Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Ndege wafananaoSiyo kweli, huwajui Tiss wala oparesheni zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege wafananaoSiyo kweli, huwajui Tiss wala oparesheni zao.
Exactly 💯 sasa assume 25 add another 27 ni 52+ ndio awe na sura ya kichalii hivi?!!Uko sahihi,fike nimemjua 1998 miaka 26 imepota na alikuwahakosi 25
Wewe nae pumzika sasa!!hakuna ha mama wala baba, wenye uwezo mdogo ni nyinyui
Deo pia ana maswali mengi sana ya kujibu.
Biashara ipi ya kuifanyia bar?
Tena inaonesha alikuwa anajuwa kitachoendelea, akaweka na mpiga picha kbisa.
Kinachonishangaza mimi, ni huyo kijana mweupe, mmoja katika watekaji, na yeye FDeo wpote wamevaa bangili mkono wa kulia.
Isije kuwa mchezo wa mapenzi? Maana habari za kaskazini siku hizi si mchezo.
Huyo mbona kijana mdogo,Fike si mtu wa makamu nasikiaHuyo mfupi
Jukumu la kukamata watu ni la vyombo vya dola! Na ni kwa kufuata taratibu zilizowekwa. Kilichofanyika kwenye hiyo video ni kitendo cha kihuni.Hiyo haki huna ila pengine ulidhurumu harafu ukatumia pesa ulioyodhurumu kufinyanga haki yangu je na Mimi nikiamua kumalizana na wewe Kwa njia ninazozijua Mimi ntakuwa Sina haki?
Watanzania ni mazuzu sana, wamesimama wanashangaa utafikiri nyumbu wanaangalia mwenzao analiwa na simba! Pumbafu kabisa.Aiseee! Inasikitisha sanaa. Kwanini Wananchi wasingewakamata hawa wauaji?
Atafutwe popote alipo, kwa usalama wake!Mkuu
Huyo Fike Wilson alishawahi kuwa bingwa wa Kickboxing Tanzania enzi hizo, baadaye akahamia kwenye masumbwi (boxing) kabla hajafungua gym pale Sinza na Kinondoni...ndio huyo hapo kwenye mlango wa gari.
Upelekezi unapaswa kuanzia kwake.
Wakamatwe na nani?Hao wameshajulikana kilichobaki ni kuwakamata tu au kuweka majina yao na makazi yao hadharani
Duh, muogope AllahJinsi picha toka ndani ya bar, mpaka nje. Na zile kelele, na jina la aliyetaka kutekwa, naonakama mchezo wa kuigiza.
Watu wanajuwa kupika majungu.
Mradi tukio liko polisi, tusubiri uchunguzi wao.
Ndio mkuu jamaa itakuwa hayo maeneo hajulikani wala hana jamaa rafiki wa karibu wanao mjua ndio maana wakamuachaKama kasuku akajitulize
NAKAZIAWewe nae pumzika sasa!!
Unatema mashudu Kila comment.
Tungekuja kuambiwa wamezuia watu wanaotekeleza majukumu yao na kibano ndio kingewageukia hivyo.Aiseee! Inasikitisha sanaa. Kwanini Wananchi wasingewakamata hawa wauaji?
Kweli aisee, ukiweza ng’ata mtu sikio hadi ling’okeTunaludia tena usikubali kukamatwa kizembe na watu wanaojiita polisi ni bola ufe watu wakiona kuliko kufia maporini
Vyombo vya Dola ushavihonga pesaJukumu la kukamata watu ni la vyombo vya dola! Na ni kwa kufuata taratibu zilizowekwa. Kilichofanyika kwenye hiyo video ni kitendo cha kihuni.