Japo niridhike

Japo niridhike

Halafu anaomba ushauri na mtu ukimshauri anakupinga anataka yeye anavyotaka ndio iwe. Pysicological problem

Funza cjakataa ushauri wowote,bali ukinipa ushauri kama nina cha kuongezea/kuhoji nisiseme?
 
Funza cjakataa ushauri wowote,bali ukinipa ushauri kama nina cha kuongezea/kuhoji nisiseme?
OK mpendwa naona kama hali ya hewa inataka kuchafuka ngoja nikajilie SATO wangu na sembe maana nilipiga simu hotelini waniandalie naona wanabip hapa mambo yatakuwa tayari
 
Dada kataa kata kata. Ni wanaume wachache sana wanaweza kumsamehe ki ukweli mwanamke aliye cheat.
 
Mhh!! kwa kuwa uhusiano na huyo mfanyabiashara unafanyikia hapa hapa duniani (not in space ..) aendelee kuficha tu / kupunguza spid etc mwisho za mwizi ni arobaini.
 
Kama bado anampenda mme wake asiongee chochote maana wanaume sio wavumilivu kama wanawake.
Daah mbona maisha ya ndoa yako namna hii jamani ..kasheshe kasheshe..
Na huyo mwanaume nae asingegundua maovu ya huyo mwanamke mdogo ni kwamba wasingeachana ..?
Mwambie asilogwe akasema labda wakati anatubu dhambi zake nafsi ikiwa inakaribia kuachana na mwili

DU,wanawake nyie------nahisi kuwa mseja tu!!Labda hatutaweza kuyapata makwazo ya dunia hii!!
 
pole sana kaka....sasa hapa nimshauri akubali tu huu uhusiano au amwambie yote kwamba na nyumba kajengewa, watoto anasomeshewa, na jana mume ametoa pesa ya ada kumpa mke akalipe, mke hakufanya hivyo coz mfanyabiahsara anaendelea kutoa hiyo huduma, amweleze yote hayo au apimie cha kumwambia?

No dia asimweleze hayo yote apimie tu ya kumwambia kwamba mume wangu ulikuwa na roho ngumu ulikuwa hutoi ada ya watoto wala chakula ila yule hawara ulimfanyia hivi (aeleze ambayo hawara alifanyiwa) na bado ukakuta mtoto c wako sasa ulitegemea ndani ya miaka miwili watoto wangesomaje? wangekula nini hata sa nyingine wangekosa hata huduma ya hosp ungekuta hata mtoto mmoja amekufa. So huyu mtu amenisaidia sana katika mambo muhimu na nilifanya yote hayo kwa sababu sikutaka watoto wangu wapate shida na huyu mtu alivyonifata na nikijiangalia shida zangu ikabidi nimkubalie ila yote umesababisha wewe mume wangu aongee kwa upole na uchungu toka moyoni huku kilio cha uchungu kikimtoka nakwambia nyamayao huyo mume hatafanya kisasi chochote sana sana atamwambia mke wake aachane na huyo jamaa maisha yaendelee. (ila huyo rafiki yako aongee hayo akiwa na nia hasa ya kuachana na huyo mfanyabiashara kwani asipoachana nae siku mume akimkuta ataona rangi zote)

 
Mhh!! kwa kuwa uhusiano na huyo mfanyabiashara unafanyikia hapa hapa duniani (not in space ..) aendelee kuficha tu / kupunguza spid etc mwisho za mwizi ni arobaini.

ila huyu mwanamama aache kabisa mahusiano na huyu mfanyabiashara ili waishi kwa amani na mmewe
 
DU,wanawake nyie------nahisi kuwa mseja tu!!Labda hatutaweza kuyapata makwazo ya dunia hii!!

hahahahaha nisamehe marshal wajua nini kuna dada mmoja aligoma kumwambia mmewe ukweli kama amecheat kwa mtu wa miaka mitatu siku alipokuja kutamka ndoa ilivunjika
Huyu mdada anasema anampenda mmewe ,waachane na past life waendelee na future mambo ya kuulizana maswali past life hayapendezi
Oa tu ndugu yangu usiogope ndoa zote hazifanani
 
Hasira ziko hapo kwenye ulichoninukuu? Ni hicho kijike ndicho chenye hasira....angalia kilivyonijibu....lakini hapa ni moto kwa moto tu na kingekuwa mbele yangu walahi ningekifunua nguo na kukiadhirisha hadharani

He makubwa Nyani Ngabu kwani leo vipi umekutwa na yepi? makubwa jongo ungekuwa mwanamke ningesema unakaribia kugusa nyota au una mimba changa sa mwanaume unakuwa na hasira za hivyo haipendezi hata kidogo
 
ni rafiki yangu kipenzi sana, alikuwa na matatizo ya kumtosha na mume wake, mume alipata hawara akamfanya kama mke wa pili, kamjengea, kamfungulia biashara nzuri, yaani ni kama mke mdogo, wamezaa na mtoto 1, kipindi hicho my frnd alisota sana kwenye ndoa, manyanyaso yote aliyapata, mume aamua acje nyumbani hata week nzima yupo kwa huyo hawara, mume alifanya vituko vya kutosha, my frnd ktk kutaka kujifariji alitokea mfanyabiashara mmoja wakapendana, pendo limekuwa pendo. my frnd kasahau kama alikuwa kwenye matatizo ya ndoa, ndani ilikuwa kila mtu anakuja kwa ajili ya kulaza ubavu tu, mwanamke hakuwahi kuonyesha kama ana uhusiano nje, cku ya cku mume akamfumania huyo hawara yake yupo na mwanaume mwingine kwenye nyumba aliyomjengea yeye na kumuwekea kila kitu ndani, kasheshe likawa kasheshe, mume akaamua kwenda kufanya DNA ya mtoto aliezaa na hawara akakuta sio wake, kasheshe likaongezeka....alivyoona hivyo alirudi kwa mkewe na kumuomba msamaha wa kutosha na kumuelezea kila kitu kilichotokea kwa hawara...mke kaamua kumsamehe na kwa maelezo ya mke ni kwamba amejirekebisha sana, ishu ya sasa ni mke na mfanyabiashara, mfanyabiashara nae huku amemjengea mke nyumba nzuri, juzi juzi kambadilishia gari nzuri anawasomesha watoto wa my frnd tangu mume alivyotekwa huko alikuwa hajui watoto wanalipiwaje ada au wanakulaje hapo nyumbani, ni kama ndio aligeuka baba mzazi wa watoto..... mume amekuja dokezwa kwamba mke ana uhusiano na mtu fulani, mume amepeleleza vya kutosha lakini hajapata ushahidi, ni jana jioni mume kamtoa mke wake outing na kumuomba mpaka kumpigia magoti na machozi juu kwamba "japo aridhike" tu amwambie ukweli ili wawewze ku solve kikamilifu matatizo yao waaanze maisha mapya, hawakufikia muafaka coz mke aliendelea kukana,ni asubuhi hii kanical kunipa hii ishu ya kwamba amweleze ukweli au aendelee kukana? mie nilimuuliza tu kama bado anaihitaji hiyo ndoa? alinijibu bado anahiitaji, kwa ushauri wangu nilimwambia kama unahiitaji uckae ukasema ukweli, endelea kukana hivyo hivyo, ni leo maongezi yao yataedelea, wewe kama wewe ungemshaurije huyu dada?

1.Nyamayao,kama unampenda rafiki yako tambua kuwa Hayupo katika njia sahihi
2.Kwa nini kama anahisi bwana ake kutoka nje ya ndo kwa nn nae akachukue mume wa mtu??Najua huyo mfanyabiashara Kaoa
3.Mwisho wa wote hao watatu,mume mke na mfanyabiashara utakuwa mbaya kama mahusiano yataendelea
4.kama anampenda mfanya biashara ni bora akavunja ndoa kuliko kusubiri mauti,hao watoto hawatapata dady wala mumy,dady atakuwa jela mama atakuwa mavumbini na sijui huyo bizinesman atakuwa wapi
5.Hatari hatari hatari,mwambie avunje mahusiano kama anajipenda na kama anawapenda watotto wake.
6. Kumbuka jamaa yupo kwenye frustration kwa sasa na kama akijajua mke wake anamcheat,i don't know ata react vipi ila i guess itakuwa kivumbi na maisha ya mtu yanaweza sitishwa.
7.Conclusion,Avunje mahusiano,asiseme ukweli bora mume abaki kuwa na doubt.Akatae msaada na nyumba ya huyo mfanyabiashara kama nae hana tamaa za kupokea misaada ya bizinesman
Nimetoa hoja
 
Dena please, changia mda basing on the facts of the case presented by nyamayao na si katika mazoea, hapa ni sawa na habari ya mwana mpotevu ktk bible, yaani baada ya kugundua kuwa alipotea njia , amerudi na kuomba msamaha ,na akasema ukweli, that means anataka maisha mapya na ya furaha, sasa naye amesikia mkewe wanamgongea, kwa kuwa yeye ameacha hako kamchezo basi nae msameheni kwa kumueleza ukweli, tuache kuishi kwa mazoea, kwangu huyo mke nae chizi, yaani aliapply formla ya dawa ya moto ni moto badala ya maji sasa kazi anayo, we unasema amwache mfanya biashara wakati jamaa nae kawekeza mjumba, na watoto wanasoma kwa hela yake, unadhani jamaa atatema mzigo kiulaini kwa maneno tu, acha hiyo mambo bwana


hajajutia kosa huyo, karudi kwa mkewe kisa hawara anagawa kwa wengine, vip kama asingemfumania unadhani angerudi kwa mke wake kuomba msamaha,
 
He makubwa Nyani Ngabu kwani leo vipi umekutwa na yepi? makubwa jongo ungekuwa mwanamke ningesema unakaribia kugusa nyota au una mimba changa sa mwanaume unakuwa na hasira za hivyo haipendezi hata kidogo

Leo nitacheka sanaa, hakyanani
 
Huyo mke atakua amepatikana ikiwa kwenye hadhara mzee unafyatuka hivi je uko home? uyo atakua yatima

Aisee kwani vipi? Mbona wanifatafata hivyo? Hebu nitaje basi kama unanijua maana yaelekea kila mtu unadhani alivyo hapa ndivyo alivyo kwenye real life.....
 
Back
Top Bottom