Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Sawa, kwahiyo ni kweli Mungu alipigwa na Yakobo kama isemavyo Biblia?
Hakupigwa
IMG_7305.jpeg
 
Eti kuniumbua!!..mtu kusoma na kuelewa huwezi uniumbue mie,unajua hata maana ya umbua!?
Usijidanganye, psychology ya binadamu inaeleweka na wewe sio smart kama unavofikiri, mtu anatoa matusi only when intimidated and you were intimidated.

Acha kudanganya watu humu jukwaani na mafundisho ya dini yako ya ajabu ajabu, ni bora ukae kimya tuu kuficha aibu yako.
 
Soma hapa
Mwanzo 22

MWANZO 22​

Amri ya Kumtoa Isaka Kafara
1 Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa.
2Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia

hiyo ni nukuu ya Biblia.
unafikiri kwa nini Biblia au mwandishi amemuita Isaka mtoto wa pekee?
Muandishi amemuita kwa maoni yake tu... Maana sote tunajua kimantiki baba akishakua na watoto 2+ ....neno mtoto wa pekee linakua invalid 🚫
 
Sasa anayechagua si ni wewe,wa kwanza kuzaliwa Ishmael,kwa mujibu wa andiko alizaliwa na mke Ibrahim,je ni mtoto wa Ibrahim?..Kama alikua wa kwanza,isaka anakuaje mtoto wa pekee?.. simple question
Tatizo mnafosi mtoto wa pekee to fit narrative ya Quran ambayo haitaja hata majina

Biblia inasema mtoto wa jaribio la kuchinja ni Isaka
Nimekuomba uoneshe jina la Isaka/Ismael kwenye jaribu la kuchinja kwenye Quran
Ila kimya hadi sasa

Ntakurahisishia
Biblia vs Quran
IMG_7303.jpeg
IMG_7304.png
 
Muandishi amemuita kwa maoni yake tu... Maana sote tunajua kimantiki baba akishakua na watoto 2+ ....neno mtoto wa pekee linakua invalid 🚫

Mantiki ipi?

Mantiki yako inamipaka au imekariri.
Unaweza ukawa na watoto wengi lakini hapohapo ukawa n mtoto wa pekee.

Neno pekee linaweza kutafsirika kama mtoto umpendae.

Nakupa mfano, Biblia inamtaja Yesu kama mwana wa pekee wa Mungu. Hiyo unaujua maana yake?
Kwa wenye akili ndogo watakuambia Mungu hajazaa tafikiri waliambiwa kuwa Mungu alizaa.

Haya Mungu anakuambia yeye ni mmoja na wapekee alafu muda huohuo anakuambia usiabudu miungu mingine ila yeye. Unajua maana yake?

Semantiki ya Lugha inawapiga chenga. Achilia mbali falsafa
 
Sasa anayechagua si ni wewe,wa kwanza kuzaliwa Ishmael,kwa mujibu wa andiko alizaliwa na mke Ibrahim,je ni mtoto wa Ibrahim?..Kama alikua wa kwanza,isaka anakuaje mtoto wa pekee?.. simple question
Isaka anakua mtoto wa pekee baada ya ya Ismail na mama yake Hajir kufukuzwa hapo kwa Ibrahim, hapo kwa Ibrahim wakabaki Sara,Ibrahim na Isaka

Ismael na Hajar mamaye wakaelekea jangwani ndipo huko Mungu aliwapa chemchem ya Zamzam ama mnataka kuikana leo?
 
Mantiki ipi?

Mantiki yako inamipaka au imekariri.
Unaweza ukawa na watoto wengi lakini hapohapo ukawa n mtoto wa pekee.

Neno pekee linaweza kutafsirika kama mtoto umpendae.

Nakupa mfano, Biblia inamtaja Yesu kama mwana wa pekee wa Mungu. Hiyo unaujua maana yake?
Kwa wenye akili ndogo watakuambia Mungu hajazaa tafikiri waliambiwa kuwa Mungu alizaa.

Haya Mungu anakuambia yeye ni mmoja na wapekee alafu muda huohuo anakuambia usiabudu miungu mingine ila yeye. Unajua maana yake?

Semantiki ya Lugha inawapiga chenga. Achilia mbali falsafa
Sawa,.. Ibrahim aliwapenda wote Ismail na Isihaka na ndiyo maana alimuomba Mungu awabariki watoto wake hao....sasa mpaka hapo hiyo kusema mtoto mmoja alikuwa wa pekee inakua ni maoni tu ya watu.....

Nadhani tukubaliane,..kutokubaliana kaka.....
 
Isaka anakua mtoto wa pekee baada ya ya Ismail na mama yake Hajir kufukuzwa hapo kwa Ibrahim, hapo kwa Ibrahim wakabaki Sara,Ibrahim na Isaka

Ismael na Hajar mamaye wakaelekea jangwani ndipo huko Mungu aliwapa chemchem ya Zamzam ama mnataka kuikana leo?

Mwambie Ishmael angekuwa mtoto wa pekee wala asingefukuzwa yeye na Mamaake.

Upekee unaendana sambamba na kupendwa.
Lakini kipimo cha Sarah kupima upendo wa Ibrahim kwa Ishmael kilitoa majibu ya maumivu kwa Ishmael na Hajiri kuwa Ibrahim anaipenda familia ya Mke mkubwa kuliko Ishmael na Hajiri.
Huo ni katika upande wa upendo
 
Ibrahim hakuomba mibaraka yoyote.
Mungu ndiye kwa rehema na neema zake aliamua kumrehemu Ishmael kwa sababu hakuwa na kosa lolote zaidi ya ligi za Mama yake(Hajiri) na mamaake mkubwa Sarah.

Zingatia, Ibrahim anawatoto wengine kwa Ketura ambao walitoa mataifa kama Waamaleki
 
Unasema Ibrahim hakuomba baraka yoyote....Je, hapa Mungu anavyosema kuhusu Ismail nimekusikia anamaanisha amesikia nini...? 👇🏼

Screenshot_20240620_125333_Biblia Takatifu.jpg

Tunapaswa tukubali kwamba Ismail ni miongoni mwa watoto ambao Ibrahim aliwachukulia special sana yeye pamoja na Isihaka,... kulazimisha mmoja aonekane si kitu nadhani si sawa.
 
Isaka anakua mtoto wa pekee baada ya ya Ismail na mama yake Hajir kufukuzwa hapo kwa Ibrahim, hapo kwa Ibrahim wakabaki Sara,Ibrahim na Isaka

Ismael na Hajar mamaye wakaelekea jangwani ndipo huko Mungu aliwapa chemchem ya Zamzam ama mnataka kuikana leo?
Mtoto akishazaliwa,anakuaje si wako hata Kama umemfukuza!?..anakuaje si damu yako?
 
Mwambie Ishmael angekuwa mtoto wa pekee wala asingefukuzwa yeye na Mamaake.

Upekee unaendana sambamba na kupendwa.
Lakini kipimo cha Sarah kupima upendo wa Ibrahim kwa Ishmael kilitoa majibu ya maumivu kwa Ishmael na Hajiri kuwa Ibrahim anaipenda familia ya Mke mkubwa kuliko Ishmael na Hajiri.
Huo ni katika upande wa upendo
Ibrahim hakuwa na shida na Hajir
Shida ni Hajir kuja juu kipindi alipomzaa Ishmael na Sara hana mtoto
Alimdharau Sara
Sara akamtesa hadi akakimbia
Akarudi tena
Isaka alipozaliwa Sara akasema mwanangu Isaka hatoridhi na Ishmael
Ndipo Ibrahimu akamuondosha Hajir na Ishmael kwenda Jangwani
IMG_7306.jpeg
IMG_7307.jpeg
 
Back
Top Bottom