Jarida la World Visualized Limetoa Takwimu Za Nchi 10 zenye kuongoza kwa Uchumi Haramu (Shadow Economy), Tanzania yashika nafasi ya 7 Duniani

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Shughuli za magendo na zisizotozwa kodi sasa zinachangia asilimia 11.8 ya Pato la Taifa Duniani (GDP), ikiwa ni punguzo kutoka asilimia 17.7 mwaka 2000, lakini bado zinawakilisha thamani ya kiuchumi ya matrillion ya Shilingi.

Uchumi wa kivuli (Shadow Economy) unajumuisha aina mbalimbali za miamala isiyo rasmi, kuanzia ajira zisizotambulika rasmi hadi shughuli za uhalifu wa kupanga.

Uchumi wa kivuli au unaweza kuita Uchumi haramu, unaojulikana pia kama uchumi wa chini ya ardhi (Underground Economy, uchumi usio rasmi (Informal Economy), au soko la giza (Black Market), unahusisha shughuli za kiuchumi zinazofanyika nje ya mifumo rasmi na iliyodhibitiwa na serikali. Shughuli hizi mara nyingi huepuka ushuru, huepuka udhibiti, au ufuatiliaji, na mara nyingi ufanyika sambamba au pamoja na njia za uchumi rasmi.

Sifa za Uchumi wa Kivuli (Shadow Economy):

1. Ukwepaji Kodi: Washiriki mara nyingi huepuka kulipa kodi, jambo linalovutia wale wanaotafuta faida kubwa.

2. Kukwepa Udhibiti au kukaguliwa: Shughuli hizi zinaweza kupuuza au kukwepa sheria za kazi, sheria za mazingira, au viwango vingine vya kisheria.

3. Ukosefu wa Nyaraka: Shughuli hizi nyingi hufanywa kwa pesa taslimu au kubadilishana bidhaa ili kuepuka rekodi zinazoweza kufuatiliwa na mamlaka.

4. Sifa nyinginezo: Uchumi huu unajumuisha kila kitu kutoka kwa wauzaji holela wa mtaani, biashara zisizosajiliwa, na biashara ya dawa za kulevya hadi kazi za malipo ya mezani au mikononi kutoka au kwenda kwa wataalamu.

Mifano wa 1: shughuli Halali Lakini Zisizodhibitiwa kama wauzaji wa mtaani wasio na vibali vya biashara au wasiosajiliwa au Kazi za malipo ya mkononi zisizoripotiwa au kufuatiliwa (mfano, shule za majumbani, ukarabati wa nyumba usiofuata mipango ya jiji).

Mfano wa 2. Shughuli Haramu kama biashara ya dawa za kulevya, uuzaji wa bidhaa bandia, utoroshaji madini, umiliki na uuzaji wa silaha za kivita na magendo haramu ya aina yoyote.

Athari:

1. Athari za Kiuchumi: Kupungua kwa mapato ya serikali kutokana na ukwepaji wa kodi. Na pia ushindani usio wa haki kwani biashara zisizo rasmi zinaweza kutoa bei za chini kwa kuepuka gharama kama kodi au kufuata sheria.

2. Athari za Kijamii: Ukosefu wa ulinzi kwa wafanyakazi (mfano, hakuna bima ya afya au msaada wa kisheria endapo mfanyakazi atapata shida za zinazohitaji msaada wa kisheria). Pia uwekezaji mdogo katika miundombinu na huduma za umma kutokana na kupoteza mapato ya kodi.

Screenshot_20250528_174635_Instagram.jpg

Tanzania inashika nafasi ya 7 Duniani kwa kuwa na Uchumi Haramu au Uchumi Kivuli, ikiwa na zaidi ya asilimia 44.7% ya uchumi haramu au uchumi kivuli unaopotea kutoka kwenye Pato la Taifa (GDP). Ambapo ni karibia nusu ya Pato la Taifa linapotea kwenye Biashara Haramu au Uchumi Kivuli (Shadow Economy)

Sierra Leone inaongoza, ikiwa na uchumi wa kivuli unaofikia asilimia 64.5 ya GDP. Nchi hiyo ni mfano wa mwenendo mpana zaidi katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambako ajira isiyo rasmi—ambayo mara nyingi hupatikana katika kilimo, biashara za mtaani, na biashara ndogo ndogo—hutumika kama sekta ya ajira ya kawaida kutokana na upatikanaji mdogo wa kazi za rasmi.

Marekani ina uchumi wa kivuli wa wastani wa asilimia 5% ya GDP. Kutokana na ukubwa wa uchumi wa Marekani, takwimu hiyo inawakilisha wastani wa dola trilioni 1.4, na kuiweka kati ya nchi zenye uchumi wa kivuli mkubwa zaidi duniani kwa viwango vya jumla. @WorldVisualized

Chanzo: Ripoti ya Uchumi wa Kivuli Duniani ya Ernst & Young 2025
 
Tanzania kuna informal sector kubwa sana mfano wamachinga, bodaboda, mama Ntilie hawa wote wanaoperate kwenye shadow economy

Angalia watu ambao wana bank account hawafiki hata million 5 hili ni tatizo kubwa sana, wanaolipa direct income tax wamepungua zaidi ya million alisema Philip mpango

Mimi nikiwa Rais ntahakikisha formal sector inakuwa dominant zaidi ya informal sector kwa sababu mbinu ninazo
 
View attachment 3348936

Mwan money laundring ni very high, but yet wahusika either they dont care or wao ndio wanahusika
Jarida fulan liliwah kuelezea vile wahusika wanatorosha pesa mabillion nje ya nchi
 
njinjo, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wale wengine, mkuje mara moja!
 
Siku hizi Tanzania tunaongoza kutajwa kwenye mambo ya hovyo hovyo.

Kiongozi wa serikali anamiliki zaidi ya bilioni-kioato hakiendanikabisa. Wengine Wana mansion masaki na mbexi Beach unategemea nini? Watoto Wengine wa viongozi wanahonga wanasiasa wa upinzani,mamilioni ya Hela wanatoa wapi kama siyo kutakatisha na biashara haram?
 
Yani tupo kundi moja na mhuni kama Nepal, sema mamlaka zetu zimelala sana, Hili ni jalala, yaani kama ww ni mtu wa shortcut na Bora liende Ili upate tu pesa basi kuwa tajiri TZ ni suala la muda mchache tu, unaweza ukawa na shida na kitu basi ukazungushwa weeee lakini Kuna wenzio hawana wanapiga kazi na huku ndo kufeli kwenyewe kama nchi.
 
Imajin watu wanalipwa mamilioni kila mmoja kwenda kumteka mtu au kumuua mtu alafu muuaji kaingiza mamilioni kwa siku 1 bila kulipa kodi... Hii namba 7 haipingwi
 
Unapoita ni uchumi haramu nakuona kama mwendawazimu flani hivi, kwahiyi bibi yako huko namtumbo akichuma maembe yake na kutembemeza kwenye kapu na kujipatia elfu 2 ya kula tayari ni biashara haramu? Na utasemaje uchumi umepotea wakati mtu kapata pesa ya kula? GDP kubwa inafaida gani kama watu hawana pesa ya kula?

Mi nadhani kwa Tz wamekosea, hiyo biashara unayoita haramu ni kama 90% hivi

GDP halisi inabidi ijumuishe na hiyo unayoita haramu, maana ni informal sector ambayo ndio uhalisia wa maisha ya wananchi na si haramu, labda hizo illegal za madawa unaweza kuexclude
 
Unapoita ni uchumi haramu nakuona kama mwendawazimu flani hivi, kwahiyi bibi yako huko namtumbo akichuma maembe yake na kutembemeza kwenye kapu na kujipatia elfu 2 ya kula tayari ni biashara haramu? Na utasemaje uchumi umepotea wakati mtu kapata pesa ya kula? GDP kubwa inafaida gani kama watu hawana pesa ya kula?

Mi nadhani kwa Tz wamekosea, hiyo biashara unayoita haramu ni kama 90% hivi
Hayo ndio madhara ya kukimbia shule, nimekuwekea maana ya Uchumi Haram (Uchumi Kivuli) bado ujaelewa... siku nyingine itabidi tuwe tunatembeza na kwenzi hili uelewe...

Labda nikueleweshe tena... hapa kodi inayozungumziwa ni hile ya VAT ambayo, biashara hapa zinazongumziwa ni zenye kuhitaji kuwa na leseni ya biashara, na kwa sheria za Tanzania kuna level au tuseme ngazi za biashara zinazohitaji uwe na leseni ya baishara ambayo ndipo serikali upata kodi ambayo ni VAT...

Kuna wafanyabiashara wadogo wadogo kama mama mboga na wakulima wadogo kama huyu bibi yako unayemzungumzia, yeye alipi kodi moja kwa moja Serikali yani kwa maana ya VAT, wao wana mfumo wao wa kulipa Ushuru kwenye manispaa walizopo, ushuru wa eneo, ushuru wa usafi na ushuru mwingine ambao umepangwa na manispaa

Uchumi haramu au Uchumi Kivuli tunaozunguzia hapa ni ule ulipaswa kusajiliwa na serikali na kupata vibali vyote na kulipa kodi yani VAT, Lakini watu wanapita njia zisizo halali kufanya hizo kazi au biashara...

Mfano kila mfanyakazi anatakiwa alipe Kodi yani Payee (Pay as You Earn) lakini mtu ambaye alipi hii kodi yupo kwenye Uchumi haramu....

Muuza madawa ya kulevya, mtorosha madini, na wengine wote biashara zao za kimagendo wapo kwenye Uchumi haramu, kwa sababu wanaingiza pesa isiyokuwa kwenye mfumo rasmi wa serikali

Nakukumbusha tena; hapa nazungumzia wafanyakazi au wafanyabiashara au makampuni yaliyopaswa kuwa kwenye mfumo rasmi wa kulipa kodi lakini hawalipi, au biashara zozote zisizosajiliwa na serikali na zenye uwezo wa kuingiza pesa ya mtu anayetakiwa kulipa kodi
 
Shughuli za magendo na zisizotozwa kodi sasa zinachangia asilimia 11.8 ya Pato la Taifa Duniani (GDP), ikiwa ni punguzo kutoka asilimia 17.7 mwaka 2000, lakini bado zinawakilisha thamani ya kiuchumi ya matrillion ya Shilingi.

Uchumi wa kivuli (Shadow Economy) unajumuisha aina mbalimbali za miamala isiyo rasmi, kuanzia ajira zisizotambulika rasmi hadi shughuli za uhalifu wa kupanga.

Uchumi wa kivuli au unaweza kuita Uchumi haramu, unaojulikana pia kama uchumi wa chini ya ardhi (Underground Economy, uchumi usio rasmi (Informal Economy), au soko la giza (Black Market), unahusisha shughuli za kiuchumi zinazofanyika nje ya mifumo rasmi na iliyodhibitiwa na serikali. Shughuli hizi mara nyingi huepuka ushuru, huepuka udhibiti, au ufuatiliaji, na mara nyingi ufanyika sambamba au pamoja na njia za uchumi rasmi.

Sifa za Uchumi wa Kivuli (Shadow Economy):

1. Ukwepaji Kodi: Washiriki mara nyingi huepuka kulipa kodi, jambo linalovutia wale wanaotafuta faida kubwa.

2. Kukwepa Udhibiti au kukaguliwa: Shughuli hizi zinaweza kupuuza au kukwepa sheria za kazi, sheria za mazingira, au viwango vingine vya kisheria.

3. Ukosefu wa Nyaraka: Shughuli hizi nyingi hufanywa kwa pesa taslimu au kubadilishana bidhaa ili kuepuka rekodi zinazoweza kufuatiliwa na mamlaka.

4. Sifa nyinginezo: Uchumi huu unajumuisha kila kitu kutoka kwa wauzaji holela wa mtaani, biashara zisizosajiliwa, na biashara ya dawa za kulevya hadi kazi za malipo ya mezani au mikononi kutoka au kwenda kwa wataalamu.

Mifano wa 1: shughuli Halali Lakini Zisizodhibitiwa kama wauzaji wa mtaani wasio na vibali vya biashara au wasiosajiliwa au Kazi za malipo ya mkononi zisizoripotiwa au kufuatiliwa (mfano, shule za majumbani, ukarabati wa nyumba usiofuata mipango ya jiji).

Mfano wa 2. Shughuli Haramu kama biashara ya dawa za kulevya, uuzaji wa bidhaa bandia, utoroshaji madini, umiliki na uuzaji wa silaha za kivita na magendo haramu ya aina yoyote.

Athari:

1. Athari za Kiuchumi: Kupungua kwa mapato ya serikali kutokana na ukwepaji wa kodi. Na pia ushindani usio wa haki kwani biashara zisizo rasmi zinaweza kutoa bei za chini kwa kuepuka gharama kama kodi au kufuata sheria.

2. Athari za Kijamii: Ukosefu wa ulinzi kwa wafanyakazi (mfano, hakuna bima ya afya au msaada wa kisheria endapo mfanyakazi atapata shida za zinazohitaji msaada wa kisheria). Pia uwekezaji mdogo katika miundombinu na huduma za umma kutokana na kupoteza mapato ya kodi.

View attachment 3348936

Tanzania inashika nafasi ya 7 Duniani kwa kuwa na Uchumi Haramu au Uchumi Kivuli, ikiwa na zaidi ya asilimia 44.7% ya uchumi haramu au uchumi kivuli unaopotea kutoka kwenye Pato la Taifa (GDP). Ambapo ni karibia nusu ya Pato la Taifa linapotea kwenye Biashara Haramu au Uchumi Kivuli (Shadow Economy)

Sierra Leone inaongoza, ikiwa na uchumi wa kivuli unaofikia asilimia 64.5 ya GDP. Nchi hiyo ni mfano wa mwenendo mpana zaidi katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambako ajira isiyo rasmi—ambayo mara nyingi hupatikana katika kilimo, biashara za mtaani, na biashara ndogo ndogo—hutumika kama sekta ya ajira ya kawaida kutokana na upatikanaji mdogo wa kazi za rasmi.

Marekani ina uchumi wa kivuli wa wastani wa asilimia 5% ya GDP. Kutokana na ukubwa wa uchumi wa Marekani, takwimu hiyo inawakilisha wastani wa dola trilioni 1.4, na kuiweka kati ya nchi zenye uchumi wa kivuli mkubwa zaidi duniani kwa viwango vya jumla. @WorldVisualized

Chanzo: Ripoti ya Uchumi wa Kivuli Duniani ya Ernst & Young 2025
Screenshot_20250525_141152_Chrome.jpg
 
Hayo ndio madhara ya kukimbia shule, nimekuwekea maana ya Uchumi Haram (Uchumi Kivuli) bado ujaelewa... siku nyingine itabidi tuwe tunatembeza na kwenzi hili uelewe...

Labda nikueleweshe tena... hapa kodi inayozungumziwa ni hile ya VAT ambayo, biashara hapa zinazongumziwa ni zenye kuhitaji kuwa na leseni ya biashara, na kwa sheria za Tanzania kuna level au tuseme ngazi za biashara zinazohitaji uwe na leseni ya baishara ambayo ndipo serikali upata kodi ambayo ni VAT...

Kuna wafanyabiashara wadogo wadogo kama mama mboga na wakulima wadogo kama huyu bibi yako unayemzungumzia, yeye alipi kodi moja kwa moja Serikali yani kwa maana ya VAT, wao wana mfumo wao wa kulipa Ushuru kwenye manispaa walizopo, ushuru wa eneo, ushuru wa usafi na ushuru mwingine ambao umepangwa na manispaa

Uchumi haramu au Uchumi Kivuli tunaozunguzia hapa ni ule ulipaswa kusajiliwa na serikali na kupata vibali vyote na kulipa kodi yani VAT, Lakini watu wanapita njia zisizo halali kufanya hizo kazi au biashara...

Mfano kila mfanyakazi anatakiwa alipe Kodi yani Payee (Pay as You Earn) lakini mtu ambaye alipi hii kodi yupo kwenye Uchumi haramu....

Muuza madawa ya kulevya, mtorosha madini, na wengine wote biashara zao za kimagendo wapo kwenye Uchumi haramu, kwa sababu wanaingiza pesa isiyokuwa kwenye mfumo rasmi wa serikali

Nakukumbusha tena; hapa nazungumzia wafanyakazi au wafanyabiashara au makampuni yaliyopaswa kuwa kwenye mfumo rasmi wa kulipa kodi lakini hawalipi, au biashara zozote zisizosajiliwa na serikali na zenye uwezo wa kuingiza pesa ya mtu anayetakiwa kulipa kodi
Unarudia utaahira ule ule, biashara informal sio haramu kama unavyoita, sababu ndio hali halisi ya mtz. Mfano huyo bibi muuza maembe, anafanya biashara hamu? Imekuwa gongo hiyo?
 
Tanzania kuna informal sector kubwa sana mfano wamachinga, bodaboda, mama Ntilie hawa wote wanaoperate kwenye shadow economy

Angalia watu ambao wana bank account hawafiki hata million 5 hili ni tatizo kubwa sana, wanaolipa direct income tax wamepungua zaidi ya million alisema Philip mpango

Mimi nikiwa Rais ntahakikisha formal sector inakuwa dominant zaidi ya informal sector kwa sababu mbinu ninazo
Kuna fursa nyingi sana mtandaoni na njia kuu inayotumiwa kupokea ni paypal.
Endeleeni kukariri kupata pesa mpaka watu wakalime huku nyie mpo ofisini mnajilipa posho ya laki 6 kwa siku na bado mnawaita watu mafisadi.
Hauna mbinu zaidi ya kutumia mbinu za miaka 1970
 
Back
Top Bottom