Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

Haina maana sababu Mpaka sasa According to Fei, Kuna option tatu tu.

1. MUMKOSE FEI KWA KUPOKEA PESA YAKE.
2. MUMKOSE FEI KWA KULAZIMISHWA NA CAS.
3. MUMKOSE FEI KWA YEYE KURUDI MTAANI.

SUALA LA KUMKOSA HALIEPUKIKI LABDA ABADILI MSIMAMO.
Uko sawa pia...[emoji1787]
 
Reactions: Tsh
Sio TFF na Yanga wanaung'ang'ania...ni Sheria za Mikataba zinaelekeza hivyo...

Hata CAS hawavunji mikataba....wanaangalia TARATIBU, Kanuni zinaelekeza nini...
Ni suala la muda tu.Tatizo hamtaki kuamini kuwa fei anaweza kuvunja mkataba.
 
Wewe shoga uwe mwepesi kuelewa.
Yanga rais wake ni engineer Hersi . Kwa hiyo unapomwona mchezaji Yuko mezani anasaini pembeni Yuko engineer Hersi jua ndo yanga hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe umeshajua Hersi ndio Yangaa eeeh? Sasa mnakataa nn? Wee ndo uwe muelewaa.
Mchicha mwibaa wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni suala la muda tu.Tatizo hamtaki kuamini kuwa fei anaweza kuvunja mkataba.
Hatusemi hawezi vunja mkataba,,, tunasema hawezi vunja mkataba bila kufuata Sheria na TARATIBU...

Mikataba hainaga Uhuni..... whether utumikie au ulipe gharama kubwaaa[emoji1787][emoji1787]
 
Unajipaa tabu kubishanaa na mashabiki wa utoo, hao ni wa kuwapuuza tyuuh.
 
Hatusemi hawezi vunja mkataba,,, tunasema hawezi vunja mkataba bila kufuata Sheria na TARATIBU...

Mikataba hainaga Uhuni..... whether utumikie au ulipe gharama kubwaaa[emoji1787][emoji1787]
Kwani hukumsikia Fei akisema akiambiwa gharama atarudi kwa wadau? Au gharama kubwa ni yeye kuacha soka?
 
Muulize shabiki yoyote wa Yanga. Binafsi unataka nn kutoka kwa Fei?

Jibu ni aache uhuni, afuate taratibu.

Ukishamuuliza tu taratibu zipi? zinaanza danadana za wakae mezani, anaitwa haendi, anatumika, mkataba hauvunjwi kiholela, kroo krooooo kroooo.

Huwezi sikia hata mmoja akitaja gharama za timu kumfikisha hapo ni kiasi hichi alipe aondoke.

Unajua kwanini? Sababu Hersi mpaka sasa inaonekana ishu sio pesa, ishu ni kumnyoosha Fei hivyo hasemi gharama na mashabiki hawawezi kutenganisha nia ya Hersi na nia Ya Yanga.
 
Kwani hukumsikia Fei akisema akiambiwa gharama atarudi kwa wadau? Au gharama kubwa ni yeye kuacha soka?
Ingekuwa rahisi hivyo...wengi wangevunja na kulipa gharama...

Sheria, kanuni na taratibu kwanza, watu wanapima mkataba umeuumiza kwa kiasi gani!? Upande wa pili umeumia kwa kiasi gani? kwa wewe ku violate mkataba baina Yako na Timu

Umeathiri mipango ya upande wa pili kiasi gani, kuna vitu vingi tu watu wanaangalia... then....wanakutwanga Adhabu or Gharama Ili iwe fundisho na uhuni wa namna hiyo usirudiwe tena.

Sio rahisi kiivyo.....Fei ajiandae kisaikolojia

ukikiuka adhabu...inweza kuwa gharama kwa maana ya fine na kifungo pia ..
 
Kupishana hoja isiwe sababu ya kumtukana mtu, kuwa na staha angalau hata kidogo
 
Yeye mwenyewe yupo tayari kuacha soka ila asifanye kazi na Hersi. Yaani anajifungia mwenyewe kabla ya kufungiwa. In short Yanga imempoteza Fei bila kujali atawalipa faini au atafungiwa soka.
 
Unaishaje wewe unafikiri ni rahisi rahisi unavyosukumwa na mihemko yako, mchezaji yeyote asiyekuwa na furaha kwenye timu anakimbia tu kuvunja mkataba kwa akili yako finyu
Mara nyingine usikurupuke tuu kuanza kuropoka, mchezaji akivunja mkataba bila kufuata taratibu Tff walipaswa wamuadhibu mchezaji kwa kosa alilo fanya, na hapo ndipo palipo na msingi wa kesi
Mashabiki wa yanga mna matatizo gani 🤔🤔
 
Mara nyingine usikurupuke tuu kuanza kuropoka, mchezaji akivunja mkataba bila kufuata taratibu Tff walipaswa wamuadhibu mchezaji kwa kosa alilo fanya, na hapo ndipo palipo na msingi wa kesi
Mashabiki wa yanga mna matatizo gani [emoji848][emoji848]
Kwani wapi TFF wamesema Fei amevunja Mkataba bila kufuata taratibu!?

Hvi mnaelewa lkn!?
 
Yeye mwenyewe yupo tayari kuacha soka ila asifanye kazi na Hersi. Yaani anajifungia mwenyewe kabla ya kufungiwa. In short Yanga imempoteza Fei bila kujali atawalipa faini au atafungiwa soka.
Ni sawa...hiyo sio issue kwa Yanga....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…