Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Watoto wa Bilha na Zilpa wanahesabiwa kwenye uzao wa Leah na Rahel. Ila pamoja na hayo yote Kun haki msingi hawakuzipata. Reuben alipotenda dhambi atanyang'anywahaki ya uzaliwa wa kwanza haikwenda Kwa mtoto wa Zilpa au Bilha, ilienda Kwa Yusuphu mzaliwa wa kwanza wa Rahel. Mpaka uwe kwenye ndoa ndio unakua na haki ya kurithi.
Lea Hakuwa Mke wa Yakobo hahahah🤣🤣 ndo maana Watoto wa Leah hawakurithi kitu..
Nimekuibia siri hiyo
 
Soma hapo.kama una swali lingine uliza.pia baada ya hajr kijakazi wa bibi sara kumzalia Ibrahim mtoto wake wa kwanza Ishmael. Mama Sara akaanza kuona wivu akamchukia hajr na mwanae.ndipo Ibrahim akaamua kuwatorosha na kwenda kuishi makka. Na usisahau kisima cha zam zam.kilichimbwa kwa ajili ya hajr na ismail walipofika makka. Hakukuwa na mji
Hujajibu swali langu ni lini Katika maisha ya Ibrahim alikuwa na anaishi na Ismael Mecca.

Biblia inasema wazi kabisa katika umri Fulani ndio alitaka kumtoa sadaka Isaka, Quran iko vague and opaque kwenye hili.

Second kisima cha zamzam hakikuwa Mecca ni some where in Jordan.

Third Ishmael hakufika na kuishi Mecca katika Maisha yake.

Watoto wa Ishmael ndio walisambaa zaidi maeneo ya Arabia peninsula.

Nabayati (Nabatean) na Qedash ndio waarabu wa Leo wanadai asili Yao imeanzia hasa kwa Nabayoti.
Nabateans walikuwa watu ambao waliishi maeneo ya Jordan ya Leo na Lugha Yao ndio chimbuko la Kiarabu cha Leo… kimantiki, Kijiografia na hata kihistoria it is completely impossible Ibrahim kutaka kumtoa Sadaka Ismael Mecca.

At least Waislam wangesema Ishmael alitaka kutolewa sadaka sehemu moja Isaka alipotaka kutolewa, sababu hata hajiri moved south yeye na mwanae na north
 
Ebu jmjaribu ku Google basi.ujue kisima cha zam zam kipo wapi.

Hoja ya pili Ibrahim alimpata Ishmael akiwa mzee kabisa. Wakati hajr anaondoka na Ismael kuelekea makaa ismail alikuwa mtoto. Ibrahim aliwafuata baadae kabisa.akaenda kuishi nao.
 
Nyingine hyo
 
Attachments

  • Screenshot_20240621_111006_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20240621_111006_Samsung Internet.jpg
    314.6 KB · Views: 2
Ismael Akiwa na miaka 14 anaondoshwa na mama yake kwenda Jangwani..Isaka hapo mdogo miaka 3
Amri hiyo ilikuja badae Ibrahim akiwa na Sara na mtoto wao pekee Isaka
Really, You kids Mko na Disapointments Nyingi sana..Mnajaribu kutetea Vitu mpaka Mnakera mimi huwa napenda Mtu anayesema Ukweli No matter Utaonyesha Jinsi gani alivyo Uchi its fair..

Ila kudanganya Not fair..
Kwannini wengi Wenu Humu Mnaumwa Alethophobia

Ishmael kazaliwa Baba yake Ibrahimu akiwa na miaka 86..

Mwanzo 16:15-16
Screenshot_20240621_110327_Biblia Takatifu.jpg

Na Ishamael Akiwa na Miaka 13 Agano la Mungu likatoka huku Ibrahimu akiwa na miaka 99..

Mwanzo 17:1-3 pia Soma Mwanzo 17:24-25
Screenshot_20240621_110555_Biblia Takatifu.jpg

Screenshot_20240621_110759_Biblia Takatifu.jpg

Lets See Isaka alizaliwa Lini??

Ibrahimu alipokuwa na Miaka 100 huku Ishmaeli akiwa na Miaka 14 Isaka ndiyo alizaliwa..

Mwanzo 21:1-5
Screenshot_20240621_111038_Biblia Takatifu.jpg

ibrahimu ana Miaka 100, Ishmael.ana miaka 14 na Isaka ndo anazaliwa..

How comes Unasema Isaka alikuwa na miaka 3 ishmael alipokuwa na 14
Shida kubwa ya Vijana wengi hamsomi Maandiko mnasimuliwa maandiko
 
Nisome kitu ninachokijua?
Au unadhani stori hii naijadili na wewe kisha naenda ku-google kama wewe.

Ibrahim ni muebrania kwa taifa.
baba wa waebrania ni Eber mjukuu wa Nuhu(Nuhu ni Assyrian)
Dini yake ni Myahudi
Mungu wake ni Yehova.
Huyo ndiye Ibrahim
Hapa Nakuunga Mkono kwa 95% Uko sawa kabisa..
ILa Ibrahimu Hakuwa Myahudi 🤣..

alikuwa Anamfata Mungu wa Babu zake Yaani Unajua kwa Ibrahimu Ndo Ucha Mungu wa Imani ndo ulipoanzia hasa kwa hyo yeye Ndo alijitenga Na Watu wa nyumbani na kumtegemea Mungu..

Kipindi Hicho Yehuda (Yuda hajazaliwa)
 
Really, You kids Mko na Disapointments Nyingi sana..Mnajaribu kutetea Vitu mpaka Mnakera mimi huwa napenda Mtu anayesema Ukweli No matter Utaonyesha Jinsi gani alivyo Uchi its fair..

Ila kudanganya Not fair..
Kwannini wengi Wenu Humu Mnaumwa Alethophobia

Ishmael kazaliwa Baba yake Ibrahimu akiwa na miaka 86..

Mwanzo 16:15-16
View attachment 3022044

Na Ishamael Akiwa na Miaka 13 Agano la Mungu likatoka huku Ibrahimu akiwa na miaka 99..

Mwanzo 17:1-3 pia Soma Mwanzo 17:24-25
View attachment 3022045
View attachment 3022046

Lets See Isaka alizaliwa Lini??

Ibrahimu alipokuwa na Miaka 100 huku Ishmaeli akiwa na Miaka 14 Isaka ndiyo alizaliwa..

Mwanzo 21:1-5
View attachment 3022048

ibrahimu ana Miaka 100, Ishmael.ana miaka 14 na Isaka ndo anazaliwa..

How comes Unasema Isaka alikuwa na miaka 3 ishmael alipokuwa na 14
Shida kubwa ya Vijana wengi hamsomi Maandiko mnasimuliwa maandiko
Nikiri kukosea mi sio malaika
Hapo itakuwa nilichanganya na ile wanasema Isaka alipoachishwa kunyonya Ismail akaondoshwa na mamaye

Hakijaharibika kitu Mkuu
Mada ya msingi ni mtoto yupi alikuwa jaribu la kuchinja
 
Twende taratibu tutafika....
 
Ebu jmjaribu ku Google basi.ujue kisima cha zam zam kipo wapi.

Hoja ya pili Ibrahim alimpata Ishmael akiwa mzee kabisa. Wakati hajr anaondoka na Ismael kuelekea makaa ismail alikuwa mtoto. Ibrahim aliwafuata baadae kabisa.akaenda kuishi nao.
Ndio maana FaizaFoxy amesema someni maandiko yenu line by line you are now contradicting your own Quran.

Katika Quran Hajiri alifukuzwa Ishmael alipokuwa mkubwa si alipokuwa mdogo
 
Kwa maneno yako haya Ni Wazi Ismael alizaaliwa Kaanani ambayo ni Israel ya Leo.

Baada ya Isaka kuzaliwa, Ismael na Hajiri walifukuzwa na Ibrahim na kuelekea Maeneo ya Negev na Edom au Jordan ya Leo.

Ni Wazi pasi na Shaka Ibrahim na familia yake hawakuwahi kuishi Mecca katika utoto wa Ismael.

Hili ni proof kuwa Quran ilisema uongo au ilitunga hadithi ambayo ni very contradictory
Hahaha Sawa Mkuu ila Usisahau kuwa Kanaani sio israel ni Palestina..
Na kipindi hicho Hakukuwa na EDOM hahaha
 
Hahahaaaa Una Uhakika Mkuu Unajua Sheria Za Ndoa za kiyahudi kama Inavyosema Gimera au Halakha au Torati??

Unafahamu Mwanamke alikuwa na Mamlaka gani kwa mume??

Bhasi nikupeleke Mbele kwa Hao Wake za Yakobo..
Unajua kuwa hata Yakobo hakuwahi Kumregard Lea kama mkewe??

Na unafahamu Kuwa hakuna Mahali imeandikwa kuwa Yakobo alimuoa Lea bali alidanganyika kulala na Lea tu..

So mke wa Yakobo alikuwa Rahel na hao wengine watatu hawakuwa wake wa Yakobo..

Unaweza ukadouble check..Biblia inamtaja Rahel kama ndiye Mke wa Yakobo..ila haimtaji Lea kuwa ni mke wa Yakobo..

TItle ya Mke kwenye Biblia ni title Kubwa Sana Ambayo Kama hakuwa Mke Basi Hajiri angeitwa Suria (Ambayo Ni upgrade ya Kijakazi anapolala na Bwana..

Tatizo letu hatuelewi maandiko ila tunataka Tumeze tulivyoaminishwa bila kureason vitu... nilitoka huko zaman nilipoacha Uchungaji...

Kwanini Mke wa Kwanza alikuwa na Nguvu ya Kumrisha na hata Nguvu ya Kuomba kuolewa mwingine..(Ngoja nakuja na Halakha(Sheria za kiyahudi))

Yakobo aliwaoa wote wawili îñgawaje mmoja hakuwa chaguo lake ambaye Leah.
Hiyo haiondoi ukweli kuwa Leah Aliolewa na Yakobo kwa gharama ya miaka ileile Saba aliyoolewa mdogo wake, Recho
 
Ndio maana FaizaFoxy amesema someni maandiko yenu line by line you are now contradicting your own Quran.

Katika Quran Hajiri alifukuzwa Ishmael alipokuwa mkubwa si alipokuwa mdogo
Hilo la Hajiri na Ismail lipo aya zipi? Tuelimishe.

Mambo ya Qur'an ni lazima uweke ushahidi wa nukuu ya Qur'an siyo kupiga porojo tu.
 
Ebu jmjaribu ku Google basi.ujue kisima cha zam zam kipo wapi.

Hoja ya pili Ibrahim alimpata Ishmael akiwa mzee kabisa. Wakati hajr anaondoka na Ismael kuelekea makaa ismail alikuwa mtoto. Ibrahim aliwafuata baadae kabisa.akaenda kuishi nao.
Tuwekee nukuu ya hayo umeyatowa wapi?
 
Back
Top Bottom