Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Wewe nae pumzika sasa!!

Unatema mashudu Kila comment.
 
Yule Karate Superstar Fike Wilson,hakushindwa,amemwacha yule aende zake
 
Hiyo haki huna ila pengine ulidhurumu harafu ukatumia pesa ulioyodhurumu kufinyanga haki yangu je na Mimi nikiamua kumalizana na wewe Kwa njia ninazozijua Mimi ntakuwa Sina haki?
Jukumu la kukamata watu ni la vyombo vya dola! Na ni kwa kufuata taratibu zilizowekwa. Kilichofanyika kwenye hiyo video ni kitendo cha kihuni.
 
Mkuu

Huyo Fike Wilson alishawahi kuwa bingwa wa Kickboxing Tanzania enzi hizo, baadaye akahamia kwenye masumbwi (boxing) kabla hajafungua gym pale Sinza na Kinondoni...ndio huyo hapo kwenye mlango wa gari.

Upelekezi unapaswa kuanzia kwake.
Atafutwe popote alipo, kwa usalama wake!
 
Wananchi wapuuzi kweli.yaani mtu anatekwa kweupe wao wametulia.Ningekuwepo Mimi hicho kilaumu kingewaka moto
 
Jinsi picha toka ndani ya bar, mpaka nje. Na zile kelele, na jina la aliyetaka kutekwa, naonakama mchezo wa kuigiza.

Watu wanajuwa kupika majungu.

Mradi tukio liko polisi, tusubiri uchunguzi wao.
Duh, muogope Allah
 
Kama kasuku akajitulize
Ndio mkuu jamaa itakuwa hayo maeneo hajulikani wala hana jamaa rafiki wa karibu wanao mjua ndio maana wakamuacha


Lakini ingekuwa ni maeneo ya nyumbani kabisa kwa kuzaliwa huwezi fanyiwa ivyoo
 


Huyu jamaa hakuna mtu anaemjua?

Nadhani waliamua kukimbia baada ya huyu jamaa kuona simu inamrekodi
 
Watanzania ni matahira yani wanaona kabisa mtu analia anahitaji msaada wao wamekodoa tu macho wanaangalia.
Aliyetuloga alisha kufa yani tumekuwa zaidi ya mazezeta
 
Aiseee! Inasikitisha sanaa. Kwanini Wananchi wasingewakamata hawa wauaji?
Tungekuja kuambiwa wamezuia watu wanaotekeleza majukumu yao na kibano ndio kingewageukia hivyo.

Nawaza tu kwanini jamaa alikosa ujasiri wa kutafuta hata jiwe awarushie pindi alipofanikiwa kujinusuru..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…