Una kitabu alichoandika Albert Mnenge Suluja kuhusu kesi hiyo ya uhaini" Au unajua wapi naweza kukipata?Mkuu Shwari, asante sana kwa hii link.
P
Namkumbuka sana Suluja hata kabla ya kesi ya uhaini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kitabu alichoandika Albert Mnenge Suluja kuhusu kesi hiyo ya uhaini" Au unajua wapi naweza kukipata?Mkuu Shwari, asante sana kwa hii link.
P
Nilisikia pia kwamba Kizigha aliokota na kuvikusanya vikaratasi kadhaa vya propaganda ya Oscar Kambona uwanja wa taifa na alishughulikiwa na Usalama wa Taifa. Lakini sikuwahi kumuuliza kuhusu jambo hilo.Charles Kizigha anapaswa aandike kitabu, mimi nilimsoma nikiwa chuo cha journalism TSJ, aliripoti kutekwa kwa ndege ya ATC, ndie mwandishi wa kwanza na labda wa pekee nchini Tanzania niliyemfahamu mimi, kumiliki gari brand new kutoka show room, alimiliki gari ya Musso new brand kutoka dukani!, waandishi wengine wote gari zetu ni used, ila sijui kwa waandishi wadada, maana wenzetu hawachelewi kununuliwa magari na ma source!.
P
Ndugu Pascal,Charles Kizigha anapaswa aandike kitabu, mimi nilimsoma nikiwa chuo cha journalism TSJ, aliripoti kutekwa kwa ndege ya ATC, ndie mwandishi wa kwanza na labda wa pekee nchini Tanzania niliyemfahamu mimi, kumiliki gari brand new kutoka show room, alimiliki gari ya Musso new brand kutoka dukani!, waandishi wengine wote gari zetu ni used, ila sijui kwa waandishi wadada, maana wenzetu hawachelewi kununuliwa magari na ma source!.
P
Nadhani umesahau kuwa wizara ya mambo ya ndani iliteketea kwa moto siku za mwisho mwisho za awamu ya kwanza. Halikadhalika BOT.unajua kitu cha kwanza ambacho academics wetu wangepigania ni kufunguliwa kwa classified materials ambazo zilikuwa zinazuiwa hadi ipite miaka 30. Karibu nyaraka zote za kati ya 1961 hadi sasa zimeshapita huo muda na zinatakiwa kisheria ziwekwe huru kwa wasomi kupitia. Nyaraka zote kuhusiana na uhuru, mapinduzi, muungano, n.k .. vinatakiwa viwe kwenye public domain sasa. But.. I said our academics.. sijui kama bado wapo...
Loh !! hilo wazo mimi nilikuwa nalo wakati akina Mama wanasherehekea sherehe zao za miaka 50.Ndugu Pascal,
Sijui kwa nini mpaka sasa Kizigha hajaandika kitabu. Anajua mambo mengi sana tangu enzi ya Mwalimu Nyerere. Najua huo ndiyo ukweli kwa sababu yeye si mgeni kwangu na mimi siyo mgeni kwake. Tumetoka mbali sana pamoja. Ila sijui kama nitafanikiwa kumshawishi aandike kitabu. Labda wewe na wengine mjaribu kufanya hivyo.
Kaka yngu umeanza vzuri mwisho umekosea kwa nn unasema Mzee Mohamed Said awezi kkubari kuandika khs watu fulani fulani bila shaka umelenga upande wa pili ila umesahau Mzee Mohamed Said ameandika mara nyingi khs Mzee John Rupia Khs Chief Makwahiya wa Sia Nk sie ndugu kaka yngu Yule Mama alie kuwa mwenye nyumba yko pale Ilala Pamoja na kuwa upande wa pili lkn alikuwa Mama yetu mwenzetu kwa hali zote kumbuka msiba kijana wake na Mzee pia sie Swahili au upande pili tulikuwa wengi na pamoja nae km mwenzetu...Mkuu Wakurochi, japo wanahabari wote tunaitwa waandishi wa habari, lakini ndani ya waandishi kuna specialization, wengine ni waandishi maripota wa habari, wengine ni wachambuzi wa habari, wengine ni watangazaji, wengine ni wapiga picha, kuna ma producers etc. Kazi ya kuandika biography ni specialized sio kila mtu anaweza, mimi nimejikita kwenye utangazaji na digital production, Kutengeneza vipindi, hivyo kwa upande wangu natakiwa ku document kwa kufanya nao mahojiano nitayarishe vipindi. The right person wa kufanya haya ni mwana JF Mkuu Maalim Mohammed Said, ila sijui kama Maalim atakubali kuandika history ya watu fulani fulani aombwe tuu akatae mwenyewe.
P
Umenikumbusha Abdalah Ngororo alikuwa Mkurugenzi wangu RTD, nilijiunga enzi za David Wakati (RIP), enzi hizo hali ulikuwa ngumu sana kwa Watangazaji, akaja Nkwabi Ngwanakilala (RIP), akafanya transformation kubwa kwa mazingira ya kazi, watu wakaanza kulipwa overtime na allowances nene nene, TBC ikaanzisha FM, watangazaji vijana tukawa tunalipiwa decent housing, kabla ya hapo Watangazaji walipanga vyumba nyumba za kupanga uswazi, tukapangiwa flats Ilala Shariff Shamba (Ostabei ya Ilala). Mkwabi alitambua vipaji na utalipwa kutokana na jasho lako, uwezo wako na kipaji chako, watangazaji vijana tukaanza kuvuta pesa ndefu.Nilisikia pia kwamba Kizigha aliokota na kuvikusanya vikaratasi kadhaa vya propaganda ya Oscar Kambona uwanja wa taifa na alishughulikiwa na Usalama wa Taifa. Lakini sikuwahi kumuuliza kuhusu jambo hilo.
Halihusu kesi ya uhaini au alichofanya au hakufanya uwanja wa taifa lakini Kizigha pia alikuwa rafiki wa karibu sana na Abdallah Ngororo na Harold Nsekela tangu mwanzoni mwa miaka ya sabini. Nilifahamiana sana na hao wote. Mara nyingi walikuwa katika gari la Ngororo, Peugeot 404 nyeupe, mwaka 1972 na baada ya hapo. Miake ile, Harold Nsekela alikuwa anafundisha sheria chuo kikuu, UDSM; Kizigha na Ngororo walikuwa waandishi wa habari pamoja, Daily News.
Mkuu Rubawa, usichanganye kuwataja na kuandika, sijui labda kama ni mimi tuu ndio namsoma kwa jicho tenge, concentration yake mchango wa Baba na Babu zake wa upande ule, lakini kwenye shida na raha tunashirikiana vizuri tuu. Naomba reference ya andiko lake kuhusu mchango wa yeyote wa upande wa pili.Kaka yngu umeanza vzuri mwisho umekosea kwa nn unasema Mzee Mohamed Said awezi kkubari kuandika khs watu fulani fulani bila shaka umelenga upande wa pili ila umesahau Mzee Mohamed Said ameandika mara nyingi khs Mzee John Rupia Khs Chief Makwahiya wa Sia Nk sie ndugu kaka yngu Yule Mama alie kuwa mwenye nyumba yko pale Ilala Pamoja na kuwa upande wa pili lkn alikuwa Mama yetu mwenzetu kwa hali zote kumbuka msiba kijana wake na Mzee pia sie Swahili au upande pili tulikuwa wengi na pamoja nae km mwenzetu...
OK, Asante kwa kunielewesha. Ila M. SaidMkuu Wakurochi, japo wanahabari wote tunaitwa waandishi wa habari, lakini ndani ya waandishi kuna specialization, wengine ni waandishi maripota wa habari, wengine ni wachambuzi wa habari, wengine ni watangazaji, wengine ni wapiga picha, kuna ma producers etc. Kazi ya kuandika biography ni specialized sio kila mtu anaweza, mimi nimejikita kwenye utangazaji na digital production, Kutengeneza vipindi, hivyo kwa upande wangu natakiwa ku document kwa kufanya nao mahojiano nitayarishe vipindi. The right person wa kufanya haya ni mwana JF Mkuu Maalim Mohammed Said, ila sijui kama Maalim atakubali kuandika history ya watu fulani fulani aombwe tuu akatae mwenyewe.
P
Weka ushahidi wa uliyoandika kuhusu Allama Mohamed Said maana huwezi isifia chumvi kama hujaionja. Tuoneshe hiyo chumvi aliyoizidisha iko wapi?OK, Asante kwa kunielewesha. Ila M. Said
Kwenye mizani imekataa ingawa habari zake si haba humu
Unajua hata wapishi wakipakua wanaweka chumvi kiasi ila wanaleta kichupa kia mtu aongeze kiasi chake.
Huyu M. Said yeye kama mpishi anaweka chumvi kolea kwa kipimo chake yeye.
Lakini niishie hapa hii sio mahali pake
"Upande wa pili" ndiyo upi?Mkuu Rubawa, usichanganye kuwataja na kuandika, sijui labda kama ni mimi tuu ndio namsoma kwa jicho tenge, concentration yake mchango wa Baba na Babu zake wa upande ule, lakini kwenye shida na raha tunashirikiana vizuri tuu. Naomba reference ya andiko lake kuhusu mchango wa yeyote wa upande wa pili.
P
Ni kweli. It's very true.Kwa Pascal unamaanisha huyu Pascal Mayalla ? Huyu ndiye aandike kitabu?
Usitake ncheke. Ataanzia wapi kuandika kuhusu watu hao?
Nnakuhakikishia huyo hana uwezo huo. Tunamuona anavyoandika humu. Huyo ni mwandishi wa vi "article" uchwara vyenye ufataani usio na mithili.
Ni kweli it's true.Hapo wakuandikiwa kitabu ni mmoja tu. Bibi Titi pekee. Wengine hao ni kuandika CV zao tu.
Ule unaostahili."Upande wa pili" ndiyo upi?
Du !! mama wa Beijing vipi aliwainua sana ma CV tu ?Hapo wakuandikiwa kitabu ni mmoja tu. Bibi Titi pekee. Wengine hao ni kuandika CV zao tu.