Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

Tafadhali fanya hesabu,..kisha rudia tena je Biblia haijaweka wazi umri wa Ibrahim baina ya watoto wake wawili.?

According to the Bible:

1. When Ismail was born Ibrahim (Abraham) was 86 years old when Ismail (Ishmael) was born. This is mentioned in Genesis 16:16: "Abram was eighty-six years old when Hagar bore Ishmael to Abram."

2. When Isaac was born: Ibrahim (Abraham) was 100 years old when Isaac was born. This is mentioned in Genesis 21:5: "Abraham was a hundred years old when his son Isaac was born to him."
Mwanzo 22
Muda wa jaribio la kuchinja
Haitaji umri
 
يَغْفِرْ لَكُمْ مِنْ ذُنُوبِكُمْ وَيُؤَخِّرْكُمْ إِلَىٰ أَجَلٍ مُسَمًّى ۚ إِنَّ أَجَلَ اللَّهِ إِذَا جَاءَ لَا يُؤَخَّرُ ۖ لَوْ كُنْتُمْ تَعْلَمُونَ
Atakughufirieni madhambi yenu, na atakuakhirisheni mpaka muda ulio wekwa. Hakika muda wa Mwenyezi Mungu utapo fika haucheleweshwi. Laiti mngejua!

Msome nuhu kwenye QUR'AN upate kumjua,surah nzima ya 71 amepewa yeye,we umemgeuza kuwa fundi mitumbwi,heshimu manabii na ujuvi wako
Broo una akili??

Story za Nuhu na Safina zilikuwa zikihubiriwa miaka nenda rudi kabla hata huyo muddy wako hajazaliwa, na story ya Nuhu ilikuwa ni moja yenye kueleweka kwamba alipewa kazi ya kutengeneza Safina na mungu kwa ajili ya gharika, sasa huyo mwarabu wenu aliyezaliwa na kuzikuta hizo story anakuja anasema otherwise wakati yeye mwenyew ameadisiwa, does that make sense to you??

Ni kama vile mtaani kwenu kuwe na story ya jinsi simba alivomuua mzee athumani alaf aje kijana alizaliwa miaka ya hivi karibuni kutoka mtaa mwingine wa mbali kabisa alaf aseme hapana awabishie wote aseme mzee athumani alikufa kwa presha....SIJUI UMENIELEWA?? UNAJUA HAYA MAMBO HAYAHITAJI UWE NA AKILI KUBWA SANA KUYACHANGANUA, UELEWA TUU WA KAWAIDA.

Ndo maana mtume wenu alikuwa anaitwa "The Ear" kwasababu ya kucopy, edit and paste story za kiyahudi.
 
View attachment 3021844
Hii ni Biblia
Mwanzo 22
Huku mambo yako bayana kama movie
Mtoto wa jaribio la kuchinjwa ni Isaka sio Ismael
"Mwanzo 16:3 Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, mjakazi wake ambaye alikuwa Mmisri, awe mke wake. Haya yalitokea baada ya Abramu kukaa katika nchi ya Kanaani kwa muda wa miaka kumi. | Biblia Habari Njema (BHN) | Download The Bible App Now" Mwanzo 16:3 Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, mjakazi wake ambaye alikuwa Mmisri, awe mke wake. Haya yalitokea baada ya Abramu kukaa katika nchi ya Kanaani kwa muda wa miaka kumi. | Biblia Habari Njema (BHN) | Download The Bible App Now

Mke akikuzalia mtoto,huyo mtoto ni wako au laa!?..na Kama mtoto huyu ni WA Ibrahim iweje mtoto wa pili awe wa pekee?!
 
Broo una akili??

Story za Nuhu na Safina zilikuwa zikihubiriwa miaka nenda rudi kabla hata huyo muddy wako hajazaliwa, na story ya Nuhu ilikuwa ni moja yenye kueleweka kwamba alipewa kazi ya kutengeneza Safina na mungu kwa ajili ya gharika, sasa huyo mwarabu wenu aliyezaliwa na kuzikuta hizo story anakuja anasema otherwise wakati yeye mwenyew ameadisiwa, does that make sense to you??

Ni kama vile mtaani kwenu kuwe na story ya jinsi simba alivomuua mzee athumani alaf aje kijana alizaliwa miaka ya hivi karibuni kutoka mtaa mwingine wa mbali kabisa alaf aseme hapana awabishie wote aseme mzee athumani alikufa kwa presha....SIJUI UMENIELEWA?? UNAJUA HAYA MAMBO HAYAHITAJI UWE NA AKILI KUBWA SANA KUYACHANGANUA, UELEWA TUU WA KAWAIDA.

Ndo maana mtume wenu alikuwa anaitwa "The Ear" kwasababu ya kucopy, edit and paste story za kiyahudi.
Hilo swali lako ikiwa Nina akili ungejiuliza wewe,maana unarukia tu mambo Kama Malaya na meza yenye bia nyingi
 
Lakini pia kumbuka baada ya Isihaka kuzaliwa....ile condition ya " Mtoto wa pekee wa Ibrahim" inakua haipo tena kwa kuwa tayari Ismail alikuepo kabla....hii unaiteteaje?

Inategemea.
Kuna namna zifuatazo mtoto anaweza kuwa wapekee;
Mosi, unawatoto wawili, mmoja akafa akabaki mmoja. Huyo aliyebaki hugeuka kuwa Wapekee.

Pili, unawatoto wawili, mmoja ukamfukuza au akaasi. Akabaki mmoja Bado anabaki kuwa wa pekee.

3. Unawatoto wengi, lakini mmoja ndiye anayefanya maagizo yako. Huyo huitwa mtoto wa pekee
Mfano huu watatu ndipo Yesu anapoingia, unaposikia Biblia ikimtaja Yesu kama mwana wa Mungu wa pekee anarejelea hoja ya tatu.
 
Lete facts,....hapo inaonyesha kama unafanya ushabiki kitu ambacho hakiwezi kutupa ukweli....

Kumbuka hiyo Biblia kuna sehemu inasema Mungu alipigana mieleka na Yakobo,..Mungu akapigwa.
Nimekuwekea facts
Screenshot ya Biblia
Leta screenshot ya Quran

Issue ya Yakobo mambo ya Mungu ni mengi
Mimi ni nani nipinge kilichoandikwa?
 
Mbona hizo stori za Quran nyingi zinauongo mwingi na hazina detail za muhimu.
Ndio maana hata nikikuuliza hapa Ishmael alitaka kutolewa Kafara wapo hautanijibu.

Au Issa Alizaliwa mji gani hutonijibu.
We una kichwa kigumu,maana haya tumeanza alasiri,tukaeleweshana,unarudi kulekule,yule dokta kakueleza in details hata wahafidhina wakamshukuru na kuacha mjadala,dokta kaamua kukuacha,ngoja nami nikuache
 
Hilo swali lako ikiwa Nina akili ungejiuliza wewe,maana unarukia tu mambo Kama Malaya na meza yenye bia nyingi
😅 😅 😅 😅
Unavojibu kwa matusi inaonesha we ni mtu wa aina gani, anyway ndo tabia yako sio mara ya kwanza kunitukana baada ya kukuumbua humu jukwaani.

Kama utakuwa na majibu ya maswali yangu nipo nakusubiri.
 
Inategemea.
Kuna namna zifuatazo mtoto anaweza kuwa wapekee;
Mosi, unawatoto wawili, mmoja akafa akabaki mmoja. Huyo aliyebaki hugeuka kuwa Wapekee.

Pili, unawatoto wawili, mmoja ukamfukuza au akaasi. Akabaki mmoja Bado anabaki kuwa wa pekee.

3. Unawatoto wengi, lakini mmoja ndiye anayefanya maagizo yako. Huyo huitwa mtoto wa pekee
Mfano huu watatu ndipo Yesu anapoingia, unaposikia Biblia ikimtaja Yesu kama mwana wa Mungu wa pekee anarejelea hoja ya tatu.
Hayo ni maoni yako,...lakini Biblia haijasema kwamba Isihaka ndiyo mtoto wa pekee wa Ibrahim......so kwa akili ya kawaida tu utajua kwamba Ismail ndiyo amewahi kuwa mtoto wa pekee wa Ibrahim kabla ya kuzaliwa wadogo zake.....
 
We una kichwa kigumu,maana haya tumeanza alasiri,tukaeleweshana,unarudi kulekule,yule dokta kakueleza in details hata wahafidhina wakamshukuru na kuacha mjadala,dokta kaamua kukuacha,ngoja nami nikuache

Kila la kheri.

Wewe umesema Quran sio biography ya watu nikikuambia zipo biography za watu kadhaa humo kama ilivyokwenye Biblia.
 
😅 😅 😅 😅
Unavojibu kwa matusi inaonesha we ni mtu wa aina gani, anyway ndo tabia yako sio mara ya kwanza kunitukana baada ya kukuumbua humu jukwaani.

Kama utakuwa na majibu ya maswali yangu nipo nakusubiri.
Eti kuniumbua!!..mtu kusoma na kuelewa huwezi uniumbue mie,unajua hata maana ya umbua!?
 
"Mwanzo 16:3 Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, mjakazi wake ambaye alikuwa Mmisri, awe mke wake. Haya yalitokea baada ya Abramu kukaa katika nchi ya Kanaani kwa muda wa miaka kumi. | Biblia Habari Njema (BHN) | Download The Bible App Now" Mwanzo 16:3 Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, mjakazi wake ambaye alikuwa Mmisri, awe mke wake. Haya yalitokea baada ya Abramu kukaa katika nchi ya Kanaani kwa muda wa miaka kumi. | Biblia Habari Njema (BHN) | Download The Bible App Now

Mke akikuzalia mtoto,huyo mtoto ni wako au laa!?..na Kama mtoto huyu ni WA Ibrahim iweje mtoto wa pili awe wa pekee?!
Usikubali Biblia kwa kuchagua unachotaka
Hii ni Mwanzo 22:2

IMG_7303.jpeg
 
Hayo ni maoni yako,...lakini Biblia haijasema kwamba Isihaka ndiyo mtoto wa pekee wa Ibrahim......so kwa akili ya kawaida tu utajua kwamba Ismail ndiyo amewahi kuwa mtoto wa pekee wa Ibrahim kabla ya kuzaliwa wadogo zake.....

Soma hapa
Mwanzo 22

MWANZO 22​

Amri ya Kumtoa Isaka Kafara
1 Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa.
2Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia

hiyo ni nukuu ya Biblia.
unafikiri kwa nini Biblia au mwandishi amemuita Isaka mtoto wa pekee?
 
Imemtaja vizuri tu.....ukishajua mtoto wa kwanza wa Ibrahim ni nani....basi utajua wazi kwamba Ismail ametajwa kwenye Qur'an By Character kwenye tukio hilo.....
Tatizo kwenye Issue ya Ibrahim
Quran imebana taarifa
Kwenye Biblia kuna habari kamili
What happened to Isaka na Ismail
Full story ipo
Wala sio implied kama kwenye Quran
 
Back
Top Bottom