DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hizo ni hadithi Mkuu!Hadi Leo Saudi Arabia, Egpty Watu wanaishi kando ya mito na sehemu ambazo zinaweza kulimika...
Mecca it was very harsh.
And ukifatilia definition ya promise land ni kati ya mto Euphrates na Sinai.
Now come and think of it logically, Ibrahim took his son to the unknown and barren land, but he was able kumtoa mke wake kwa mwanaume mwingine ili aweze kusurvive njaa.
Na zimewekwa Ili ujifunze zinaweza kuwa na Ukweli au zisiwe na Ukweli as Long as Unafata Moral of acts uko safe..
Sitaku kusema naziamini au Siziamini