The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
na alivyo mjinga analeta ushabiki wake mandazi kwenye ishu kama ya Lisu.mtu ambaye alikuwa msaada mkubwa sana kwa hoja kwa slaaAngeweza tu kuendelea kuuponda uamuzi wa chadema dhidi ya Dr Slaa bila ya ulazima wa kuipigia ccm debe.
Sijui, it remains to be seen. Nina amini kuwa siku tukipata chama sahihi cha kupokea madaraka. Tutapiga hatua zaidi kwasababu sasa kila chama kitafahamu kuwa hakina hati milki ya taifa hili. Na kwamba ni lazima matokeo chanya yaonekane, la sivyo ni benchi.Unadhani chadema wangetufikisha wapi baada ya miaka hamsini.
Sawa mkuu, nadhani ni "you cannot solve the problem by using the same mind that created it", kwamba akili iliyosababisha matatizo, haiwezi kuwa akili itakayotumika kuyatatua matatizo hayo".
Ni afadhali wale wahuni wasimuelewe wasije haribu ushahidi.Bila shaka watakao kuelewa ni wachache sana
Tale under construction. Just waitI believe kwa mtu mwenye I.Q kubwa kama Lissu lazima atakuwa alishachukuwa preliminary information za watu waliokuwa wakimfuatilia.
Au kama hakuchukua lazima at somepoint in time atajua ni nani alihusika!.
Kwenye uwanja ulio sawa ccm itafutika kabisa. Na hilo unalijua vizuriUnadhani chadema wangetufikisha wapi baada ya miaka hamsini.
wasichojua akina bashite ni kwamba hata wao walikuwa wanafualiliwa bila kujua. chezeya Akili kubwat weye???Hii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu!
Kuna watu hofu imewatanda na humu JF wanahaha kuanzisha theories za ajabu ajabu kujipa matumaini. Ukishalitilia shaka gari lililo nyuma yako, kuwapiga picha waliokaa viti vya mbele ni kama mchezo wa kitoto. Lakini hata kama windshield nayo iko tinted bado ziko njia...Bashite atajulia wapi haya?
- A circular polarizer will help and most vehicles have no tint on the front windshield. Position yourself to see through the front of the windshield.
- Photographing someone through tinted car windows? If there's a strong IR light source on the other side, and IR-converted camera will see through most tints.
- Low light photographs at ISO 12800 not the best image for printing but you can tell who it is.
Hivi Bavicha kuna walichosimamia wakashinda? Mmeshindwa kufatilia simu ya Ben ndio mtaweza ya Makonda? Mmeshindwa kuwatia mikononi na kuwaadhibu waliomuua mawazo ambao wanajulikana ndio mtaweza wasiojulikana waliojaribu kuondoa uhai wa Lissu?Tukifatilia tu mawasiliano ya Bashite tutawapata wahusika wote wa hili tukio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu Mtazamo ameipigia debe ccm.. Na hata shambulio la Lissu alionyesha humu kusikitishwa nalo..Ni kweli jamaa alikuwa na nondo sana. Lakini amejikuta kakwama kwenye siasa za majitaka. Maana kutetea hao watu waliotufikisha hapa sometimes inabidi kujitoa ufahamu. Kuona viongozi wa chama flani wamefanya makosa, haina maana kwamba hao wa chama kingine ni malaika na ndo sababu ya kuwafuata. Ni heri kuwa kimya tu, maana si lazima uchague upande. Angeweza tu kuendelea kuuponda uamuzi wa chadema dhidi ya Dr Slaa bila ya ulazima wa kuipigia ccm debe.
Hatoruhusiwa kuingiaMaraaa paaaaap bashite huyo ndani ya Nairobi kumuona mgonjwa.
Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
😀😀
Si utani, I can't wait kuona nyuso zao hao magaidi. Mara lahaula mtu anayefahamika.
Tatizo ufatiliaji watataka uanzie polis!!!Tukifatilia tu mawasiliano ya Bashite tutawapata wahusika wote wa hili tukio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sikupingana na tafsiri yako. Ni mkolezo tu. Otherwise tuko pamojaMkuu yote yako sawa na tafsiri ni ile ile tu. (We trust in God au In God we trust)
Muhimu ni kwamba inabidi watanzania tutambue kwamba Siasa za vyama pekee haziwezi kutuletea mabadiliko.
Hazijawahi kuleta mabadiliko kokote kule duniani.