Japokua wanandoa wamebanwa lakini nikiri wazi watoto wa kwenye ndoa za kikristo wanafaidi mno malezi kuliko ndoa za kiislam

 
Ndio maana umesema mchepuko ukimaanisha sio rasmi
 
Sasa hilo ni suala lingine la watoto wa nje ambalo si halali, Tuzungumzie watoto halali wa ndani ya ndoa.
Tuangalie tu kiujumla hapa bongo walio vizuri kiuchumi wa upande upi........halafu tuje kwenye hali za kifamilia
 
Pana point hapo, hata Kikwete nae ana mke moja pekee.

Wa kwanza sijui kilitokea nini, yupo na Salma kitambo sana.

Nae hussein Mwinyi ana mke wake moja mhehe wa Iringa,

Wa kwanza alifariki. Ndie mama yao na kina Ridhwani
 
Wana mitala sana sema pesa ipo uwezi sikia kelele mkuu.

Hii ni information era. Siri hazitunziki zama hizi.

Maana ndoa inasajiliwa Rita, na kwenye taasisi za dini ambazo zina wafanyakazi wengi. Wakiona wanavujisha umbea

Wafanyakazi wa Rita ni waswahili kina sisi.

Bakhressa , ama Mo dewji awe na ndoa ya mitala halafu umbea usivuje kweli ?
 
Hemu rudia tena ku-usoma uzi.
 
Uilam unaujuwa au unakurupuka tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…