Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

Wewe umeona mada humu nyingi za wanawake kulia lia? Ile wizara ni ya "jinsia" means haichagui ni kwa ajili ya wote.
Halafu nafikiri inapaswa ujiulize wewe na wanawake wenzio mna ajenda gani dhidi ya wanaume kwa haya matukio yanayoendelea kwenye Tasinia nzima ya mahusiano...!!
Sie hatuna agenda yoyote, ni nyie tu akili zimegoma kufanya kazi yake. Au mmesahau kuwa ninyi ndio viongozi?
 
Mimi tu ndoa ikiwa na miaka 4 kwenye maugomvi ya hapa na pale mwenzangu si akalopoka eti sikupendi na najuta kuolewa na wewe aisee shetani aliniingia dakika hiyo hiyo nilichomfanya mwenywe nikikumbuka nashangaa sana.

Wanawake wachunge sana matendo yao hasa kwa sisi wanaume tunaotumia nguvu kubwa kuhakikisha maisha yanasonga mbele tuna akili nusu simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nasema unyoro nyoro umezidi. Uzuri jamii bado ina wanaume strong wasioruhusu hisia kuwaendesha.
 
Yule sio mkury ni mchaga wa huko kibosho.

Ni mmoja ya watu wanaotumika kuiangamiza family stability ya kitanzania, maana mafundisho yake yanalenga watu kuachana na kutoheshimiana ndoani
Anaharibu sana mabinti na wanawake wasio jitambua
 

Kuna binamu yangu yeye kuachana na mwanamke ni sawa na kughaili kwenda safari.
kosa dogo anapiga china na hajari ana mimba au lah
 
This contribution is overrated, this is truly what is exactly happening on the ground. Women are now untouchable despite their commiting evils against men, laws and policies are now empowers women more suppressing men on contrary......itafikia hatua ndoa zisiwe na maana tena, imefikia hatua mwanamke anaona kuzaa ni mhimu zaidi kuliko kuwa na ndoa.
 
Sijawahi kuzitaja na sizijui hizo sections. Nasisitiza Biblia iliandikwa na mwanaume; hutaki acha na kama umenuna “I dey ma house come beat me”….
 
Kama sio bikra usioe
Bikra haina msaada wowote kwenye utulivu wa mwanamke maana hata wanaojiuza uwanja wa Fisi nao walikuwa bikra.
Kaka yangu alikuwa mbabe pale home si akaoa aloo yule mwanamke si akafilisi biashra zote akawa anajenga kwao kwa ushirikiano na mama yake kaka alivyogundua na mwanamke akafungua kesi anataka waachane amechoka kukaa na mwanaume mlalamikaji anataka kugawana mali include nyumba wanayokaa navyoandika hapa ni kuwa mahakama wanasubiri kaka apate nafuu atoke hospitali ili waje waendeleze kesi.
Kama kwa sasa kapararise upande mmoja kwa sababu ya BP iliyotokana na u overthinking na stress
 
Ukifa mkeo ataolewa..
 
Very sad......yaani mwanaume yupo hospital anahangakia maisha yake kwa stress na maradhi yaliyosababishwa na mke wakati make anasubiri mume atoke hospital nyumba iuzwe wagawane....Kuna wakati shetani anaweza kuwa na huruma hata kiduchu kuliko mwanamke aliyekengeuka, huwa wanapoteza utu na kuwa SAWA na muuaji typically.
 
Wanawake ni silent killers kama si kwa maneno basi kwa vitendo ila atakuua vibaya sana hasa anapohisi nguvu zimekuisha na huwezi ku provide au kumlinda
Ishi nae kwa akili sana tena akili kubwa
nimepata point nzito sana hii.
 
Duh mpe pole aisee kuoa ni kubet.
 
Na pia huyo shem wangu inasemekana ana kajamaa fulani kana banda la kitimoto na amekanunulia na pikipiki mtaani wanasema kaka yako amezidi kuwa mtu wa dini anafokewa na mkewe anafanyiwa vitendo vya udhalilishaji na mwisho wa siku anaomba msamaa yeye
 
Mnasubiri nini kummaliza na nyie huyo mke wake?? Yaani ameharibu maisha ya ndugu yenu na nyie mnaangalia tu? Au nikupe mawasiliano ya professional assisins akufanyie hiyo kazi?

Hawa wanawake wa kileo Wameshapewa edge na mifumo ya sheria anakufanyia umafia kwa makusudi akijua kabisa huwezi kumfanya kitu chochote.. Sasa dawa ni kudeal nao kienyeji tu sema kwa akili sana.

Huyo mwanamke angekuwa ndio kumfanyia hivyo kaka yangu, ningemtengenezea hata ajali hili apararaizi na yeye eboo!!
 
Halafu Kuna wapumbavuu Wana comment hapa utaskia wanakwambia eti huyo mwanaume ameshindwa kutumia akili na yeye ndio mwenye makosa.

Kuna watu ni wajinga sana yaani neno akili wame liweponize kiasi kwamba wanalitumia bila kufikiri kama hata linaendana na muktadha wa mada husika.
 
Sijawahi kuzitaja na sizijui hizo sections. Nasisitiza Biblia iliandikwa na mwanaume; hutaki acha na kama umenuna “I dey ma house come beat me”….
Kwa hiyo kumbe unasema jambo ambalo hata wewe mwenyewe hulijui isipokuwa tu umelinasa tu kutoka kwenye vinywa vya mafeminists ambao nao kimsingi hawajui Wala hawana uthibitisho wa kwamba vitabu vya dini vimeandikwa na wanaume?
 
Nothing but glaring Truth, it's only fooolish men who don't see the reality that women are no longer in the position they used to be back in the past. Now days they have been gynocentrically elevated to the extent that they have become too treacherous and dangerous to men.

Acha tuiharibu jamii bila kujua.
 
Bikra ni bikra tu! Kataa kubali hiyo haihalalishi ya kwamba mitumba ina dhamani zaidi ya kitu kipya
 
Kwa hiyo kumbe unasema jambo ambalo hata wewe mwenyewe hulijui isipokuwa tu umelinasa tu kutoka kwenye vinywa vya mafeminists ambao nao kimsingi hawajui Wala hawana uthibitisho wa kwamba vitabu vya dini vimeandikwa na wanaume?
Wewe unayekataa havijaandikwa na wanaume una uthibitisho? Hebu pita kule bwana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…