Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.

Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.

Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!

Mama yuko vizuri sana kimataifa,
 
Back
Top Bottom