Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #741
Mungu ana namna zake za ajabu kufanya mambo yake. Mimi hata Yuda Iskariote naamini kabisa hana kosa na ameenda mbinguni The Role of Yuda Eskarioti Kwenye Ukombozi wa Dunia: Je, Yuda alaumiwe, alaaniwe au apongezwe?!Naelewa Then kama Ni mpango wa Mungu kwanini Yuda ahukumiwe na Kulaaniwa kwa sababu hiyo?
Unahisi kuna Fair Treatment?
Na kwanini Mungu kama alitaka Yuda apate uzao asitafute Uzao kwa Wanawake wengine mpaka kwa Mke wa Mtoto wake?
Unafahamu Jinsi Yesse Alivyopatikana??
Ile story ya Naomi na Mama yake Mkwe mpaka kufikia kwa Daudi?
vItu vingi Ukivisoma Utasikitika Sana..
View attachment 3022321
P