Watu wameachana tangu August 2023 (kwa mujibu wa Nifah)...
Thread ya kutemana imewekwa Dec 2023, miezi kadhaa mbele baada ya kutemana...
Mleta mada anasema kapewa taarifa na "Jasusi", baada ya kuona uzi wa Nifah...
Mleta mada kama wewe na huyo "Jasusi" ni washikaji, ungeshakuwa na habari hizi tangu zamani...
Kama wameachana, wameachana sisi haituhusu na wala tulikuwa hatuji kama wanakulana, na hata tungejua pia haituhusu, na ajabu ya mapenzi wanaweza wakarudiana...
Conclusion: Unatujazia server kwa habari za 2023