Uchaguzi 2020 Japokuwa kukaa kimya ni jibu, Serikali inatakiwa ijibu hizi tuhuma

Jibu swali ameziiba vipi?
Watu wa maeneo Yale hasa wanyonge walikua na ardhi yao waliotumia kwa kilimo na ufugaji kwa miaka mingi sana. Leo hawa wanyonge ardhi yao wamekatazwa wasiilime wala kufugia kwsabb Mtawala ama watawala wamegawana na kupga marufuku wanyonge wananchi kuitumia. Na hawana pa kufanya shughuli zao ili wapate riziki yao.

\
 
Ndio maana nasema watupe ufafanuzi,kama walivyofafanua juu ya vitambulisho vya wajasiriamali. Watuambie ni kweli au sio kweli. Nani hao waliomkimbiza na waliompiga risasi Lissu.
Magufuli akiweza kulitolea ufafanuzi suala la Lissu nakunya hapa kariakoo
 
CCM hawawezi jibu tuhuma zipo nyingi wananchi wanataka majibu Kuna ile ishu ya vyeti vya kuzaliwa vya mgombea wao nao wamepoteana wananchi wanataka aonyeshe cheti Chake cha kuzaliwa, pili ishu ya karagwe kuporwa ardhi kibabe, uporaji wa ardhi za wananchi na kuzigeuza hifadhi, mikataba ya miradi nk.
 
Aliyetaka kumuua Lissu ni nani?
tuanzie hapo kwanza..
 
Hapa umeshatoa majibu kwahiyo serikali haina haja ya kukanusha bali waongo wataumbuliwa na sanduku
Wahenga wanasema uongo ukizidi hugeuka kuwa ukweli. Kama ni uzushi lazima ukanushwe. Mbona suala la kubambikia wafanyabiashara kesi za uhujumu uchumi wamekanusha?
 
👆👆👆Kwa hayo ulotaja na ubaya mwengine mwingi alotufanyia magufuli, bado kuna wanaotaka aendelee!!!.
Jamani zindukeni MAGUFULI hafaiiiiiii...... Narudia tena Magufuli hafaiiiiiii...

Kiongozi gani huyu anaye dhuru uhai wetu, uhuru wetu, uchumi wetu, hisia zetu,..... Magufuli hafai kuendelea kuongoza akapumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…