DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Lea Hakuwa Mke wa Yakobo hahahah🤣🤣 ndo maana Watoto wa Leah hawakurithi kitu..Watoto wa Bilha na Zilpa wanahesabiwa kwenye uzao wa Leah na Rahel. Ila pamoja na hayo yote Kun haki msingi hawakuzipata. Reuben alipotenda dhambi atanyang'anywahaki ya uzaliwa wa kwanza haikwenda Kwa mtoto wa Zilpa au Bilha, ilienda Kwa Yusuphu mzaliwa wa kwanza wa Rahel. Mpaka uwe kwenye ndoa ndio unakua na haki ya kurithi.
Nimekuibia siri hiyo