Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Mimi nawalaumu raia wote wapo kimya tunaishi kama wanyamapori kwanini hawakuchukua hatua hata ya kuhoji kuwa ni akina nani na vitambulisho vyao akuna mjumbe wala mwenyekiti.

HUYO DEO BONGE NI NANI KWANINI AKAMATWE NA NAMNA ILE NA KUSIWE NA MSAADA WOWOTE. ANAJISHUGHULISHA NA NINI??
 
 

Attachments

  • 354506.jpg
    14.5 KB · Views: 3
Wanaotekwa wote ni wanasiasa !?? Maana umekaza fuvu hapo .... Na kuhusu Zakaria... Ni tajiri wa Mabasi Kanda ya Ziwa na tukio lake lilitangazwa mnoo.... Na alikuwa Kiongozi wa CCM Mkoa wa Mara.
 
HUYO DEO BONGE NI NANI KWANINI AKAMATWE NA NAMNA ILE NA KUSIWE NA MSAADA WOWOTE. ANAJISHUGHULISHA NA NINI?? ALIKUWA NA NANI HAPO HOTELINI MUDA HUO. MUDA MWINGINE UNAWEZA HISI NI MAIGIZO TU.!!! JAPO JAMBO LA KUSHITUA NI PINGU
 
Mkuu

Huyo Fike Wilson alishawahi kuwa bingwa wa Kickboxing Tanzania enzi hizo, baadaye akahamia kwenye masumbwi (boxing) kabla hajafungua gym pale Sinza na Kinondoni...ndio huyo hapo kwenye mlango wa gari.

Upelekezi unapaswa kuanzia kwake.
Tupate Picha zaidi.. hatimaye mwisho wao umefika.
 
TISS wa siku hizi wanatumiwa hata kudai madeni ya pombe bar? Yaani mwenye bar anampa afisa wa TISS namba ya mdaiwa na anapiga huku akijitambulisha kwamba yye ni TISS anaijua makumbusho nk.
 
Kwa hiyo kama umedhulumiana na mtu au kuchukuliana wanawake, basi una haki ya kumkamata! Tena kwa kumfunga pingu, na kumuingiza kwenye gari kwa nguvu ili kwenda naye kusikojulikana!!

Watanzania tuna umuhimu wa kuzitambua haki zetu za msingi bila shaka.
 
Chadema hadi mjambe cheche🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩 nilipo waambia watu humu kuwa GENGE LA ROSTAM AZIZI NI HATARI NI RAIA FEKI WALIOKUWA NA AGENDA YA KUKAMATA SERIKALI NA TAIFA WENGI AMKUNIELEWA ....KAMA ROSTAM AZIZI NA FAMILIA YAKE AWAKUFA NA APA HAPA KUWA MTASHUHUDIA MAMBO MENGI SANA TZ NA KAMA SAMIA ATAENDELEA KUBAKI KITINI DAMU NYINGI SANA ITAMWAGIKA HAPA NI BADO KABISA SIBAHATISHI KWA NINACHO SEMA...FAMILIA HATARI YS JAMBAZI NA RAIA FEKI ROSTAM AZIZI INA ANGAMIZA TAIFA KWA KUTUMIA GENGE LAKE LA RAIA FEKI LILILO JIPENYEZA SERIKALI NA CCM MIAKA MINGI NYUMA....kuna kipindi JPM alikamata kombati za JWTZ mikononi wa hilo genge la bwana rostam azizi...Hilo genge lilianza kujipenyeza hadi kwenye jeshi letu la JWTZ ndiyo mkasikia maduka ya jeshi yanayo endeshwa na hao Raia FEKI...yaliitwa super market za jeshi ...ukweli haukuwa hivyo ndiyo maana JPM alipo chukua nchi hayo mambo yao yakafa ...ila chadema kwa upumbavu walishindwa kutambua kazi tukufu aliyokuwa anaifanya JPM ...KOSA LA JPM NI KUIACHA FAMILIA YA ROSTAM AZIZI HAI LILIKUWA KOSA BAYA SANA KWA TAIFA LETU..KAMA AWAKUTOKEA WATU JASIRI NA WAZALENDO KUDILI NA HUYU KIUMBE ROSTAM BASI TANZANIA IJIANDAE KUWA KAMA RWANDA YA MAUAJI YA KIMBARI AU KAMA SUDAN...Kwa sasa wengi mmesikia hii kitu inapigiwa chapuo na serikali pumbavu ya sa100 kinaitwa PPP ni jina zuri ila ni mwendelezo wa agenda ya Raia feki kukamilisha mipango yao michafu kwa taifa letu ....
HIYO PPP NI PROGRAM YA RAIA FEKI..NA MAFISADI
 
Those two men who attempted to abduct the guy, their faces are clearly seen, and therefore it is easy to trace them after a wide publication of their faces on social media
Na yule UVCCM aliyetoka kabisa akasema "watu wakipotea polisi msihangaike kuwatafuta " alifanywa nini.... Alikamatwa hata kuhijiwa!?? .... Na yule Mkuu wa aliyesema walikuwa wanahangaika nao maporini alifanywa nini!?? Alihojiwa !? Majibu uliyapata Mkuu!?? Yule kijana wa madini aliyeuliwa mtwara vipi ilipata majibu yake kutoka polisi!?? Vipi yule polisi aliyekuwa na ushahidi akakutwa amejinyonga selo ya polisi vipi uchunguzi wake ulipata majibu!?? Makesi ni mengi na ya wazi kabisa hayana majibu ndio hao unaotaka wakupe majibu Kwa hili!?? Sidhani kama upo serious..
 
 
Mkuu

Huyo Fike Wilson alishawahi kuwa bingwa wa Kickboxing Tanzania enzi hizo, baadaye akahamia kwenye masumbwi (boxing) kabla hajafungua gym pale Sinza na Kinondoni...ndio huyo hapo kwenye mlango wa gari.

Upelekezi unapaswa kuanzia kwake.
Kwahiyo kumbe chaliii kwenye martial arts Yuko njema
 
Kwani huyo bonge ni mwanaharakati? bila kuingiza siasa kwanza tujiulize Bonge ni nani anafanya nini? ili tuunganishe dots.....
Mimi siku hizi silaumu issue za hivo baada ya jamaa yetu kitaa kupekekwa galilaya kumbe jamaa alikua anajishughulisha na ugaidi..na alikua anazugia kwenye maduka ya simu..Sasa jamaa sijui walimjuaje Yani hapo ndio huwa nachoka maana ata hafananiiii na izo mbanga
 
Picha zinaonekana vzuri kabisa. Ingekuwa halali yao kutangulizwa akhera hata usiku haujaingia.
Mmh hawa ni wavuta bange kabisa ndio maan wanaweza kufanya ujinga wwte nila kujali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…