Japo sio lazima kuhoji kila kitu kwa kuuliza maswali lakini mtu mwenye akili zake timamu ni lazima ajiulize. Ukimya wetu, msitufanye mazuzu kuna...

Ni kawaida sana hii Pascal..
Je unafahamu hata Siku ya Malkia kufa hupangwa?
Na siku ikifika Huchomwa sindano ilu afe bila maumivu?
Na akifa huwez kutangaza siku hiyo hiyo mpaka yafanyike maandalizi?

Kilichonishangaza mimi ni Ile siku aliyokufa Baba yetu wa Pili kazikwa siku Mbili baada ya kifo chake ila Kila kitu kilikuwa Tayari kimeandaliwa na bajeti na hata Vikao vyote vimekaa..

Hii inadhihirisha huenda hakuwa amefariki siku tuliyotangaziwa..
Kwa hiyo hata Malkia mwenyewe anakuwa anatambua siku x nitakufa?.

Pia kwa nini wameweka mfumo huo wa kumuua Malkia ikifika kipindi flani?.
Naomba maelezo ya kina kidogo.
 
Na wengine wakanyatisha eti “Kuna watu walitaka VP asiwe predaa na walitaka kuhujumu katiba” na wengine wakasema eti “ndani ya hizo siku 5 kuna wahuni walichota fedha chumba kikuu cha fedha” na hii baada ya kuwa presdaa aliagiza ukaguzi maalum kwa miezi mitatu nyuma
Na wengine tunazidi kuamini "jeiwii" ilimsaidia mama kurudi dar salama kwa njia ya maji toka Tanga maana nae alikuwa tagetedi.....
 
Yule jamaa si ameshaandika kwamba ruksa aliondoka 16 February,wakaelewana eti itangazwe 1 march,eti akasalitiwa wakatangaza 29 feb!!?

Nasikia jamaa kaandika eti 17 march Kuna tukio chato Sasa sijui litafanyika hiyo siku au watamuwahi kama walivofanya 29 Feb,ikawa 15 au 16 march!!!maana jamaa alishaandika kuwa 1, march Kuna tukio,na juzi kaandika Tena 17 march kuna Tukio pia ,ngoja tuone!!
Hivi tarehe 17 kiserkali huwa ina nini?
Maana fatilia viongozi wote wamekkufa tarehe hiyo...
Kina kijazi na wengine wote lowasa,Magu n.k

Hebu nipe huo.uzi chief niusome
 
Hii nchi ina mambo mengi ya ku Re-form Ila uzuri ni kuwa mambo hayawezi kuwa hivyo hivyo kila siku itafika hatua huu ukimya utaisha kwani zama hubadilika tatizo kubwa tulilonalo ni kuwa tuliowapa dhamana ya kutenda haki hawatendi, Tuliowapa dhamana ya kupambana na kumsaidia mtanzania hawamsaidii bali wanamuangusha tuliowapa dhamana ya kutuvusha katika maji wanatuzamisha kwenye hayo maji.
Nikirudi katika hoja yako kuu ni kweli kuwa kuna kitu kinafichwa juu ya kifo cha the late na sio mwenye akili tu anaweza kugundua hilo ataasiye na akili ila ni mzuri katika hisia anaweza kugundua hilo.
Yaliyofichwa ni mengi juu ya kifo chake ila yatajulikana tu twendeni taratibu na ninauhakika hata walioshiriki mchezo huu wameshaona Red alert na wanakiri kuwa kumuondoa the late wameondoa tatizo dogo na kutengeneza tatizo kubwa, Na moja kati ya sababu inayofanya watu wa struggle kupata power nikutaka kuendelea kuuficha ukweli huu na mengine lakini it seems too late.
VIONGOZI WETU WAACHE KUPUUZIA MATATIZO MADOGO MADOGO KWANI WANATENGENEZA MWANYA WA MATATIZO MAKUBWA.
 
Tatizo kubwa lipi kiongozi?
 
Wanabodi,
Hapa duniani kuna fani mbalimbali za shughuli, na shughuli kuu ya kwanza duniani baada ya Mungu kumuumba binadamu, ilikuwa ni shughuli ya kutengeneza watoto au kuumba viumbe. Kwa vile Adamu na Hawa au Adamu na Eva, wao waliumbwa na Mungu mwenyewe, hivyo shughuli yao kuu ya kwanza ilikuwa ni kutengeneza watoto ili kujenga familia, kwa kuumba viumbe wengine!

Ile shughuli ya kutengeneza watoto ili kujenga familia, au uumbaji wa viumbe vipya, ndio shughuli kuu ya kwanza ya binadamu hapa duniani!, (the oldest professional) na viumbe wote, duniani kabla ya kuzaliwa ni lazima kwanza shughuli hiyo ifanyike, ndipo kiumbe kiumbwe, na ndipo kizaliwe, hivyo japo wengi wanahesabu siku ya kuzaliwa ndio siku yao ya kwanza duniani na watu wanasherehekea siku ya kuzaliwa, yaani birthday. hiyo siku ya kuzaliwa, ni siku tuu ya kuingia duniani, lakini sio siku ya kuumbwa!, siku unazaliwa, ujue uliumbwa miezi 9 nyuma!, kwa vile hata wazazi waliokuumba, hata mama aliyekubeba tumboni mwake, anakuwa hana uhakika halisi ni siku gani kiumbe kipya kimeumbika tumboni mwake, kwasababu anayeumba sio binadamu ni Mungu!, jukumu la binadamu ni kufanya tuu tendo la kuumba, lakini muumbani ni Mungu!. Nimeileta hadithi hii ya uumbaji ili kuelezea ndio shughuli kuu ya kwanza duniani.

Baada ya uumbaji shughuli kuu ya pili ni ujenzi wa familia, ulezi, makuzi na shughuli mbalimbali za kuendesha maisha na humu ndimo mwisho wa siku kunakuja kuibuka fani mbalimbali, wa mama wa nyumbani, wapishi, wasaidizi wa kazi, wake, vijakazi, waalimu, madaktari, madereva, wajenzi, wahubiri, matatibu, hata wanga, wachawi na washirikina, zote ni fani.

Kila fani, ina misingi yake mikuu, msingi mkuu wa fani ya ualimu ni kufundisha wengine, msingi mkuu wa fani ya udaktari ni kutibu na kuokoa maisha, msingi mkuu wa fani ya uongozi ni kuwaongoza wengine, msingi mkuu wa fani ya uandishi wa habari ni kuripoti, kueleza ukweli, ili kuueleza huo ukweli, mwandishi yeyote mzuri wa habari, ni lazima awe na uwezo wa kuhoji, mimi kwa sasa nimekuwa ni mtu mzima, lakini enzi zangu za ujana, nikiwa newsroom enzi zangu za kipindi changu cha Kiti Moto, kuna watu walikuwa wakialikwa, wanakimbia!, kilichokuwa kinawafanya wakimbie si uoga tuu wa kuogopa kuhojiwa maswali magumu.

Mahojiano yangu ya mwisho ya maswali magumu, ni yale niliyoyafanya ile siku ya tarehe 4 November, pale mahali, ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kualikwa pale, na ndio ikawa mara yangu ya mwisho, kilichobakia ni barua zangu tuu za kuomba mahojiano ambazo sikuwahi kujibiwa mpaka wengine wameitwa walikoitwa, na mimi nikiendelea kuziandika tuu kuomba mahojiano, na kuendelea kusubiri na kusubiri, angalau msaidizi wa sasa she is very gentle kwa kukueleza lazima uwe na subra sana maana barua za maombi ya mahojiano ni nyingi, foleni ni ndefu ila tunaendelea kusubiria, na hata tukipata fursa, siku hizi, tumeishajizeekea hatuna tena yale maswali magumu ya type ya kiti moto!.

Pamoja na jukumu kuu la mwandishi wa habari ni kuhoji na kuripoti ukweli, lakini sio lazima kila ukweli uripotiwe, kabla ya mwandishi wa habari kuripoti chochote, anapaswa afanye tathmini ya kitu kinachoitwa kwa Kiingereza Objectivity, yaani huu ukweli ninaotaka kuuripoti, ukijulikana, utaidaidia jamii?, hivyo ukikutana na tukio la ukweli kabisa, lakini ukaona ukweli huo ukijulikana, hautaisaidia jamii, wewe kama mwandishi makini, unapaswa kuuhifadhi ukweli huo na kutouripoti, ukweli ambao hautasaidia kitu jamii husika. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?

Tarehe, 12 mwezi March, mwaka 2021, mimi nikiwa ni mshitiri wa akaunti ya mtandao wa YouTube wa mwandishi mmoja Mtanzania anayeishi ughaibuni, alipandisha kwenye mtandao wake, taarifa ya kutokea kifo cha kiongozi fulani wa nchi fulani, lakini viongozi wa nchi hiyo, wameamua kufanya siri!.

Mwandishi huyo, alisema, yeye amepenyezewa taarifa hiyo na jamaa zake ambao ni watu wa "sehemu", na wameamua kumpenyezea yeye, kwa vile na yeye alikuwa ni mtu wa "sehemu", kabla ya kuikimbia nchi na kutokomea ughaibuni, baada ya kushikwa sikio, na watu wenzake wa "sehemu" kuwa wanaitafuta roho yake, ndipo akaamua kukimbilia ughaubuni kuinusuru roho yake ndio maana mpaka sasa bado yupo, vinginevyo angeisha kuwa mavumbi siku nyingi!.

Taarifa ya msiba huo ikasababisha sintofahamu kubwa huku nyumbani!, mara Balozi wetu wa Zimbabwe ambaye na yeye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa ile IOdara ya "sehemu", akatoa taarifa kukanusha!, mara Waziri Mkuu wa JMT akatoa taarifaa, jamaa yuko ana chapa kazi mnataka aende Kariakoo!, mara VP wa nchi hiyo akjatumwa Tanga kwenda kumwakilisha bosi wake kwenye tukio!.

Kwa vile nchi yetu ni nchi ya JMT yenye pande mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani, wenzetu kule Zanzibar, toka baada ya kuipokea taarifa hiyo Machi 12, wao walisitisha shughuli zote na ratiba zote za kiserikali za shamra shamra na kufuta ziara zote, huki sisi huku bara tukiendelea as if nothing happened!.

Na baada ya siku 5 tangu nilipopokea taarifa hii, ndipo Taifa tungatangaziwa rasmi kuhusu msiba huo mzito!. Taarifa hiyo iliishitusitusha dunia na Watanzania wote kuhusu msiba wa mkuu wa nchi, laki kwa wale ambao tulipokea taarifa ya msiba huu siku 5 kabla, sio kuwa hatukushitishwa na taarifa rasmi ya msiba, bali sasa tulisumbuliwa na shauku ya kuhoji ukweli ni upi kuhusu msiba huu, ni ile taarifa ya siku tsano zilizopita au taarifa rasmi ndio ukweli wenyewe?, Watanzania wana haki ya kuelezwa ukweli wa nini haswa kilitokea kama ukweli ukweli huo unaelezeka, ila kama ukweli huo haulezeki, then Watanzania bado tuna haki ya kuelezwa kuwa ukweli tarehe halisi ya tukio lile haielezeki ila ile Machi 17 ndio tuichukulie ndio tarehe rasmi ya kutangazwa tukio, kwasababu hata tarehe 25 Desemba, inayatangazwa ndio siku ya kuzaliwa Masiha, ni siku tuu iliyoteuliwa, lakini siku rasmi ya kuzaliwa Masiha, sio hiyo tarehe 25 Desemba, bali ndio siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwake.

Familia nyingi za Kiafrika, haswa sisi watu wa Kanda ya Ziwa, tukilewa huwa tuna kelele sana, hivyo ndani ya familia nyingi, huwa tunashuhudia kuna siku baba amepata kinywaji na kikamkolea, anarudi amelewa, anapgizana kelele na Maza, na kuna sometimes Maza anatembezewa kichapo, watoto mnajua, lakini hamuwezi kuuliza, wala kutangaza, inabaki ni siri za familia, ila watoto wa kizazi cha kisasa kizazi cha kuhoji, siku zote huwa wana dukuduku, kimetokea nini hadi Maza atembelee kisago?!.

Sasa kwa tukio kubwa kama lile la tarehe 17 Machi, kama ni kweli lilitokea tarehe 12 Machi, na watu wakakaa na mtu wao siku 5 nzima ndipo waje watutangazie, dukuduku ya kuhoji, walikuwa wanafanya nae nini siku zote 5?. Bado naendelea kusisitiza kuzingatia issues za morality kwenye kuusema ukweli Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa?

Kutokana na kutoelezwa ukweli ni nini haswa kilitokea, wazushi nao wanapenyezea hapo hapo agenda zao, eti baada ya kutokea kilichotokea ile tarehe 12, haikutangazwa kwasababu kuna kiongozi mmoja wa kidini wa imani fulani, aliwahakikishia anaweza kumrejeshea uhai wake, na akakubaliwa, hivyo hizo siku tano toka tarehe 12 Machi tukio lilipotokea, hadi tarehe 17, lilipotangazwa, juhudi za kumpambania maisha yake, zilikuwa zinaendelea, na baada ya juhudi zote kushindikana ndipo sasa tukatangaziwa rasmi!.

Sisi kizazi cha kuhoji, bado tuna dukuduku, kwa ule msemo wa sterling hauwawi, kama sterling wa filamu alikuwa amelala toka Machi 12, mpaka tulipotangaziwa ile Machi 17, who was running the show?, ni nani walimweleza Waziri Mkuu aseme Mwamba anachapa kazi?!, ni nani walimpangia VP safari ya Tanga ili kumzuga, as if nothing happened, wakati wenzetu upande wa pili wa Zanzibar wao waliahirisha kila kitu?!.

Hitimisho
Japo sio lazima kuhoji kila kitu kwa kuuliza maswali, kakini likitokea jambo lisilo la kawaida, mtu yeyote mwenye akili zake timamu, sio lazima ahoji au kuuliza, lakini ni zazima ajiulize ilikuwaje na ilitokeaje tokeaje?!. Huu ukimya wetu, wa ku observe things, to note things bila kuongea, au bila kuuliza, naomba kusitafririewa kuwa ni mazuzu!, kunapotokea vitu ambavyo Watanzania wanapaswa kuambiwa ukweli, Watanzania tuambiwe ukweli bila kujali ukweli huo ni mtamu au mchungu kiasi gani, ukimya wa Watanzania kutohoji hoji kila kitu, kusitafsiriwe kuwa Watanzania ni mazuzu, kunapotokea jambo, tuelezwe tuu ukweli, tutaelewa. Natoa wito kwa viongozi wetu, mnapoona watu hawahoji hoji sana kama enzi zile, mjue ni wameamua kutohoji hoji sana, na sio kuwa hawaoni, au hawajui, hivyo viongozi wetu msituchulie poa, mkatuona kama mazuzu!, Watanzania sio mazuzu!, kuna siku itafika, ukweli bayana utajulikana, hawa watu watawaonaje?.

Ukweli Usemwe

Paskali
Paskali, najua wauliza uli ujuzwe ukweli kama mwandishi wa habari.

Kuna tetesi tena kuwa tukio la mitambo kuzima actually ilikuwa tarehe 9 Machi, tarehe 12 kuwa confirmed na tarehe 17 kutangazwa.
Nchini kuna wafuatiliaji wa makini wa yale tanayotokea.
Lakini swali ni moja, je ukifahamu ukweli huo utaufanyia nini?

Kuna filamu moja iliyomuonyesha mwandishi wa habari kule Marekani akitafuta habari fulani ya kijasusi, iliyo leak magazetini.
Mwandishi alienda kwa afisa mwandamizi , juu kabisa serikalini, na akamwambia:
"I want to know the truth, and the public wants to know the truth"
Yule afisa mwandamizi akamjibu kwa mkato " You cant handle the truth"
Jamaa ikabidi aingie mitini tu.
 
Ukweli usemwe!
 
Kwa hiyo hata Malkia mwenyewe anakuwa anatambua siku x nitakufa?.

Pia kwa nini wameweka mfumo huo wa kumuua Malkia ikifika kipindi flani?.
Naomba maelezo ya kina kidogo.
Yeah na Hiyo siri Inatunza na MI6 na MI7 sasa sijui kwanini
...Kama sikosei na vigumu kutoka Nje sema kuna mwamba mmoja account yake ilianza kuchunguzwa ya twitter baada ya kutaja tarehe za Kufa za Elizabeth na Charles..kabla malkia hajafa..
FcjdhYxWQAUSp72.jpg

Baada ya kutweet hivi..
Akaunti yake ikafungiwa na akawekwa under gavo suveilance..
Mpaka leo account ilifutwa kabisa
 
Pascal Mayalla , Mkuu Mimi nafsi yangu naona umekata tamaa mikeka inashuka kila siku ila jina lako wanakata tuu ulijaribu Kawe, kila mtu anajuwa hapa JF nini kili kupata ndani chumbani mwa wajumbe.Wewe ulipata heshima kubwa mno kabla kwenda kujaribu kalata yako kwenye lichama chakavu ambalo limedhulumu wa TZ zaidi ya 60...& hujawahi kuwa clear shamblizi ya Mh Lissu kupigwa risasi mchana kweupe au kuungana na fellow investigative journalists ili mufanye uncover who was responsible that a brutal attack.Leo unahoji petty issues kwanini kuna tar tofauti yakifo cha Jiwe ? Kuwa serious mkuu ..ndio mana juzi nikakushauri usitaafu tuu umezeeke akiri.
 
Hii nchi ina mambo mengi ya ku Re-form Ila uzuri ni kuwa mambo hayawezi kuwa hivyo hivyo kila siku itafika hatua huu ukimya utaisha kwani zama hubadilika tatizo kubwa tulilonalo ni kuwa tuliowapa dhamana ya kutenda haki hawatendi, Tuliowapa dhamana ya kupambana na kumsaidia mtanzania hawamsaidii bali wanamuangusha tuliowapa dhamana ya kutuvusha katika maji wanatuzamisha kwenye hayo maji.
Nikirudi katika hoja yako kuu ni kweli kuwa kuna kitu kinafichwa juu ya kifo cha the late na sio mwenye akili tu anaweza kugundua hilo ataasiye na akili ila ni mzuri katika hisia anaweza kugundua hilo.
Yaliyofichwa ni mengi juu ya kifo chake ila yatajulikana tu twendeni taratibu na ninauhakika hata walioshiriki mchezo huu wameshaona Red alert na wanakiri kuwa kumuondoa the late wameondoa tatizo dogo na kutengeneza tatizo kubwa, Na moja kati ya sababu inayofanya watu wa struggle kupata power nikutaka kuendelea kuuficha ukweli huu na mengine lakini it seems too late.
VIONGOZI WETU WAACHE KUPUUZIA MATATIZO MADOGO MADOGO KWANI WANATENGENEZA MWANYA WA MATATIZO MAKUBWA.
Tatizo kubwa lipi kiongozi?
Tatizo Kubwa walilotengeneza ni chuki kuongeza ndani ya chama kwani The late alikuwa na watu wake tena bado wana nguvu lakini kubwa zaidi ni kuwa Wamemuondoa mtu aliyekandamiza usalama wa makundi machache na kujali maslahi ya nchi na sasa tumepata watu wenye kukandamiza maslahi ya nchi na kujali makundi machache That was wrong move, Na ndio maana utaona wanapambana kuua legacy yake badala ya kujenga nchi.
 
Tutegemee nini ndugu mwandishi
 
Back
Top Bottom