inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Sasa anayechagua si ni wewe,wa kwanza kuzaliwa Ishmael,kwa mujibu wa andiko alizaliwa na mke Ibrahim,je ni mtoto wa Ibrahim?..Kama alikua wa kwanza,isaka anakuaje mtoto wa pekee?.. simple question
HakupigwaSawa, kwahiyo ni kweli Mungu alipigwa na Yakobo kama isemavyo Biblia?
Usijidanganye, psychology ya binadamu inaeleweka na wewe sio smart kama unavofikiri, mtu anatoa matusi only when intimidated and you were intimidated.Eti kuniumbua!!..mtu kusoma na kuelewa huwezi uniumbue mie,unajua hata maana ya umbua!?
Muandishi amemuita kwa maoni yake tu... Maana sote tunajua kimantiki baba akishakua na watoto 2+ ....neno mtoto wa pekee linakua invalid 🚫Soma hapa
Mwanzo 22
MWANZO 22
Amri ya Kumtoa Isaka Kafara
1 Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa.
2Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia
hiyo ni nukuu ya Biblia.
unafikiri kwa nini Biblia au mwandishi amemuita Isaka mtoto wa pekee?
Mbona hueleweki sasa,..mwanzo ulisema huwezi kubisha kama alipigwa ......sasa hivi unasema hajapigwaHakupigwa
View attachment 3021853
Tatizo mnafosi mtoto wa pekee to fit narrative ya Quran ambayo haitaja hata majinaSasa anayechagua si ni wewe,wa kwanza kuzaliwa Ishmael,kwa mujibu wa andiko alizaliwa na mke Ibrahim,je ni mtoto wa Ibrahim?..Kama alikua wa kwanza,isaka anakuaje mtoto wa pekee?.. simple question
HakupigwaMbona hueleweki sasa,..mwanzo ulisema huwezi kubisha kama alipigwa ......sasa hivi unasema hajapigwa
Wewe unakubali Mungu alipigwa na Yakobo,...lakini Madam hapa KateMiddleton anasema hajapigwa....kipi ni kipiNdio.
Hata wewe unaweza ukampiga akitaka
Muandishi amemuita kwa maoni yake tu... Maana sote tunajua kimantiki baba akishakua na watoto 2+ ....neno mtoto wa pekee linakua invalid 🚫
Ukisoma hiyo Biblia niliyokuwekea inasemaje?Wewe unakubali Mungu alipigwa na Yakobo,...lakini Madam hapa KateMiddleton anasema hajapigwa....kipi ni kipi
Mwenzako kasema Mungu kapigwa.....Hakupigwa
Walishindana akamtegua Yakobo mguu
Wewe unakubali Mungu alipigwa na Yakobo,...lakini Madam hapa KateMiddleton anasema hajapigwa....kipi ni kipi
Not by nameImemtaja vizuri tu.....ukishajua mtoto wa kwanza wa Ibrahim ni nani....basi utajua wazi kwamba Ismail ametajwa kwenye Qur'an By Character kwenye tukio hilo.....
Isaka anakua mtoto wa pekee baada ya ya Ismail na mama yake Hajir kufukuzwa hapo kwa Ibrahim, hapo kwa Ibrahim wakabaki Sara,Ibrahim na IsakaSasa anayechagua si ni wewe,wa kwanza kuzaliwa Ishmael,kwa mujibu wa andiko alizaliwa na mke Ibrahim,je ni mtoto wa Ibrahim?..Kama alikua wa kwanza,isaka anakuaje mtoto wa pekee?.. simple question
Sawa,.. Ibrahim aliwapenda wote Ismail na Isihaka na ndiyo maana alimuomba Mungu awabariki watoto wake hao....sasa mpaka hapo hiyo kusema mtoto mmoja alikuwa wa pekee inakua ni maoni tu ya watu.....Mantiki ipi?
Mantiki yako inamipaka au imekariri.
Unaweza ukawa na watoto wengi lakini hapohapo ukawa n mtoto wa pekee.
Neno pekee linaweza kutafsirika kama mtoto umpendae.
Nakupa mfano, Biblia inamtaja Yesu kama mwana wa pekee wa Mungu. Hiyo unaujua maana yake?
Kwa wenye akili ndogo watakuambia Mungu hajazaa tafikiri waliambiwa kuwa Mungu alizaa.
Haya Mungu anakuambia yeye ni mmoja na wapekee alafu muda huohuo anakuambia usiabudu miungu mingine ila yeye. Unajua maana yake?
Semantiki ya Lugha inawapiga chenga. Achilia mbali falsafa
Isaka anakua mtoto wa pekee baada ya ya Ismail na mama yake Hajir kufukuzwa hapo kwa Ibrahim, hapo kwa Ibrahim wakabaki Sara,Ibrahim na Isaka
Ismael na Hajar mamaye wakaelekea jangwani ndipo huko Mungu aliwapa chemchem ya Zamzam ama mnataka kuikana leo?
Sawa,.. Ibrahim aliwapenda wote Ismail na Isihaka na ndiyo maana alimuomba Mungu awabariki watoto wake hao....sasa mpaka hapo hiyo kusema mtoto mmoja alikuwa wa pekee inakua ni maoni tu ya watu.....
Nadhani tukubaliane,..kutokubaliana kaka.....
Unasema Ibrahim hakuomba baraka yoyote....Je, hapa Mungu anavyosema kuhusu Ismail nimekusikia anamaanisha amesikia nini...? 👇🏼Ibrahim hakuomba mibaraka yoyote.
Mungu ndiye kwa rehema na neema zake aliamua kumrehemu Ishmael kwa sababu hakuwa na kosa lolote zaidi ya ligi za Mama yake(Hajiri) na mamaake mkubwa Sarah.
Zingatia, Ibrahim anawatoto wengine kwa Ketura ambao walitoa mataifa kama Waamaleki
Mtoto akishazaliwa,anakuaje si wako hata Kama umemfukuza!?..anakuaje si damu yako?Isaka anakua mtoto wa pekee baada ya ya Ismail na mama yake Hajir kufukuzwa hapo kwa Ibrahim, hapo kwa Ibrahim wakabaki Sara,Ibrahim na Isaka
Ismael na Hajar mamaye wakaelekea jangwani ndipo huko Mungu aliwapa chemchem ya Zamzam ama mnataka kuikana leo?
Ibrahim hakuwa na shida na HajirMwambie Ishmael angekuwa mtoto wa pekee wala asingefukuzwa yeye na Mamaake.
Upekee unaendana sambamba na kupendwa.
Lakini kipimo cha Sarah kupima upendo wa Ibrahim kwa Ishmael kilitoa majibu ya maumivu kwa Ishmael na Hajiri kuwa Ibrahim anaipenda familia ya Mke mkubwa kuliko Ishmael na Hajiri.
Huo ni katika upande wa upendo