Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

Hv huyu si ndio alikuwemo katika kikosi kilicho husika kumkamata marehemu Comando Tamimu? Sasa ilikuwaje aliachana na usalama wa taifa mwaka 1980? Au alikodiwa kipindi cha kumkamata marehemu Tamimu?
Once a spy always a spy,

huyu bado ni mwana usalama

Hawaachagi.
 
Pia nasikia aliyempiga shaba Commando Tamimu aliuwawa huko Arusha akidhaniwa kuwa ni jambazi. Je, hili nalo pia lina ukweli ndani yake?
Soma vizuri huu uzi utapata majibu mazuri ya maswali yako
 
Soma vizuri huu uzi utapata majibu mazuri ya maswali yako
Nimeusoma na kuuelewa mkuu, ila wakat na_hadithiwa huu mkasa niliambiwa ya kuwa kipindi hicho TZ kulikuwa na makomandoo wachache sana na waliokuwa wa hali ya juu walikuwa wawili pekee ambao ni Mzanzibar mmoja & Tamimu, hivyo taarifa za kuuwawa kwa Tamimu zilimsikitisha sana Nyerere. Uzi huu unasema kuwa aliyemuua Tamimu ni Marando nami sipingi hilo, ila nilielezwa ya kuwa aliyempiga shaba siku hiyo alikuja kuuwawa Arusha na kutoa ripot kuwa walidhani ni jambaz kwa kuwa gari aliyokuwa akiitumia ilifanana na ya jambaz waliyekuwa wakimfuatilia.
 
Baadhi ya wazee wa jaribio la mwisho wapo hai tatizo hawapo sawa kiakili nafikiri kuna jambo lilifanyika
Ningependa kuielewa Ilitokeaje na nani walio panga hilo jaribio.

Nina imani lazima kulikuwa na watu sehemu nyeti, ukiwatoa wale waliokamatwa. Nime google, nika toka kapa. Hii story tumeisika juujuu tu.

=====
KWA UELEWA, SOMA: Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

Aidha, soma michango hii:
 
Kwenye siasa na historia ya nchi hii kumewahi kutokea mapinduzi ya kijeshi katika utawala wa awamu ya kwanza(JK NYERERE regime) yaliyojulikana kama TANGANYIKA RIFFLES ..Japo huwezi kukuta jambo hili likizingumzwa sana au kuwekwa katika historia ya nchi naomba kueleweshwa yafuatayo:

1)Nini kilikua chanzo cha mapinduzi haya na lengo lake lilikua ni nini??
2)Mapinduzi yalivyoshindikana wale wahaini walichukuliwa hatua gani??
3)Kwa nini historia ya hii nchi hailizungumzii suala hili kama inavyo vizungumzia vita vya kagera??
4)Nasikia NYERERE na KAWAWA walijificha kigamboni kwenye moja ya nyumba za raia wa kawaida mambo yalivyokua magumu je ni kweli??

Natanguliza shukrani.
Hayo yako ni tofauti na ya mleta mada. Tazama miaka.
 
Nimeusoma na kuuelewa mkuu, ila wakat na_hadithiwa huu mkasa niliambiwa ya kuwa kipindi hicho TZ kulikuwa na makomandoo wachache sana na waliokuwa wa hali ya juu walikuwa wawili pekee ambao ni Mzanzibar mmoja & Tamimu, hivyo taarifa za kuuwawa kwa Tamimu zilimsikitisha sana Nyerere. Uzi huu unasema kuwa aliyemuua Tamimu ni Marando nami sipingi hilo, ila nilielezwa ya kuwa aliyempiga shaba siku hiyo alikuja kuuwawa Arusha na kutoa ripot kuwa walidhani ni jambaz kwa kuwa gari aliyokuwa akiitumia ilifanana na ya jambaz waliyekuwa wakimfuatilia.
Marando ni jasusi hatari
 
Ma moderator wengine ni majanga.
Kapten Kadego anajiita mwanachama was Soldiers without boarders.Alinambia walikuwa na support ya Roanald Reagan wa Marekani ila mengine akasema ni top secret.Huyu mtu sijawasiliana naye miaka mingi lakini akili yake haikuwa sawa.Kapten Maganga yeye alifariki mwaka 2010 ndugu Bagyem yeye alifariki mwaka juzi na mwenzao aliyetoboa ni Zakharia Hanspope wa Simba.
 
Inaonyesha kwenye mkasa huo kuna baadhi ya mambo hawakuyaweka wazi na bado hawajayaweka wazi hawa wahusika.
 
Back
Top Bottom