Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

Tuanzie hapa boss. Hazina mashiko kwa mchezaji au mwajiri?
Watakuumiza kichwa hao hapo washameza dawa zao hawaelewi labda uwavizie jua likizama kidooooogo maana zinaishaga nguvu muda huo,usiku wanapewa dozi nyingine usije ukajaribu...

Huwaambii kitu na yanga yao
 
Wajibu ni mchezaji kwenda kuzungumza na club yake kuhusu mkataba, wao wanahusika nini?
ila TFF wana mandate ya kuamua mchezaji acheze timu x baada ya kusaini timu mbili [emoji23][emoji23] rejea kesi ya ngasa, yule dogo wa mbao aliyesaini Simba na yanga
 
Masaa 6 kati ya hersi na Fei, na akapewa options 3, ilikua nn?? Hivi mnajua mnacho kizungumza???
 
Kumtetea Feisal unahitaji kua na roho ngumu sana , TFF walimwambia arudi kwenye club yake kitu cha kwanza angetii then akafatilia madai yake akiwa kituo cha kazi fikilia endapo akishindwa huko CAS itakuaje,?
 
fikilia endapo akishindwa huko CAS itakuaje,?
Atarudi zanzibar na ww na mnaotamani hilo litokee mtafanya sherehe maisha yataendea mpaka mauti itakapogonga hodi.
 
ila TFF wana mandate ya kuamua mchezaji acheze timu x baada ya kusaini timu mbili [emoji23][emoji23] rejea kesi ya ngasa, yule dogo wa mbao aliyesaini Simba na yanga
Mkuu wanaingilia kati kama kwenye mkataba kuna utata kama hio double signing sio kuvunja au kuandika
 
Nilikuwa natafakuri hapa:Hivi kutokuwa na furaha ktk timu flani inaweza ikawa Sababu ya kuvunja mkataba? Kama ndivyo basi nadhani mchezaji hawezi kukosa Sababu ya kuvunja mkataba,rejea kwa Chama na Kisinda.why not Tanzania?
 
Nilikuwa natafakuri hapa:Hivi kutokuwa na furaha ktk timu flani inaweza ikawa Sababu ya kuvunja mkataba? Kama ndivyo basi nadhani mchezaji hawezi kukosa Sababu ya kuvunja mkataba,rejea kwa Chama na Kisinda.why not Tanzania?
Ebu fafanua iyo kutokuwa na furaha ktk timu ni kitu gani!?
 
Mkataba unaisha bila kuutumikia, kumbuka hii ni case nyingine.....!!!

Watu watalala nae ulalo ulalo......nasema atalipia gharama za ujinga wake kwa Uchungu Mkubwa...

Ajiandae kisaikolojia...
Ngoja nikufahamishe kitu, moja ya Sheria za Cas ni kwamba mchezaji halazimishwi kucheza timu asiyo itaka na mchezaji anaweza akavunja mkataba muda wowote iwe kwa halali au isivyo halali, kama akivunja mkataba isivyo halali basi atatakiwa kulipa fidia ya mkataba kulingana walivyo kubaliana katika kipengele cha kuvunja mkataba, na hicho kitu wangeweza kukiamua Tff lakini walishindwa kumchukulia hatua fei Toto kwa sababu zao binafsi wanazo jua wao
 
Ni sahihi kabisa. Nilishawahi kusema TFF hawajatimiza wajibu wao.
Sijui uwa mnawaza kwa kutumia viungo gani vya mwili? Tuwekee kifungu kinachoilazimisha Tff kuvunja mkataba halali baina ya mchezaji na klabu yake,
 
Huyo dogo anazingua, ngoja nikija dar nitazungumza nae.
 
Wakifika Cas rasmi mkataba wake na yanga utakua umefika mwisho, hajarishi atashinda au atashindwa kesi
Unaishaje wewe unafikiri ni rahisi rahisi unavyosukumwa na mihemko yako, mchezaji yeyote asiyekuwa na furaha kwenye timu anakimbia tu kuvunja mkataba kwa akili yako finyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…