Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,067
Wana wasiwasi mkuu inawezekana tundu lissu aliweka kamera kioo cha nyuma...siku iyo itakuwa kiama cha ccn[emoji3] [emoji3]KUNA KAULI HZ ZINAMNYIMA RAHA BASHITE
1. WALIONISHAMBULIA NAWAFAHAMU
2. TULIJUA MUDA MREFU TUNAFUATILIWA
MTU ANAYEJUA MUDA MREFU ANAFUATLIWA LAZMA ACHUKUE HATUA
SASA HAIJULIKAN LISU NA DEREVA WALCHUKUA HATUA GAN INGAWA HATUA MOJAWAPO WALIYOICHUKUA NI KUHAKIKISHA RISAS HAZIFIK KCHWANI..
HAYO MENGNE YASYOJULIKANA NDYO YANAWANYMA WATU USNGz
Mkuu lini umeanza Kazi ya UAGUZI?Unadhani chadema wangetufikisha wapi baada ya miaka hamsini.
TomaEti kuna fala mmoja anasema; kama nisipotia kidole changu katika matundu ya risasi, basi sitaamini kama Lissu alipigwa risasi! Shame on him.
Usijikweze na kumhusisha Mag3 na wanafunzi wa Osoro.
Usipanic mkuu!Wewe ni mtu wa hovyo sana kama unafikiri kuambiwa ukweli ni kujikweza!
Mkiandika ujinga ujinga kama watu wasio na Elimu mnataka tusiwaambie ukweli ???
Hovyo kabisa!
Samahani mkuu,hapo sijaelewa vizurPia someni hii...
An assembly adaptable for mounting on a vehicle for viewing an object located behind a tinted window, comprising:
Kusoma kuna faida yake...nakumbuka ofisa moja alivyobatilisha amri ya polisi wa Dar kupiga marufuku matumizi ya tinted windows kwenye magari. Wakati huo nilijiuliza sana malengo...
- a light source for emitting full-spectrum light, with the light source being adapted for mounting on a vehicle;
- a video camera including a filter for passing only the near infrared light, for receiving near infrared light reflected from an object;
- the light source being separate from the video camera; and a video monitor for receiving a signal stream transmitted by the video camera, and for displaying an image of the object derivable from the signal stream.
Ambacho hakujua ni kwamba utaalamu upo wa kutambua kilichomo ndani ya vyombo hivyo. Polisi wetu wangekuwa na weledi, hawa magaidi wauaji wangekamatwa kilaini tu.
Hata vifaa vyote ndani ya nyumba ya Mh. Tundu Lissu vikikamatwa na kuharibiwa ni kazi bure. Data zote zilizo relevant tayari ziko salama ardhini, majini na angani. Video na sound ziko salama.
Wasiojulikana na wasioonekana, teknolojia imewaacha kwenye mataa...!
Sina chama wewe!And it remains to be seen by the majority as well, chadema mrekebishe kwanza nyumba yenu ndio wengi tuweze kuwaamini, chadema Hamna msimamo, cdm Hamna demokrasia, cdm kuna ufisadi na favouritism, chadema you's a puppet, mshakuwa affiliated na vyama vya west vinasupport ushoga etc na you'll have to return the favour, chadema you've got a lot of shit to make right ili muaminiwe.
Nyie mtaendelea kulalamika pasipo kujichunguza ndani mwenu na kujisahihisha kama ccm wanavyofanya sasa, mtabaki kuwa wasindikizaji hadi kifo chenu.
Hatuwezi kufanya experiment ya kukabidhi uongozi wa nchi kwa watu hawajielewi.
Unajiropokea tuninachokipenda wananchi wameshajuwa wauaji ni kina nani mana walijiandaa kupoteza uhai wa Lissu lakini Mungu kawanyoosha hasa wamekonda nyuso usiku mmoja baba na mwanawe wamekuwa weusi kwa kukosa oxygen hawapumui kwa hofu na vile wamelaaniwa na wanachi kwa ujumla na dunia basi hila zao zimeingia matope
Wavumilie hadi mwisho.Mbona unafanya watu wawe na matumbo ya kuharisha!?
Nimejiuliza swali hili sana.Evarist Chahali sijui anatumia ID gani humu...
Natamani angepitia huu uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Imenichukua sana muda kumuelewaBila shaka watakao kuelewa ni wachache sana
Kama mtu hataelewa manake halimhusu.Imenichukua sana muda kumuelewa
Niko upande wako mkuu, usinifikirie vibayaKama mtu hataelewa manake halimhusu.