Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Hizo ni hadithi Mkuu!
Na zimewekwa Ili ujifunze zinaweza kuwa na Ukweli au zisiwe na Ukweli as Long as Unafata Moral of acts uko safe..
Sitaku kusema naziamini au Siziamini
 
Umeandika mtungo wa story mkuuubwa usio na ushahidi wala references , huku ukiongopa kuwa versions za biblia hazina tofauti
We jamaa sijui una shida kichwani, sijakataa kwamba biblia hazina utofauti, nimesema utafauti huo unatokana na process of translation lakini ujumbe mkuu ni uleule, hata uchukue King James Version, hata uchukue Greek Manuscripts au Dead Sea Scrolls ujumbe ni uleule.

Endelea kung'ang'ania hii point, maana bila kusingizia biblia imechakachuliwa Quran na Uislamu unakufa.
 
Sasa unakuja na sababu ya kukopi kutoka kwa wayahudi. Hao Mitume unaodai ni wa kiyahudi akina Nabii Mussa walikuwa na dini gani ?? tuanzie hapo
😅 😅 😅 uliuliza maswali ya kitoto, hakuna mtu asiyejua dini ya Mussa.

Muddy alichemka alivochukua manabii wa dini ya kiyahudi na kubadilisha story zao, angeshirikiana na Allah kutengeneza characters wao na manabii wao, mbona dini kama Hinduism wana miungu yao na characters wao, mbona Shintoism(Japan) wana characters wao na miungu yao, mbona Norse mythology(Norway) wana characters wao na miungu yao, Muddy alishandwa nn kutengeneza characters ambao hawana uhusiano na dini ya kiyahudi?? Unajua kwann hakufanya hivo?? Kwasababu angeonekana muongo zaidi na watu wangeikataa dini yake, kitendo cha kufananisha uislamu na dini za wayahudi na ukristo ni ili kuwavutia wayahudi na wakristo cause ndo zilikuwa dini zenye watu wengi na zinazokubalika, na ndo dini zilizokuwa zimeenea pale middle Eastern, so kafanya hivo ili apate support kwa wayahudi na wakristo, alivoona hawampi ushirikiano ndo akaanza vita nao.
Muddy hana jipya, kama ana jipya nileteee zaidi ya kuanzisha dini ili atimize matamanio yake ya kulala na wake za watu.
 
Hayo maelezo yako ndiyo dini ya Nabii Mussa?
 
Mtume hakuanzisha dini Ili apate support ya wayahudi kwanza sidhani kma mtu atataka support kwa kupinga dini ya mtu hata wewe hapo ni mfan suala la dini unazungumza mpaka maneno ya hovyo.Mtume hakuwa amesoma elimu yeyote kabla ya utume wake hakuwa ana knowledge ya uyahudi wa ukristo na alipokuwa mtume wayahudi walihakikisha wanaf8cha vitabu vyao Kisha wanamuuliza maswali magumu Ili wajie kama alitumwa kweli na Mungu. Mitume yote ilitumwa na Mungu kwa jambo Moja na ilipelekws sehemu ambayo Allah aliona watu wamepotea zaidi kwani hawapo watu adhabu mpaka wapelekewe ujumbe.Wayahudi walipelekewa mitume mingi kwa sababa mara nyingi walivuka mipaka na hata mitume yenyewe mengine waliwaua na kubadili maneno waliyopewa mpaka wakasema mungu ana mtoto <khizr> na mengine.
Na hata vita walivyopigana na Mtume walioamzisha vita na lengo kuu walikuwa waarabu na wayahudi Ili wamuue mte asiendelee kupinga dini Yao na miungu ya asili ya waarabu
 
Wakristo hatuna uongo wa kipambavu wa kusema Biblia imeshushwa kama mnavodanganyana quran imeshushwa na wakati Abdullah Ibn Saad Ibn Abi Sarh alishamuumbua muddy.

Njia ya kuielewa biblia na philosophy ya mungu wetu ni katika kusoma biblia na kuiacha iji tasfiri yenyew, maana yake nn?? Kuna mafungu katika biblia au scenario ambazo zinatakusaidia kutafsiri sehemu nyingine, yaan part A kama huielewi soma Part B, part B itakuelekeza kwann Part A iko vile.

Tofauti na nyie mliofungwa akili na muddy sisi tunao uwezo wa kuichambua biblia na ku-reason kwann mungu kafanya hivi, kitu ambacho nyie kwenu hamuwez kwasababu muddy ashawambia msi judge maneno ya Allah inabidi mpokee hivohivo ndo maana mnalishana tuu kiarabu tokea mko chekeshea.

Yeremia 32:19
[19]mkuu wa mashauri, mweza katika kutenda; ambaye macho yake yamefumbuka juu ya njia zote za wanadamu, kumpa kila mtu kwa kadiri ya njia zake, na kwa kadiri ya matunda ya matendo yake,
Great in counsel, and mighty in work: for thine eyes are open upon all the ways of the sons of men: to give every one according to his ways, and according to the fruit of his doings


Kama bado unadhani madhambi na laana ya vizazi yanarithishwa hata kama umeamua kumtafuta Mungu na kutubu, bac sisi binadamu mungu angekuwa ashatufutilia mbali, kwasababu tumetokea katika uzao huohuo wa dhambi, sisi wote ni watoto wa Adam na Adam alitenda dhambi ila bado bado tunadunda, kwann?? Rehema na huruma za Mungu.
 
😅 😅 😅 Sawa, Judaism.

Weka ushahidi
 
Kuweka kumbukumbu sawa, Quran kama kitabu hakikushushwa na hakuna kitabu kilichowahi kushushwa kutoka mbinguni, vitabu vyote vimeandikwa na watu hapa hapa duniani.
Mpaka mtume anafariki dunia hichi kitabu cha Quran tunachokisoma leo hakikuwepo wala mtume hakuwahi kukiona. Maswahiba wa mtume ndio waliandika hii Quran kadri walivyomsikia mtume akiongea, kuona na kukumbuka. Maandishi yao yalikusanywa na kuunganishwa ili kuwa kitabu baada ya mtume kufariki.

Nothing new, nothing special.
 
Sio kweli Ibrahimu wa Biblia babayake ni Tela kwenye quran Al azar
Dah ni kweli ndugu mjumbe, kumbe baba wa Ibrahimu wa kwenye Qurani sio Tera.
Sasa tunawalinganishaje hawa watu wawili tofauti kabisa na kusema ni mtu mmoja ?
.............
۞ وَإِذْ قَالَ إِبْرَاهِيمُ لِأَبِيهِ آزَرَ أَتَتَّخِذُ أَصْنَامًا آلِهَةً ۖ إِنِّي أَرَاكَ وَقَوْمَكَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ

(AL - AN-A'AM - 74)
Na pale Ibrahim alipo mwambia baba yake, Azar: Unayafanya masanamu kuwa ni miungu? Hakika mimi nakuona wewe na watu wako mmo katika opotofu ulio wazi.
..............
Mwanzo (Gen) 11:27
Na hivi ndivyo vizazi vya Tera. Tera akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani. Harani akamzaa Lutu.
Mwanzo (Gen) 11:31
Tera akamtwaa Abramu mwanawe, na Lutu mwana wa Harani, mwana wa mwanawe, na Sarai mkwewe, mke wa Abramu mwanawe, wakatoka wote katika Uru wa Wakaldayo, waende nchi ya Kanaani, wakafika mpaka Harani wakakaa huko.
..........
Asante sana Biblia.
 
Sio kweli Ibrahimu wa Biblia babayake ni Tela kwenye quran Al azar
Usitatizwe na majina, hata Mungu ndio Allah, Yesu ni Nabii Issa, sheria ya Mungu ni moja, ni ile sheria ya Musa, ilishushwa kwenye Torati au Taurat. Wakristo na Waislamu ni watoto wa Baba mmoja Nabii Ibrahim, Waislamu ni uzao wa mwanae wa kwanza Ismail na Wakristo ni uzao wa mwanae wa pili Isaka.

Kati ya watoto hao wawili, kuna mmoja alitaka kutolewa sadaka ya kuchinja, Wakristo na Biblia wanasema ni Isaka, Waislamu wanasema ni Ismail, na huo ndio ukawa mwanzo wa Iddi el Hajj , Iddi ya kuchinja.

Kuna watu wameambiwa kweli na kuna watu wamedanganywa, majadiliano yanaendelea.
P
 


Asante biblia ipi ??? Queen James Version au Satanic Bible ??

Huyo anayesema Gen 11:27 ni nani ??

Biblia ya NIV , imeandika

The Book of Genesis:


"Historically, Jews and Christians alike have held that Moses was the author/compiler of the first five books of the OT. These books, known also as the Pentateuch (meaning "five-volumed book"), were referred to in Jewish tradition as the five fifths of the law (of Moses). The Bible itself suggests Mosaic authorship of Genesis, since Ac 15:1 refers to circumcision as "the custom taught by Moses," an allusion of Ge 17. However, a certain amount of later editorial updating does appear to be indicated (see, e.g., notes on 14:14; 36:31; 47:11). (From the NIV Bible Commentary [1], page 2)"


So in reality, the book of Genesis had been tampered with by man.

It had been corrupted.

It is dangerous to consider all of it as the True Living Words of GOD Almighty, because by doing so, we are running into the risk of committing a crime against Him since we are claiming that He spoke words that He never spoke.
 
Usichanganyikiwe na kuongea maneno mengi ya nje ya Aya za vitabu vinavyojadiliwa.
Hapa zinaongea Aya za Mada husika tu, na sio blah blah za magazeti ya udaku.
Tunajadili hii Mada muhimu sana na sio umbeya.
Bandika Aya na maneno yake kukazia hoja yako.
Ni bora ungesema tu kwa kifupi kuwa Tera kwa Kiarabu ni Azar.
Ibrahimu kwa Kiarabu ni Ibrahimu.
Yesu ni Isa
Mariamu ni Mariamu
..........
Tujikumbushe tena Yeremia 8:8
"Mwasemaje, sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi?
Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo"
..........
Mwisho wa kunukuu.
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…