Japo Urusi ni hatari akisaidiwa na Korea Kaskazini, China na Iran, ila kwa Kikosi cha Marekani kilichotua mpakani bado Marekani ni Mbabe wa dunia

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Urusi ( Russia ) wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Ukraine wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambfapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kuota. Huyo muisrael mbona haendi kumtetea Ukraine. Unadhani kajikalia kimya bure. Anajua jinsi Russia ilivyomsaidia mpk Hitler akang'olewa. Hiyo tech yao ilikuwa wapi???? Baba yake USA YUKO kimya tu anaweka vikwazo.
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Ukraine wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambfapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Ha ha ha ha 🤣🤣

Achana kabisa na warusi 🤣

Nakukumbusha ndani ya Urusi Kuna kizazi kikubwa mno cha wayahudi na wameamua kuuchagua upande wa Putin..... mathalani akina tajiri Abramovich...

Mkuu Putin si mtu mjinga.....
 
Hapa ninamsikiliza balozi wa Ukraine nchini Kuwait na maongezi yake kama ya yule kiongozi maneno mengi wa Saddam Hussein aliyesema atawachakaza Wamarekani kabla ya kumaliza maneno yake MVUA YA MABOMU ikarindima katika majengo aliyokuwepo 🤣🤣

Huyu wa Ukraine anasema kuwa HATA KAMA WATASHINDWA VITA ILA TAIFA LAO litasimama imara zaidi na zaidi 🤣🤣🤣

Siempre JMT🙏
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Ukraine wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambfapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Biden kashachomoa hataki vita tena kaingia mitini amajificha kwenye vikwazo sasa hivi vita kataki tena
 
Hapan mm naona anaye tafutwa Ni biden tu kwa urusi kumchakaza urkraen inasemekan mrussin Ana mpiga kijana wake ambae Ni urkraen ili aone atakae ingilia umpe adabu Kali kuwai kutokea hvyo Vita hvyo Kuna mtu anatafutwa tu ambae Ni USA. Ili aingilie aoneshwe show mpiya na technology ya silaha ya mrusi ilivyo advanced

Ndio maan mmarekani ametulia kimya anajuwa kbsa kuwa anatafutwa ili kuingilia mzozo ndipo Vita vya tatu itangazwe
 
Upo sahihi
 
Vikosi gani na biden kasema sasa hivi hapeleki vikosi vyake huko na hana huo mpango. Jamaa mpuuzi sana muoga muoga ndo tatizo la kuongozwa na wazee wa 19c.
Unataka aende kuangamiza wanajeshi wake kwa sababu ya wazungu wa Eastern Europe. Russian na Ukraine ni dugu moja wacha watwangane wakimaliza wafanye tathmini ya hasara waliopata then waanze kujenga upya uchumi wa nchi zao huku wakiandamwa na vikwazo.
 
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.

Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na Iran huku kwa mbali ( tena kwa Kujificha ) India na China wakimsaidia nawaonea Huruma Warusi ( Russia ) kwani watakumbana na Kipigo ambacho kamwe hawakukitegemea.

Wakati Mrusi ( Russia ) akiwategemea hao Washirika wake tajwa kumpa Kiburi chote hiki Kudadadeki Mmarekani ( Marekani ) inamtegemea Mwamba Mmoja tu wa dunia ambaye hata Wakorofi wa nchi za Kiarabu wanamjua na wanamuogopa ambaye ni Myahudi ( Israel ) Mwenyewe.

Marekani wana Akili na Mikakati mno. Ukraine wanaenda Kukutana na Teknolojia mpya ya Kivita iliyotengezewa na Myahudi ( Israel ) ambfapo huenda Wakafa vibaya kama Sisimizi au Mende.
Russia ndo kawapa teknolojia nyingi za silaha hao watu kuliko nchi yoyote.
Hao bado wanamtegemea Russia kwenye teknolojia ya silaha.
Back to Israel.. Ukraine, Poland na Urusi zina Jews weng mno. Na kiasi kikubwa dvt ya silaha za Russia pia hawa jamaaa wako nyuma yao.
Hushangai kwann USA na RUSSIA hawana kauli mbele ya Israel ?
Hushangai hawa jamaa wako tayari kupigana na yyte kisa Israel ?
Hujiuliz kwanini Israel bado anafanya mashambulizi Syria na Russia hafanyi chochote.
Incase ya vita kati ya RUSSIA NA USA jua ndo mwisho wa dunia
 
Back
Top Bottom