Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Mtibeli hapa umekosea. Hukupaswa kuzungumia mahusiano ya watu namna hii.
Na unanonekana upo upande wa huyo jasusi ili iweje sasa? Nia yako Nifa apigwe mawe hapa..
Umefeli big time kuingilia yasiyo kuhusu.
Habari kama hii sio level zako kabisa.

Kheri ya mwaka mpya Demi
 
Mbona umeumia sana kuliko hata mleta mada jukwaani, wengine tulijua kama kashaachwa tukakaa kimya, lakini kwasababu kalileta jukwaani mwenyewe acha watu wajadili, asingetaka yazungumzwe humu angekaa nayo moyoni mwake. hatushangai mwanamke kutaka kuolewa, tunashangaa mwanamke kulazimisha ndoa, ndio maana kaachwa, kwasababu mwanamke halazimishi ndoa Kwa Mila za kiafrika.
Umbea tu unakusumbua,huna kingine na wewe.
 
Yes. Ndo wanaume walikuwa wanafundishwa kwanza ku stay away from others' business. Pia wawe na kifua. Hata wakiambiwa kitu wakae nacho moyoni. Pia wajue kuwa si hulka ya wanaume kuzungumzia mahusiano ya mtu mwingine.
Aisee basi ni muhimu jando lirudishwe Kwa mustakabali wa Taifa changa na Tanzania
 
Uislamu hauruhusu Muislamu kuolewa na asiekua Muislamu, unaolewa na mtu asiekua muislamu kutakua na kheri hapo! Kwanini usifanye subra mpaka upate Mwanamme wa kiislamu mwenye kheri nawe, unaingia kwenye mapenzi na mtu usiemjua na isitoshe sio wa imani yako!

Allah akuongoze dada yangu Nifah na upate mwenye kheri nawe, nakupenda kwa ajili ya Allah
 
Miaka HII WANAUME TUMEBAKI WACHACHE SANA. YAANI MTU KABISA UNAKUJA ANZISHIA UZI UHUSIANO WA MTU MWINGINE, ARE YOU NORMAL? NI AIBU HATA KUZUNGUNZIA. LENGO NINI? UONEKANE UPO KARIBU NA MTALAKA? THEN? WANAUME WAZAMANI ILIKUWA HUWEZI JADILI MAHUSIANO YA MTU MWINGINE. ULIKUWA MWIKO KABISA.
Bora umseme Ni kama amefurahi utadhani walikuwa wanamshea huyo jasusi.....poor mind
 
Mbona umeumia sana kuliko hata mleta mada jukwaani, wengine tulijua kama kashaachwa tukakaa kimya, lakini kwasababu kalileta jukwaani mwenyewe acha watu wajadili, asingetaka yazungumzwe humu angekaa nayo moyoni mwake. hatushangai mwanamke kutaka kuolewa, tunashangaa mwanamke kulazimisha ndoa, ndio maana kaachwa, kwasababu mwanamke halazimishi ndoa Kwa Mila za kiafrika.
Kama kaamua kumwaga manyanga kwa sababu ya kutaka ndoa basi ni mwanamke bora kabisa! Mnatakiwa kujua kuwa si kila mwanaume atakwambia atakuoa au ataonesha malengo ya kukuoa maana kila kitu unampa sasa aseme nini na ukupeleke wapi kama hujitambui na kama hata kuulizia tuu una malengo gani nami uwezi zaidi ya kwenda kama nguruwe tuu miaka ina kata tuu…..

Ukweli kwa mwanamke smart na mwenye malengo hawezi kubali kupotezewa muda na aendelee kusubiri kwa kuogopa ataonekana anataka ndoa au lah..na kwa akili hizi ndio maana wanawake wengi mnakaa geto na mwanaume miaka mitano na upo tuu kama ling’ombe au nguruwe su mfugo wowote usio na mbele au nyuma!

Mwanamke ndiye anayeamua ndoa mara nyingi na atafanya kwa vitendo na kama anajielewa lazima uamue moja kumuoa au kumuacha….mwanamke aliyepoteza dira na kukata tamaa ndio atasubiri hata miaka kumi mwanaume aseme…….,

Ndoa nyingi unazo ziona leo hii asilimia kubwa zimeamuliwa na mwanamke mwenyewe…sasa mwanamke kutwa na miaka yote unakuja kujilaza na kujipikilisha kwangu ukisubiri niseme lazima uchine…….

Mwanamke kama binadamu yeyote ni lazima awe na malengo kama sisi wanaume na lazima hayafatilie….sasa kuna tofauti ya kuwa mfugo wa mtu na kuwa mwanamke anaye jielewa…..

Kama kweli kwenye relationship kuna malengo ya ndoa na kusonga mbele lazima mwanamke anayejielewa atabaki ..kinyume na hapo lazima akimbie…..

Sisi wanaume kama mwanamke yuko kama nguruwe tuu hajielewi tunakula tuu uroda wala hatujali na ndio maana ndoa nyingi unakuta sisi wanaume tunasituliwa na wanaotuzunguka….wala mara nyingi hatujali muda ..nitofauti na wenzetu wanawake wanapaswa kujali sana muda maana wao wana muda mdogo sana na ki ufupi wanayo expire date…..
 
Kwanza Mimi sio mwanamke hilo liondoe kichwani kwenye perception ya andishi wa commet yako. Ntarudi baadae kuendelea kujibu comment Yako.
 
Mapenzi hakuna siku hizi humu harakati ni nyingi sana za kupinga mahusiano mema.

Kipindi kile nipo domitory nasoma thread za kasie nilijua humu mkipatana ndoa inakuwa sio mda sana.

Walikuwepo waliokutana humu na kufanya makubwa ila sijaona mrejesho wa mafanikio kwa mda mrefu sana.
Ila inawezekana.
 
Back
Top Bottom