoachana nae siku mume akimkuta ataona rangi zote)

 
Mhh!! kwa kuwa uhusiano na huyo mfanyabiashara unafanyikia hapa hapa duniani (not in space ..) aendelee kuficha tu / kupunguza spid etc mwisho za mwizi ni arobaini.

ila huyu mwanamama aache kabisa mahusiano na huyu mfanyabiashara ili waishi kwa amani na mmewe
 
DU,wanawake nyie------nahisi kuwa mseja tu!!Labda hatutaweza kuyapata makwazo ya dunia hii!!

hahahahaha nisamehe marshal wajua nini kuna dada mmoja aligoma kumwambia mmewe ukweli kama amecheat kwa mtu wa miaka mitatu siku alipokuja kutamka ndoa ilivunjika
Huyu mdada anasema anampenda mmewe ,waachane na past life waendelee na future mambo ya kuulizana maswali past life hayapendezi
Oa tu ndugu yangu usiogope ndoa zote hazifanani
 
Hasira ziko hapo kwenye ulichoninukuu? Ni hicho kijike ndicho chenye hasira....angalia kilivyonijibu....lakini hapa ni moto kwa moto tu na kingekuwa mbele yangu walahi ningekifunua nguo na kukiadhirisha hadharani

He makubwa Nyani Ngabu kwani leo vipi umekutwa na yepi? makubwa jongo ungekuwa mwanamke ningesema unakaribia kugusa nyota au una mimba changa sa mwanaume unakuwa na hasira za hivyo haipendezi hata kidogo
 

1.Nyamayao,kama unampenda rafiki yako tambua kuwa Hayupo katika njia sahihi
2.Kwa nini kama anahisi bwana ake kutoka nje ya ndo kwa nn nae akachukue mume wa mtu??Najua huyo mfanyabiashara Kaoa
3.Mwisho wa wote hao watatu,mume mke na mfanyabiashara utakuwa mbaya kama mahusiano yataendelea
4.kama anampenda mfanya biashara ni bora akavunja ndoa kuliko kusubiri mauti,hao watoto hawatapata dady wala mumy,dady atakuwa jela mama atakuwa mavumbini na sijui huyo bizinesman atakuwa wapi
5.Hatari hatari hatari,mwambie avunje mahusiano kama anajipenda na kama anawapenda watotto wake.
6. Kumbuka jamaa yupo kwenye frustration kwa sasa na kama akijajua mke wake anamcheat,i don't know ata react vipi ila i guess itakuwa kivumbi na maisha ya mtu yanaweza sitishwa.
7.Conclusion,Avunje mahusiano,asiseme ukweli bora mume abaki kuwa na doubt.Akatae msaada na nyumba ya huyo mfanyabiashara kama nae hana tamaa za kupokea misaada ya bizinesman
Nimetoa hoja
 


hajajutia kosa huyo, karudi kwa mkewe kisa hawara anagawa kwa wengine, vip kama asingemfumania unadhani angerudi kwa mke wake kuomba msamaha,
 
He makubwa Nyani Ngabu kwani leo vipi umekutwa na yepi? makubwa jongo ungekuwa mwanamke ningesema unakaribia kugusa nyota au una mimba changa sa mwanaume unakuwa na hasira za hivyo haipendezi hata kidogo

Leo nitacheka sanaa, hakyanani
 
Huyo mke atakua amepatikana ikiwa kwenye hadhara mzee unafyatuka hivi je uko home? uyo atakua yatima

Aisee kwani vipi? Mbona wanifatafata hivyo? Hebu nitaje basi kama unanijua maana yaelekea kila mtu unadhani alivyo hapa ndivyo alivyo kwenye real life.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…