Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Achaneni na huu uzushi basi, sijawahi kulazimisha ndoa, katu!

Kwamba nilitaka ndoa ndipo tukaachana? Nonsense.
Sababu zilizotufanya tuachane ni nyingi na hii sio moja wapo.
Asanteni.
Kikubwa mmeshaachana naomba tuendelee na usajili mpya. Niko safu ya mbele naomba ombi langu ulizingatie mrembo tuweze kufungua mwaka mpya vizuri🥰
 
Maisha ya upweke kivipi ww 😂 wanawake wako very smart. Mwanamke hana confidence ya kuacha mtu kama hajapata pa kuji banza haswa hawa wamatumbi wenzetu. Ukiona demu anakuacha kwa mbwembwe jua kashapata pa kujishikiza.
Nimecheka Kwa sauti
Naweza kupata mahali na nisikuache vilevile
Inategemea Niko hapo Kwa sbb gani
 
Wanaume wa siku hizi wambea sana nyie,kama sio kitu Cha kuficha mbona kimekuwa kama kitu Cha kushangaza?mnachoshangaa mwanamke kutaka kuolewa ni kipi?
Mbona umeumia sana kuliko hata mleta mada jukwaani, wengine tulijua kama kashaachwa tukakaa kimya, lakini kwasababu kalileta jukwaani mwenyewe acha watu wajadili, asingetaka yazungumzwe humu angekaa nayo moyoni mwake. hatushangai mwanamke kutaka kuolewa, tunashangaa mwanamke kulazimisha ndoa, ndio maana kaachwa, kwasababu mwanamke halazimishi ndoa Kwa Mila za kiafrika.
 
Watu wameachana tangu August 2023 (kwa mujibu wa Nifah)...

Thread ya kutemana imewekwa Dec 2023, miezi kadhaa mbele baada ya kutemana...

Mleta mada anasema kapewa taarifa na "Jasusi", baada ya kuona uzi wa Nifah...

Mleta mada kama wewe na huyo "Jasusi" ni washikaji, ungeshakuwa na habari hizi tangu zamani...

Kama wameachana, wameachana sisi haituhusu na wala tulikuwa hatuji kama wanakulana, na hata tungejua pia haituhusu, na ajabu ya mapenzi wanaweza wakarudiana...

Conclusion: Unatujazia server kwa habari za 2023
 
Back
Top Bottom