DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Lea Hakuwa Mke wa Yakobo hahahah🤣🤣 ndo maana Watoto wa Leah hawakurithi kitu..Watoto wa Bilha na Zilpa wanahesabiwa kwenye uzao wa Leah na Rahel. Ila pamoja na hayo yote Kun haki msingi hawakuzipata. Reuben alipotenda dhambi atanyang'anywahaki ya uzaliwa wa kwanza haikwenda Kwa mtoto wa Zilpa au Bilha, ilienda Kwa Yusuphu mzaliwa wa kwanza wa Rahel. Mpaka uwe kwenye ndoa ndio unakua na haki ya kurithi.
Hujajibu swali langu ni lini Katika maisha ya Ibrahim alikuwa na anaishi na Ismael Mecca.Soma hapo.kama una swali lingine uliza.pia baada ya hajr kijakazi wa bibi sara kumzalia Ibrahim mtoto wake wa kwanza Ishmael. Mama Sara akaanza kuona wivu akamchukia hajr na mwanae.ndipo Ibrahim akaamua kuwatorosha na kwenda kuishi makka. Na usisahau kisima cha zam zam.kilichimbwa kwa ajili ya hajr na ismail walipofika makka. Hakukuwa na mji
Ebu jmjaribu ku Google basi.ujue kisima cha zam zam kipo wapi.Hujajibu swali langu ni lini Katika maisha ya Ibrahim alikuwa na anaishi na Ismael Mecca.
Biblia inasema wazi kabisa katika umri Fulani ndio alitaka kumtoa sadaka Isaka, Quran iko vague and opaque kwenye hili.
Second kisima cha zamzam hakikuwa Mecca ni some where in Jordan.
Third Ishmael hakufika na kuishi Mecca katika Maisha yake.
Watoto wa Ishmael ndio walisambaa zaidi maeneo ya Arabia peninsula.
Nabayati (Nabatean) na Qedash ndio waarabu wa Leo wanadai asili Yao imeanzia hasa kwa Nabayoti.
Nabateans walikuwa watu ambao waliishi maeneo ya Jordan ya Leo na Lugha Yao ndio chimbuko la Kiarabu cha Leo… kimantiki, Kijiografia na hata kihistoria it is completely impossible Ibrahim kutaka kumtoa Sadaka Ismael Mecca.
At least Waislam wangesema Ishmael alitaka kutolewa sadaka sehemu moja Isaka alipotaka kutolewa, sababu hata hajiri moved south yeye na mwanae na north
Nyingine hyoHujajibu swali langu ni lini Katika maisha ya Ibrahim alikuwa na anaishi na Ismael Mecca.
Biblia inasema wazi kabisa katika umri Fulani ndio alitaka kumtoa sadaka Isaka, Quran iko vague and opaque kwenye hili.
Second kisima cha zamzam hakikuwa Mecca ni some where in Jordan.
Third Ishmael hakufika na kuishi Mecca katika Maisha yake.
Watoto wa Ishmael ndio walisambaa zaidi maeneo ya Arabia peninsula.
Nabayati (Nabatean) na Qedash ndio waarabu wa Leo wanadai asili Yao imeanzia hasa kwa Nabayoti.
Nabateans walikuwa watu ambao waliishi maeneo ya Jordan ya Leo na Lugha Yao ndio chimbuko la Kiarabu cha Leo… kimantiki, Kijiografia na hata kihistoria it is completely impossible Ibrahim kutaka kumtoa Sadaka Ismael Mecca.
At least Waislam wangesema Ishmael alitaka kutolewa sadaka sehemu moja Isaka alipotaka kutolewa, sababu hata hajiri moved south yeye na mwanae na north
Really, You kids Mko na Disapointments Nyingi sana..Mnajaribu kutetea Vitu mpaka Mnakera mimi huwa napenda Mtu anayesema Ukweli No matter Utaonyesha Jinsi gani alivyo Uchi its fair..Ismael Akiwa na miaka 14 anaondoshwa na mama yake kwenda Jangwani..Isaka hapo mdogo miaka 3
Amri hiyo ilikuja badae Ibrahim akiwa na Sara na mtoto wao pekee Isaka
Hapa Nakuunga Mkono kwa 95% Uko sawa kabisa..Nisome kitu ninachokijua?
Au unadhani stori hii naijadili na wewe kisha naenda ku-google kama wewe.
Ibrahim ni muebrania kwa taifa.
baba wa waebrania ni Eber mjukuu wa Nuhu(Nuhu ni Assyrian)
Dini yake ni Myahudi
Mungu wake ni Yehova.
Huyo ndiye Ibrahim
Nikiri kukosea mi sio malaikaReally, You kids Mko na Disapointments Nyingi sana..Mnajaribu kutetea Vitu mpaka Mnakera mimi huwa napenda Mtu anayesema Ukweli No matter Utaonyesha Jinsi gani alivyo Uchi its fair..
Ila kudanganya Not fair..
Kwannini wengi Wenu Humu Mnaumwa Alethophobia
Ishmael kazaliwa Baba yake Ibrahimu akiwa na miaka 86..
Mwanzo 16:15-16
View attachment 3022044
Na Ishamael Akiwa na Miaka 13 Agano la Mungu likatoka huku Ibrahimu akiwa na miaka 99..
Mwanzo 17:1-3 pia Soma Mwanzo 17:24-25
View attachment 3022045
View attachment 3022046
Lets See Isaka alizaliwa Lini??
Ibrahimu alipokuwa na Miaka 100 huku Ishmaeli akiwa na Miaka 14 Isaka ndiyo alizaliwa..
Mwanzo 21:1-5
View attachment 3022048
ibrahimu ana Miaka 100, Ishmael.ana miaka 14 na Isaka ndo anazaliwa..
How comes Unasema Isaka alikuwa na miaka 3 ishmael alipokuwa na 14
Shida kubwa ya Vijana wengi hamsomi Maandiko mnasimuliwa maandiko
Twende taratibu tutafika....Nikiri kukosea mi sio malaika
Hapo itakuwa nilichanganya na ile wanasema Isaka alipoachishwa kunyonya Ismail akaondoshwa na mamaye
Hakijaharibika kitu Mkuu
Mada ya msingi ni mtoto yupi alikuwa jaribu la kuchinja
Ndio maana FaizaFoxy amesema someni maandiko yenu line by line you are now contradicting your own Quran.Ebu jmjaribu ku Google basi.ujue kisima cha zam zam kipo wapi.
Hoja ya pili Ibrahim alimpata Ishmael akiwa mzee kabisa. Wakati hajr anaondoka na Ismael kuelekea makaa ismail alikuwa mtoto. Ibrahim aliwafuata baadae kabisa.akaenda kuishi nao.
Hahaha Sawa Mkuu ila Usisahau kuwa Kanaani sio israel ni Palestina..Kwa maneno yako haya Ni Wazi Ismael alizaaliwa Kaanani ambayo ni Israel ya Leo.
Baada ya Isaka kuzaliwa, Ismael na Hajiri walifukuzwa na Ibrahim na kuelekea Maeneo ya Negev na Edom au Jordan ya Leo.
Ni Wazi pasi na Shaka Ibrahim na familia yake hawakuwahi kuishi Mecca katika utoto wa Ismael.
Hili ni proof kuwa Quran ilisema uongo au ilitunga hadithi ambayo ni very contradictory
Umesahau key point according to Islamic traditionNyingine hyo
Edom ni Jumuisha eneo zima lilivokuja kuitwa miaka michache baadaeHahaha Sawa Mkuu ila Usisahau kuwa Kanaani sio israel ni Palestina..
Na kipindi hicho Hakukuwa na EDOM hahaha
Nathibitishaje kulingana na Quran wakati nataka nyie wenye Quran muweke both Historical and archaeological facts ya maandishi yenuThibitisha madai yako toka kwenye Qur'an
Kwa hyo ulitaka iseme vipi ndo uamini?Umesahau key point according to Islamic tradition
Hahahaaaa Una Uhakika Mkuu Unajua Sheria Za Ndoa za kiyahudi kama Inavyosema Gimera au Halakha au Torati??
Unafahamu Mwanamke alikuwa na Mamlaka gani kwa mume??
Bhasi nikupeleke Mbele kwa Hao Wake za Yakobo..
Unajua kuwa hata Yakobo hakuwahi Kumregard Lea kama mkewe??
Na unafahamu Kuwa hakuna Mahali imeandikwa kuwa Yakobo alimuoa Lea bali alidanganyika kulala na Lea tu..
So mke wa Yakobo alikuwa Rahel na hao wengine watatu hawakuwa wake wa Yakobo..
Unaweza ukadouble check..Biblia inamtaja Rahel kama ndiye Mke wa Yakobo..ila haimtaji Lea kuwa ni mke wa Yakobo..
TItle ya Mke kwenye Biblia ni title Kubwa Sana Ambayo Kama hakuwa Mke Basi Hajiri angeitwa Suria (Ambayo Ni upgrade ya Kijakazi anapolala na Bwana..
Tatizo letu hatuelewi maandiko ila tunataka Tumeze tulivyoaminishwa bila kureason vitu... nilitoka huko zaman nilipoacha Uchungaji...
Kwanini Mke wa Kwanza alikuwa na Nguvu ya Kumrisha na hata Nguvu ya Kuomba kuolewa mwingine..(Ngoja nakuja na Halakha(Sheria za kiyahudi))
Hilo la Hajiri na Ismail lipo aya zipi? Tuelimishe.Ndio maana FaizaFoxy amesema someni maandiko yenu line by line you are now contradicting your own Quran.
Katika Quran Hajiri alifukuzwa Ishmael alipokuwa mkubwa si alipokuwa mdogo
Tuwekee nukuu ya hayo umeyatowa wapi?Ebu jmjaribu ku Google basi.ujue kisima cha zam zam kipo wapi.
Hoja ya pili Ibrahim alimpata Ishmael akiwa mzee kabisa. Wakati hajr anaondoka na Ismael kuelekea makaa ismail alikuwa mtoto. Ibrahim aliwafuata baadae kabisa.akaenda kuishi nao.
Quran unasoma Dada yanhu Faiza na biblia pia?Hilo la Ismail kuwa ni mtoto wa Ibrahim umelitowa wapi? Tupe elimu.
🤣🤣🤣.unachekesha. hayq niambie ismail alikuwa mkubwa wa miaka mingapiNdio maana FaizaFoxy amesema someni maandiko yenu line by line you are now contradicting your own Quran.
Katika Quran Hajiri alifukuzwa Ishmael alipokuwa mkubwa si alipokuwa mdogo