Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

Huwa sipendi kumlaumu mtu kwasababu nilijifunza kitu kimoja kwenye maisha.

" Yakikukuta ndio utajua kwanini watu wanafanya wanayo yafanya"

Katika mambo hayo yapo ambayo utaweza kuya control ila kuna ambayo hautaweza.
 
Wewe umeona mada humu nyingi za wanawake kulia lia? Ile wizara ni ya "jinsia" means haichagui ni kwa ajili ya wote.

Sie hatuna agenda yoyote, ni nyie tu akili zimegoma kufanya kazi yake. Au mmesahau kuwa ninyi ndio viongozi?
Kutokuwepo kwa mada nyingi za malalamiko ya wanawake humu haimaanishi kwamba wanaume ndio wanalalamika sana kuliko wanawake, kwanza ukae ukitambua hii forum members wake wengi ambao wako active ni wanaume, hivyo basi lazima mada za wanaume zitakuwa ni nyingi kuliko za wanawake kwa hiyo hii forum haiwezi kuwa kipimo sahihi Cha kundi gani linaongoza kwa kulalamika. Ukitaka kuamini wanawake wanalia Lia nenda kwenye page ambazo ziko dominated na wanawake hasa Instagram kwenye page kama za akina Iddy makongo, Joyce Kiria na motivational speakers wengine.

Ile wizara ni ya jinsia kwenye makaratasi tu ila in reality ipo kwa ajili ya nyie wanawake na watoto tu na sio mwanaume, kwa yoyote mwenye akili timamu analitambua hili... unaweza ukaniambia project yoyote waliyoinzisha kwa ajili ya maslahi ya mwanaume? Karibu Kila mwaka huwa Kuna fungu linatengwa kwa ajili ya kudeal na breast cancer haya ni lini wamewahi kutenga fungu Hilo Hilo kwa ajili ya prostate cancer?? Na pia huwa tunaona Dorothy gwajima(Waziri mwenye dhamana) anaangaika sana na wajane wapate stahiki zao, umewahi kuskia hata siku moja akiangaika na wagane??

Na pia nani kiongozi wako leo hii? wewe mwanamke wa kisasa ambaye leo hii hata ukitaka kusafiri unatoa taarifa badala ya kuaga na mume Hana mamlaka ya kukuzuia Bado unasema eti mwanaume ni kiongozi wako?
 
Mwanamke ni kama mtoto mdogo jinsi umleavyo ndivyo akuavyo.tuishi nao ki putini putini au kinetanyau netanyau.akizingua we piga vita mpaka akimbie
 
Kutokuwepo kwa mada nyingi za malalamiko ya wanawake humu haimaanishi kwamba wanaume ndio wanalalamika sana kuliko wanawake, kwanza ukae ukitambua hii forum members wake wengi ambao wako active ni wanaume, hivyo basi lazima mada za wanaume zitakuwa ni nyingi kuliko za wanawake kwa hiyo hii forum haiwezi kuwa kipimo sahihi Cha kundi gani linaongoza kwa kulalamika. Ukitaka kuamini wanawake wanalia Lia nenda kwenye page ambazo ziko dominated na wanawake hasa Instagram kwenye page kama za akina Iddy makongo, Joyce Kiria na motivational speakers wengine.
Sasa kama wanawake tunaongoza kwa kulia lia kwa uchache wetu humu bado ilipaswa mada hizo ziwe nyingi, lakini zenu ndio nyingi na sababu sio eti kwasababu ni wengi maana hata huko ulikotaja wanaume still ni wengi. Humu ndipo mnapojifichia. Lakini hata in reality aisee siku hizi mmezidi kulia lia.
Ile wizara ni ya jinsia kwenye makaratasi tu ila in reality ipo kwa ajili ya nyie wanawake na watoto tu na sio mwanaume, kwa yoyote mwenye akili timamu analitambua hili... unaweza ukaniambia project yoyote waliyoinzisha kwa ajili ya maslahi ya mwanaume? Karibu Kila mwaka huwa Kuna fungu linatengwa kwa ajili ya kudeal na breast cancer haya ni lini wamewahi kutenga fungu Hilo Hilo kwa ajili ya prostate cancer?? Na pia huwa tunaona Dorothy gwajima(Waziri mwenye dhamana) anaangaika sana na wajane wapate stahiki zao, umewahi kuskia hata siku moja akiangaika na wagane??
Breast cancer mbona kampeni ni kwa wote, hata wewe ukienda haubaguliwi. Lakini hii imepewa kipaumbele kutokana na cases zake kuwa nyingi zaidi. BTW Gwaji girl anadeal na wote na maranyingi anawasisitiza akina baba mjitokeze kwa wingi, hadi na tuzo aliwapa, au umesahau?
Na pia nani kiongozi wako leo hii? wewe mwanamke wa kisasa ambaye leo hii hata ukitaka kusafiri unatoa taarifa badala ya kuaga na mume Hana mamlaka ya kukuzuia Bado unasema eti mwanaume ni kiongozi wako?
Kiongozi wangu mimi ni mume wangu na hakuna mahali ninakwenda bila kumuaga. Ukiona hauagwi basi kaa chini ujitafakari maana uanaume wako is in question.
 
Nakuongezea kisa, Morel mwana appolo alijinyonga mwaka juzi kisa na mkasa akiwa mererani anapambana anatuma pesa kwa mke wake , mke kosa pesa atunze ili baadae wapige hesabu yeye karuka hadi moshi kanunua eneo na kaanza kujenga hotel , jamaa ukumbuke akaunt anayoingiza pesa ya mke wake , ilipofika muda akauliza vipi huko tuna bei gani, mwanamke kwenda benki analeta slip yenye salio kama milioni tano, wakati jamaa hesabu za haraka alijua kama sio 200m basi itakosa kidogo, mwanamke hotel imeisha tena kwa jina lake na kwa siri, kuhoji zaidi anaambiwa Ile benki kuna chuma ulete, moreli alichanganyikiwa ikabidi ajinyonge, hivo ishini nao kwa akili ni watu waliojaa tamaa Sana kwa sasa
Alikosea kujiua alitakiwa ammalize ke kimyakimya abaki na hotel yake
 
Hoja ulizoandika ni dhaifu sana yaani na ziko nje kabisa wa chanzo husika Cha tatizo, unaonekana Bado uko usingizini na hujui kabisa ni jinsi gani the whole atmosphere ya intersexual dynamics ilivyochange na kuwa unfavorable kwa mwanaume.

Yaani Bado unaamini eti mwanaume ndani ya nyumba akiwa na uwezo wa kutimiza majukumu yake ya kiume ana hold all the power dhidi ya mwanamke, pole sana.

Usichokijua ni kwamba mwanaume tayari ameshanyang'anywa ile Strong gender privilege so licha ya kutimiza hayo majukumu yake lakini Bado Hana mamlaka kwa mkewe, kitu ambacho kimepelekea wanawake wa kisasa kuwa nagging, narcissistic na rebellious na tabia zingine zote za ajabu... Na leo ikitokea mgogoro wowote au tofauti kati ya mume na mke, hapo Mwanaume anakuwa hapambani na mkeweTena Bali anakuwa anapambana na system ambayo ndio imempa nguvu mwanamke na kumnyang'anya mamlaka mwanaume.... Yaani now in any marital crisis it is Man vs Government and not a Man vs woman weka hii akilini mwako.

This unheard massive outcry from men boils down to the overhauling of our ways of living in which we have decided to embrace the western gynocentric culture that has been socially marginalizing men and preferentially favoring women.....

Halafu wewe hapo unaniambia eti sababu ni kusikiliza nyimbo za akina Mario??? Serious?...No wonder Bado uko kwenye Utopia na mara nyingi humu unatoaga comments zenye vinasaba vya mfumo jike.

Lakini nikuluuze swali kwani huyo mwanamke kwenye hii story aliamua kuuza shamba la mmewe licha ya kukatazwa na mmewe asifanye hivyo maana tayari alikuwa amefanya kosa kama hili mwanzo? Wewe unafikiri huo ujasiri wa kurudia kosa aliupata wapi?

Na pia kwa ufahamu wako unafikiri ni kwanini vilio kama hivi hatuviskii kwenye jamii ambazo Bado ziko conservative kama vile huko middle east??? Ni kwanini huko kwa warabu na nchi nyingi za Asia wao taasisi ya ndoa iko imara na wanaume wao hawapitii mateso kwenye mahusiano/ndoa kama wanayopitia wanaume wa magharibi ambao mpaka wanafikia hatua ya kujiua??
Unapoteza muda wako kwa huyo jamaa, kutetea wanawake humu JF anadhani watamuona ndo mwanaume.
 
Sasa kama wanawake tunaongoza kwa kulia lia kwa uchache wetu humu bado ilipaswa mada hizo ziwe nyingi, lakini zenu ndio nyingi na sababu sio eti kwasababu ni wengi maana hata huko ulikotaja wanaume still ni wengi. Humu ndipo mnapojifichia. Lakini hata in reality aisee siku hizi mmezidi kulia lia.

Breast cancer mbona kampeni ni kwa wote, hata wewe ukienda haubaguliwi. Lakini hii imepewa kipaumbele kutokana na cases zake kuwa nyingi zaidi. BTW Gwaji girl anadeal na wote na maranyingi anawasisitiza akina baba mjitokeze kwa wingi, hadi na tuzo aliwapa, au umesahau?

Kiongozi wangu mimi ni mume wangu na hakuna mahali ninakwenda bila kumuaga. Ukiona hauagwi basi kaa chini ujitafakari maana uanaume wako is in question.
Hicho kizazi Cha wanaume wanaolia Lia ni Cha wale ambao Bado wako plugged kwenye matrix yaani waliodanganywa vingi sana na Jami kuhusu nyie viumbe, ila ipo siku wataamka tu na vilio vyao vitaisha baada ya kuanza kudeal na nyie kwa namna inavyopaswa.

Hujanielewa kabisa hapo kwenye cancer, nimeongelea namna wizara ilivyokuwa na utayari wa kudeal na breast cancer(kwa wanawake) na wakati huo Haina project yoyote kuhusu prostate cancer(kwa wanaume).....BWT, hakuna namna utaongelea kwenye hili na kubadilisha ukweli wa kwamba wizara hii kwa zaidi ya 96% ipo kwa ajili ya kushughulika na maswala ya wanawake tu basi.

Kuhusu mwanamke kuondoka au kufanya jambo bila kumuaga au kumuhusisha mume wako halafu eti mumeo ndio aanze kujiuliza kwani mke wangu anajiniaga au kunihusisha kwenye jambo hili.... Hiyo ni kauli ya Kissenge na yenye maudhi ambayo inalenga kujustify upumbavuu au upuuzi unaoufanya wewe mwanamke tena kirahisi.... Hapo hakuna Cha kuquestion uanaume Wala nini, that's straight deal breaker, yaani utaishia huko huko Wala hata usirudi.
 
Unapoteza muda wako kwa huyo jamaa, kutetea wanawake humu JF anadhani watamuona ndo mwanaume.
Jamaa huwa ni first class simp.... Namjua vizuri sana.

Na wanaume kama hao wakiwaga kwenye position of power huwa ni hatari sana, yaani kutumia cheo chake kukuangamiza wewe hili tu awaimpress wanawake ni kitu rahisi sana.
 
Ha ha ha hao watu ni hatari sana.
 
Sheria namba Moja, usije ukampenda mwanamke Toka moyoni, ishi nae kinafki na uwe kauzu... Usicheke cheke nae na Wala usimshirikishe sana mambo Yako... Ila katika yote nakuomba sana usije ukamuweka mwanamke moyoni....
 
Kifo ni hatima.
Haijalishi utakufaje?
Hata wasipokuua utakufa tu.
Kila mtu lazima afe.
Lawama haisaidii chochote.
Zaidi tu utajikondesha mwenyewe.
 
Sheria namba Moja, usije ukampenda mwanamke Toka moyoni, ishi nae kinafki na uwe kauzu... Usicheke cheke nae na Wala usimshirikishe sana mambo Yako... Ila katika yote nakuomba sana usije ukamuweka mwanamke moyoni....
Uongo unatabia ya kubadilika na kuwa Ukweli.
Sasa kuwa Makini.
 
Back
Top Bottom