Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

Hapa TZ tuna polisi inayoilinda CCM. Kwakuwa tuna jamii pumbavu acheni wafe wafe kwanza Hawa wazee wazee, halafu watoto wetu tutawaambia ukweli
 
hakuna ha mama wala baba, wenye uwezo mdogo ni nyinyui

Deo pia ana maswali mengi sana ya kujibu.

Biashara ipi ya kuifanyia bar?

Tena inaonesha alikuwa anajuwa kitachoendelea, akaweka na mpiga picha kbisa.

Kinachonishangaza mimi, ni huyo kijana mweupe, mmoja katika watekaji, na yeye FDeo wpote wamevaa bangili mkono wa kulia.

Isije kuwa mchezo wa mapenzi? Maana habari za kaskazini siku hizi si mchezo.
Unataka Vikao vya biashara tufanyie madrasa? Mimi meeting zangu zote nafanyia hotelini.
 
Unataka Vikao vya biashara tufanyie madrasa? Mimi meeting zangu zote nafanyia hotelini.
Mkikorofishana kwenye hizo meeting zenu mnataka raia waingilie?

Hapo ushakiri, ilikuwa ni biashara iliyoenda vibaya. Au siyo?
 
Nadhani tuna sehemu nzuri ya kuanzia hili lazima lifike mwisho, kwanza siamini kama hawa ni polisi maana kama ni kweli polisi na wako kisheria wasingemuacha najuwa kuna watu wanasema walikuwa wanasema sisi polisi hiyo yoyote anaweza kusema pili toka lini polisi wakatumia gari kama ile lakini yote ni lazima polisi wawakamate hawa jamaa wawe polisi au sio polisi. Bonge yupo ahojiwe hili tukio na kwanini yeye? nini nyuma yake aligombana na mtu au anashuku nini kosa. yako maswali mengi polisi lazima wajibu maana sehemu ya kuanzia ipo na wafanye haraka sana. Kuna haja ya sheria kubadilshwa haraka sana kuwe na taratibu za arrest mtu ziko serikali za mitaa wako wajumbe lazima wahusishwe katika utambulisho.
Mkuu polisi wanatumia hadi Passo sio PT tu.
 
Huyo Deo ni nani, mfanyabiashara au mfanyakazi sehemu fulani au hajulikani kazi zake?
Kwa kweli wewe umehoji swali lisilo na upande lenye lengo la kupiga mzizi wa shina.
Yeye mwenyewe anaonekana hataki kujulikana nani .mara nyingi kutekana kwa level zinqzoendana na jeshi huwa ni kudhulumiana dili haramu.
Kilichopo pawekwe msisitizo kuona namna kujadili juu ya utekaji.mfano unamuhitaji polisi mtu mpaka analihoteli likubwa hivo je si unampigia simu .au unamtuma mesenja mmoja tu kumpa meneja wake rb ajisalimishe ?
Kwamba watanzania wamefikia stage ya kumgomea polisi?? Lini???
 
Ndio maana nasema polisi wamesemwa na mengi na wao wamekuwa wanakusha kila siku ni wakati wakuja mbele kuwa wasafi ili kuwa msafi ni lazima ujitenganishe na wachafu. Waje waseme kukamatwa mtu yoyote hakuna shida ni sheria lakini lazima kuwe na 1, 2,3 ndio ujirishishe ni polisi na katika hili lisiachiwe chama kimoja kulipigia kelele watu wote haijalishi nani tukemee kwa nguvu na sheria za kushika mtu ziwekwe wazi.
Kiukweli Jeshi la Polisi la Tanzania ni la hovyo kutisha.
Hawa watu walikuwa wawe wamekamatwa hadi kuamkia kesho yake kama Muliro anavyojinasibu wana Intelligencia kubwa sana!!
D. TRUMP alishambuliwa na wakampata muda uleule! Jaribio la pili nalonwalimpata mhusika na baadae wamefuatilia na wamewapata wahusika wa mpango kamili.

Polisi zetu nini mnafanya.
Ina maana haya ni mambo mnayaelewa na kutumana!

Je mje kutuambia nchini ni kina Nani haswa wanatakiwa kumiliki PINGU??
 
Inanilazimu kujilinda mwenyewe,ni heri kufa umesimama kuliko kuchukuliwa kama kuku,Deo bonge inaonekana ni mtu wa mazoezi ndiyo maana amejaribu kuokoa uhai wake.Kosa kubwa lilianza pale M-Dewji aliposhindwa kuwataja hadharani wale waliomteka ,SATIVA japo alimtaja mtekaji mkuu lakini nchi tulimuona kama mpiga kelele tu kwenye masikio ya yetu.Cha msingi Kila raia awe tayari katika mapambano ya kujilinda muda Wote.Itafikia wakati hata kwenda bafuni kuoga mtu atalazimika kubeba sabuni ,Taulo na Panga mkononi,au tulazimike kuishi maisha ya kimasai ya kutembea na dime kiunoni.Pole sana Deo-bonge ulifanya Kila linalowezekana kuokoa kuingia kwenye mtego wa watekaji.
 
Picha za sura zao hizo hapo, Kwahiyo raia mmeshawajua.

MWIZI hukumu yake huwa mnafanyaje?

Polisi washasema hao siyo askari , Sasa Wananchi toeni ushirikiano wenu mzuri kuwakamata
 
Hiyo sheria ya usalama wa taifa hili ndio lilikuwa lengo lake, na serekali inajua na imebariki matendo haya. Ni sheria iliyotungwa kwa nia ovu.
Siku zote Sheria nyingi za maswala ya Usalama Tanzania zinatungwa Kwa Nia ovu ikiwemo kuwalinda watawala Ili kuendelea na impunity. Hakuna Sheria inayotungwa Kwa Nia njema kuanzia Sheria za habari na mawasiliano, Ulinzi wa taarifa binafsi pamoja na hizi zinazoongoza polisi na usalama
 
Inanilazimu kujilinda mwenyewe,ni heri kufa umesimama kuliko kuchukuliwa kama kuku,Deo bonge inaonekana ni mtu wa mazoezi ndiyo maana amejaribu kuokoa uhai wake.Kosa kubwa lilianza pale M-Dewji aliposhindwa kuwataja hadharani wale waliomteka ,SATIVA japo alimtaja mtekaji mkuu lakini nchi tulimuona kama mpiga kelele tu kwenye masikio ya yetu.Cha msingi Kila raia awe tayari katika mapambano ya kujilinda muda Wote.Itafikia wakati hata kwenda bafuni kuoga mtu atalazimika kubeba sabuni ,Taulo na Panga mkononi,au tulazimike kuishi maisha ya kimasai ya kutembea na dime kiunoni.Pole sana Deo-bonge ulifanya Kila linalowezekana kuokoa kuingia kwenye mtego wa watekaji.
Baada ya Sativa kumtaja mtekaji mkuu, majibu yakawa ni kumkamata Bon Yai kihuni tena Ili kuzima huo Moto
 
Mkuu polisi wanatumia hadi Passo sio PT tu.
Hili nalo jambo ni hatari sana kama tumefika huko, dunia nzima gari ya polisi unaijuwa kama utambulisho wa kwanza kama wamefika huko Mungu tusaidie. Hivi nchi hii ina IGP?
 
Big up sana Deo Bonge kama hauna "MKWAJU" anza taratibu za kumiliki ili next time wakitokea "MBWEHA" kama hao unafumua ubongo kama Mfanyabiashara Zakaria alivyowafanyia wale "WAHUNI".
 
Back
Top Bottom