Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Marando alikanusha kuhusika na kifo cha Tamimni mzima mkuu
bado yupo hai
sasa hivi ni mwanasiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marando alikanusha kuhusika na kifo cha Tamimni mzima mkuu
bado yupo hai
sasa hivi ni mwanasiasa.
ni mzima mkuu
bado yupo hai
sasa hivi ni mwanasiasa.
Ni nani huyo mkuu? Tujuze tafadhalini mzima mkuu
bado yupo hai
sasa hivi ni mwanasiasa.
Msikilize Marando hapo
Once a spy always a spy,Hv huyu si ndio alikuwemo katika kikosi kilicho husika kumkamata marehemu Comando Tamimu? Sasa ilikuwaje aliachana na usalama wa taifa mwaka 1980? Au alikodiwa kipindi cha kumkamata marehemu Tamimu?
Alikuwa anaitwa Simba. Alishafariki kwa uzee zamani.Ni nani huyo mkuu? Tujuze tafadhali
Soma vizuri huu uzi utapata majibu mazuri ya maswali yakoPia nasikia aliyempiga shaba Commando Tamimu aliuwawa huko Arusha akidhaniwa kuwa ni jambazi. Je, hili nalo pia lina ukweli ndani yake?
Nimeusoma na kuuelewa mkuu, ila wakat na_hadithiwa huu mkasa niliambiwa ya kuwa kipindi hicho TZ kulikuwa na makomandoo wachache sana na waliokuwa wa hali ya juu walikuwa wawili pekee ambao ni Mzanzibar mmoja & Tamimu, hivyo taarifa za kuuwawa kwa Tamimu zilimsikitisha sana Nyerere. Uzi huu unasema kuwa aliyemuua Tamimu ni Marando nami sipingi hilo, ila nilielezwa ya kuwa aliyempiga shaba siku hiyo alikuja kuuwawa Arusha na kutoa ripot kuwa walidhani ni jambaz kwa kuwa gari aliyokuwa akiitumia ilifanana na ya jambaz waliyekuwa wakimfuatilia.Soma vizuri huu uzi utapata majibu mazuri ya maswali yako
Ningependa kuielewa Ilitokeaje na nani walio panga hilo jaribio.
Nina imani lazima kulikuwa na watu sehemu nyeti, ukiwatoa wale waliokamatwa. Nime google, nika toka kapa. Hii story tumeisika juujuu tu.
=====
KWA UELEWA, SOMA: Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983
Aidha, soma michango hii:
Hayo yako ni tofauti na ya mleta mada. Tazama miaka.Kwenye siasa na historia ya nchi hii kumewahi kutokea mapinduzi ya kijeshi katika utawala wa awamu ya kwanza(JK NYERERE regime) yaliyojulikana kama TANGANYIKA RIFFLES ..Japo huwezi kukuta jambo hili likizingumzwa sana au kuwekwa katika historia ya nchi naomba kueleweshwa yafuatayo:
1)Nini kilikua chanzo cha mapinduzi haya na lengo lake lilikua ni nini??
2)Mapinduzi yalivyoshindikana wale wahaini walichukuliwa hatua gani??
3)Kwa nini historia ya hii nchi hailizungumzii suala hili kama inavyo vizungumzia vita vya kagera??
4)Nasikia NYERERE na KAWAWA walijificha kigamboni kwenye moja ya nyumba za raia wa kawaida mambo yalivyokua magumu je ni kweli??
Natanguliza shukrani.
Marando ni jasusi hatariNimeusoma na kuuelewa mkuu, ila wakat na_hadithiwa huu mkasa niliambiwa ya kuwa kipindi hicho TZ kulikuwa na makomandoo wachache sana na waliokuwa wa hali ya juu walikuwa wawili pekee ambao ni Mzanzibar mmoja & Tamimu, hivyo taarifa za kuuwawa kwa Tamimu zilimsikitisha sana Nyerere. Uzi huu unasema kuwa aliyemuua Tamimu ni Marando nami sipingi hilo, ila nilielezwa ya kuwa aliyempiga shaba siku hiyo alikuja kuuwawa Arusha na kutoa ripot kuwa walidhani ni jambaz kwa kuwa gari aliyokuwa akiitumia ilifanana na ya jambaz waliyekuwa wakimfuatilia.
Nyuzi ziliunganishwa.Hayo yako ni tofauti na ya mleta mada. Tazama miaka.
Ma moderator wengine ni majanga.Nyuzi ziliunganishwa.
Zilikuwa nyuzi tofauti zilizoanzishwa miaka tofauti kabisa, zikaunganishwa na kuonekana ni uzi mmoja..
Kapten Kadego anajiita mwanachama was Soldiers without boarders.Alinambia walikuwa na support ya Roanald Reagan wa Marekani ila mengine akasema ni top secret.Huyu mtu sijawasiliana naye miaka mingi lakini akili yake haikuwa sawa.Kapten Maganga yeye alifariki mwaka 2010 ndugu Bagyem yeye alifariki mwaka juzi na mwenzao aliyetoboa ni Zakharia Hanspope wa Simba.Ma moderator wengine ni majanga.
Ila hivi sasa si ameachana na hiyo kazi ya ujasusi? Au bado anaendelea?Marando ni jasusi hatari
Inaonyesha kwenye mkasa huo kuna baadhi ya mambo hawakuyaweka wazi na bado hawajayaweka wazi hawa wahusika.Kapten Kadego anajiita mwanachama was Soldiers without boarders.Alinambia walikuwa na support ya Roanald Reagan wa Marekani ila mengine akasema ni top secret.Huyu mtu sijawasiliana naye miaka mingi lakini akili yake haikuwa sawa.Kapten Maganga yeye alifariki mwaka 2010 ndugu Bagyem yeye alifariki mwaka juzi na mwenzao aliyetoboa ni Zakharia Hanspope wa Simba.
Kipindi wakiwa jela au baada ya kutoka jela.! Ila mbona Hanspope yupo sawa tuu, au yeye hakuwa threat?Baadhi ya wazee wa jaribio la mwisho wapo hai tatizo hawapo sawa kiakili nafikiri kuna jambo lilifanyika
Hata yeye hayupo sawa sanaKipindi wakiwa jela au baada ya kutoka jela.! Ila mbona Hanspope yupo sawa tuu, au yeye hakuwa threat?