Japo sio lazima kuhoji kila kitu kwa kuuliza maswali lakini mtu mwenye akili zake timamu ni lazima ajiulize. Ukimya wetu, msitufanye mazuzu kuna...

Kwa hiyo hata Malkia mwenyewe anakuwa anatambua siku x nitakufa?.

Pia kwa nini wameweka mfumo huo wa kumuua Malkia ikifika kipindi flani?.
Naomba maelezo ya kina kidogo.
 
Na wengine tunazidi kuamini "jeiwii" ilimsaidia mama kurudi dar salama kwa njia ya maji toka Tanga maana nae alikuwa tagetedi.....
 
Hivi tarehe 17 kiserkali huwa ina nini?
Maana fatilia viongozi wote wamekkufa tarehe hiyo...
Kina kijazi na wengine wote lowasa,Magu n.k

Hebu nipe huo.uzi chief niusome
 
Hii nchi ina mambo mengi ya ku Re-form Ila uzuri ni kuwa mambo hayawezi kuwa hivyo hivyo kila siku itafika hatua huu ukimya utaisha kwani zama hubadilika tatizo kubwa tulilonalo ni kuwa tuliowapa dhamana ya kutenda haki hawatendi, Tuliowapa dhamana ya kupambana na kumsaidia mtanzania hawamsaidii bali wanamuangusha tuliowapa dhamana ya kutuvusha katika maji wanatuzamisha kwenye hayo maji.
Nikirudi katika hoja yako kuu ni kweli kuwa kuna kitu kinafichwa juu ya kifo cha the late na sio mwenye akili tu anaweza kugundua hilo ataasiye na akili ila ni mzuri katika hisia anaweza kugundua hilo.
Yaliyofichwa ni mengi juu ya kifo chake ila yatajulikana tu twendeni taratibu na ninauhakika hata walioshiriki mchezo huu wameshaona Red alert na wanakiri kuwa kumuondoa the late wameondoa tatizo dogo na kutengeneza tatizo kubwa, Na moja kati ya sababu inayofanya watu wa struggle kupata power nikutaka kuendelea kuuficha ukweli huu na mengine lakini it seems too late.
VIONGOZI WETU WAACHE KUPUUZIA MATATIZO MADOGO MADOGO KWANI WANATENGENEZA MWANYA WA MATATIZO MAKUBWA.
 
Tatizo kubwa lipi kiongozi?
 
Paskali, najua wauliza uli ujuzwe ukweli kama mwandishi wa habari.

Kuna tetesi tena kuwa tukio la mitambo kuzima actually ilikuwa tarehe 9 Machi, tarehe 12 kuwa confirmed na tarehe 17 kutangazwa.
Nchini kuna wafuatiliaji wa makini wa yale tanayotokea.
Lakini swali ni moja, je ukifahamu ukweli huo utaufanyia nini?

Kuna filamu moja iliyomuonyesha mwandishi wa habari kule Marekani akitafuta habari fulani ya kijasusi, iliyo leak magazetini.
Mwandishi alienda kwa afisa mwandamizi , juu kabisa serikalini, na akamwambia:
"I want to know the truth, and the public wants to know the truth"
Yule afisa mwandamizi akamjibu kwa mkato " You cant handle the truth"
Jamaa ikabidi aingie mitini tu.
 
Ukweli usemwe!
 
Kwa hiyo hata Malkia mwenyewe anakuwa anatambua siku x nitakufa?.

Pia kwa nini wameweka mfumo huo wa kumuua Malkia ikifika kipindi flani?.
Naomba maelezo ya kina kidogo.
Yeah na Hiyo siri Inatunza na MI6 na MI7 sasa sijui kwanini
...Kama sikosei na vigumu kutoka Nje sema kuna mwamba mmoja account yake ilianza kuchunguzwa ya twitter baada ya kutaja tarehe za Kufa za Elizabeth na Charles..kabla malkia hajafa..

Baada ya kutweet hivi..
Akaunti yake ikafungiwa na akawekwa under gavo suveilance..
Mpaka leo account ilifutwa kabisa
 
Pascal Mayalla , Mkuu Mimi nafsi yangu naona umekata tamaa mikeka inashuka kila siku ila jina lako wanakata tuu ulijaribu Kawe, kila mtu anajuwa hapa JF nini kili kupata ndani chumbani mwa wajumbe.Wewe ulipata heshima kubwa mno kabla kwenda kujaribu kalata yako kwenye lichama chakavu ambalo limedhulumu wa TZ zaidi ya 60...& hujawahi kuwa clear shamblizi ya Mh Lissu kupigwa risasi mchana kweupe au kuungana na fellow investigative journalists ili mufanye uncover who was responsible that a brutal attack.Leo unahoji petty issues kwanini kuna tar tofauti yakifo cha Jiwe ? Kuwa serious mkuu ..ndio mana juzi nikakushauri usitaafu tuu umezeeke akiri.
 
Hii nchi ina mambo mengi ya ku Re-form Ila uzuri ni kuwa mambo hayawezi kuwa hivyo hivyo kila siku itafika hatua huu ukimya utaisha kwani zama hubadilika tatizo kubwa tulilonalo ni kuwa tuliowapa dhamana ya kutenda haki hawatendi, Tuliowapa dhamana ya kupambana na kumsaidia mtanzania hawamsaidii bali wanamuangusha tuliowapa dhamana ya kutuvusha katika maji wanatuzamisha kwenye hayo maji.
Nikirudi katika hoja yako kuu ni kweli kuwa kuna kitu kinafichwa juu ya kifo cha the late na sio mwenye akili tu anaweza kugundua hilo ataasiye na akili ila ni mzuri katika hisia anaweza kugundua hilo.
Yaliyofichwa ni mengi juu ya kifo chake ila yatajulikana tu twendeni taratibu na ninauhakika hata walioshiriki mchezo huu wameshaona Red alert na wanakiri kuwa kumuondoa the late wameondoa tatizo dogo na kutengeneza tatizo kubwa, Na moja kati ya sababu inayofanya watu wa struggle kupata power nikutaka kuendelea kuuficha ukweli huu na mengine lakini it seems too late.
VIONGOZI WETU WAACHE KUPUUZIA MATATIZO MADOGO MADOGO KWANI WANATENGENEZA MWANYA WA MATATIZO MAKUBWA.
Tatizo kubwa lipi kiongozi?
Tatizo Kubwa walilotengeneza ni chuki kuongeza ndani ya chama kwani The late alikuwa na watu wake tena bado wana nguvu lakini kubwa zaidi ni kuwa Wamemuondoa mtu aliyekandamiza usalama wa makundi machache na kujali maslahi ya nchi na sasa tumepata watu wenye kukandamiza maslahi ya nchi na kujali makundi machache That was wrong move, Na ndio maana utaona wanapambana kuua legacy yake badala ya kujenga nchi.
 
Tutegemee nini ndugu mwandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…