Yale waliyokaa kwa saa 6 hayatoshi kuwa mazungumzo? Tuache kubishana.
Unaamini Fei ameenda TFF mara mbili na CAS bila kuzungumza kabisa na Yanga wakashindwana? Yaani hajaandika barua, hajakaa na Yanga vuup yupo TFF.
Sababu za yeye kuvunja mkataba hazina mashiko!?
Yanga hawajakiuka kitu chochote ktk Mkataba aliosaini....
ktk Mikataba yao ya kisoka, mchezaji ni mali ya Club ndio maana hata Leseni yake ya kucheza Mpira Iko Yanga.
Taratibu za kuondoka (kuvunja mkataba) na Yanga kapewa option tatu zinazofanyika ktk ulimwengu wa Soka...
Kuboreshewa maslahi,
Kuutumikia Mkataba wake mpaka mwisho ..,
Kupeleka timu inayomuhitaji auzwe...
Katika mkataba wake na Yanga hakuna kipengele kilichokiukwa, hata Fei amekiri hivyo.
Mnamtaka Yanga wafanye nini!? Mchezaji wamemgharamia na kumtunza Ili atumikie Yanga ..
Yy anataka kuacha kuutumikia Mkataba wake bila Sababu za msingi....
Yaani avunje mkataba pasipo makubaliano ya pande mbili!? We umeona wapi!?
Katia milioni mia na zaidi ktk account ya Yanga nakuwaambia amevunja mkataba kirahisi tu,..!!
Yanga wakaona ni kinyume na taratibu, wakampeleka shauri TFF...likasikilizwa na pande zote ..
TFF wakaona Fei hakufuata taratibu, na kwamba bado ni mali ya Yanga...wakaamua arudi Yanga akamalizane na Klabu yake ..hakwenda
Yanga wakamuita na kumuandikia barua Rudi utumikie mkataba wako, tuzungumze maslahi Yako na kama Kuna timu inahitaji Huduma yake aseme ili auzwe... Hataki mpaka sasa
Yanga kosa lake ni nini!?